TIMU ya
soka ya taifa ya Tanzania imetolewa katika kinyang'anyiro cha kuwania
tiketi ya kucheza Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwakani Afrika
Kusini, baada ya kufungwa kwa penalti 7-6 kufuatia sare ya 1-1.
Timu
zilipokwenda kwenye mikwaju ya penalti, Stars ilifungwa 7-6. Mechi ya
kwanza timu hizo zilitoka 1-1 pia. Katika mchezo huo, Msumbiji
walitangulia kupata bao na katika dakika za majeruhi Aggrey Morris
akaisawazishia Stars.
No comments:
Post a Comment