Ayapa Magazeti Pendwa mwezi mmoja kuacha kumwandika mwanaye
MAMA mzazi wa Miss Tanzania, 2006, Wema Isaac Abrahamu Sepetu, Miriam Sepetu ameyapa mwezi mmoja magazeti pendwa yaache kumwandika mwanae huyo kwa jambo lolote.
MAMA mzazi wa Miss Tanzania, 2006, Wema Isaac Abrahamu Sepetu, Miriam Sepetu ameyapa mwezi mmoja magazeti pendwa yaache kumwandika mwanae huyo kwa jambo lolote.
Akiongea katika kipindi cha tack one cha Zamarad
Mketema, Mama Wema alisema kuwa magazeti hayo, eti yamekuwa yakimwandika
mwanae vibaya pasipo huo ubaya kuwepo!
Akasema kuwa amekwisha
wasiliana na mwanasheria wake ambaye hakumtaja jina na kwamba kuanzia
sasa gazeti pendwa lolote litakalomwandika mwanae vibaya atasimama nalo
mahakamani!
"Nawaambia magazeti ya udaku (pendwa) natoa mwezi mmoja mkimwandika mwanangu safari hii mtasimama na mimi mahakamani" alisema mama Wema.
"Nawaambia magazeti ya udaku (pendwa) natoa mwezi mmoja mkimwandika mwanangu safari hii mtasimama na mimi mahakamani" alisema mama Wema.
No comments:
Post a Comment