Naibu
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa aliyemaliza muda wake Dkt Asha Rose
Migiro akiwa kwenye picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.
Anne Makinda pamoja na wanachama wa chama cha wabunge wanawake wa
Tanzania. Dkt Migiro yupo mjini Dodoma kwa mwaliko wa Spika wa Bunge.
Ametumia fursa hiyo kukutana na wabunge wanawake na kuwaasa kufanya kazi
kwa bidii ili kuharakisha maendeleo ya Tanzania.
Ndipo Spika wa Bunge akamwandalia na kumkaribisha mgeni wake kwenye futari maalum katika cafeteria yaBunge.
Mdau Prosper Minja alipata fursa ya kukutana na hii nyota ya Afrika
No comments:
Post a Comment