TBL YAWAPIGA MSASA MAWAKALA WA BIDHAA ZAO
Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),
Nicholas Brooks, akielezea njia nzuri za kuboresha mauzo ya bidhaa za
kampuni hiyo,katika mkutano wa kuwapiga msasa mawakala wa mauzo na
usambazaji wa vinywaji vya kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi. Mawakala
hao wanatoka mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Morogoro, Dodoma,
Lindi, Pwani na Mtwara.
Mkurugenzi
wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas
Brooks, akiwa na baadhi ya maofisa wa TBL pamoja na mwakala wao.
Baadi
ya mawakala hao kutoka Kanda ya Kusini ya TBL, wakifurahia jambo wakati
wa mkutano huo uliofanyika Hoteli ya Double Tree, Masaki Dar es Salaam.
Meneja
Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Kusini, James
Bokela akitoa maelezo jinsi ya kuboresha mauzo kwa kujenga maghala ya
kisasa.
Baadhi ya Mawakala wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano huo
Meneja
wa Huduma za Biashara wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Reginald Mosha
akifafanua jambo katika mkutano wa kuwapiga msasa mawakala wa mauzo na
usambazaji wa vinywaji vya kampuni hiyo, Dar es Salaam juzi. Mawakala
hao wanatoka mikoa ya Dar es Salaam, Dodoma, Zanzibar, Morogoro, Dodoma,
Lindi, Pwani na Mtwara.
Mawakala wakipatiwa zawadi baada ya kumalizika mkutano huo
Mawakala wakipata chakula cha usiku katika hoteli hiyo
Ni wakati wa msosi
Meneja
Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Kusini, James
Bokelaakibadilishana mawazo na baadhi ya mawakala pamoja na maofisa wa
TBL
Maofisa
wa TBL, wakijadiliana jambo na wakati wa hafla ya chakula
walichoandaliwa mawakala katika hoteli hiyo. Kutoka kulia ni Meneja wa
Mawakala, TBL Kinondoni, Jesca Njau, Ofisa wa Mawakala wa TBL Temeke,
Albert Kingu, Ahmed Mlapakola ambaye ni Msaidizi wa Masoko maalum na
Edward Kisaka Ofisa Mawakala TBL Ilala.
Meneja
Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania Kanda ya Kusini, James
Bokelaakibadilishana mawazo na baadhi ya mawakala pamoja na maofisa wa
TBL
Baadhi ya maofisa wa TBL wakiwa katika picha ya pamoja baada hafla hiyo kumalizika
Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas Brooks akisalimiana na baadhi ya mawakala wao
Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas Brooks akiagana na ofisa wake Jesca Njau.
Mkurugenzi
wa Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Nicholas
Brooks (wa pili kushoto) akiagana na mmoja wa mawakala. Kulia ni James
Bokela ambaye ni Meneja wa Mauzo na Usambazaji wa TBL Kanda ya Kusini.,
No comments:
Post a Comment