Akiwa
ndiye rafiki mkubwa wa Wema Sepetu, Snura Mushi amejikuta akiambulia
kuchanwa na mama mzazi wa rafiki yake huyo pale alipotoa tamko kuwa
mwanae kwamba hana rafiki zaidi ya yeye mama mzazi.
Akizungumza na Zamarad Mketema katika kipindi cha tack one jana Jumanne, mama Wema alisema kuwa mwanaye huyo hana marafiki wa kweli bali wanafiki.

Snura Mushi na Wema Sepetu katika picha
Awali kabla ya mama huyo kufanya mahojiano na Na kipindi hicho, Zamarad alimuohoji Wema na Snura ambapo wote walikili kuwa wao ni marafiki wakubwa.
Aidha wawili hao walikwenda mbele zaidi kwa kukumbatiana kuonyesha urafiki wao huku wakiahidi kupendana maisha.
Kwa hiyo kufuatia kauli ya mama yake Wema, ahadi ya Snura na Wema ya kupendana maisha imepitwa na wakati hali inayonfanya Snura kutafuta marafiki wengine wa kweli ambao mama zao hawatakuwa na shaka nae.

No comments:
Post a Comment