Wasanii
wa Bongo Muvi, Irene Uwoya (katikati), Hartman Mbilinyi (kushsoto) na
Jacob Steven(JB) baada ya kutua Uwanja wa Kilimanjaro (KIA).
Wasanii wa kundi la Bongo Muvi la Jijini Dar es Salaam, hivi karibuni
waliacha gumzo katika machimbo ya Mirerani Mkoani Manyara na
Kilimanjaro baada ya kutembelea mikoa hiyo huku wapenzi wao wakifarijika
kuwaona.PICHA: IMELDA MTEMA, GPL
No comments:
Post a Comment