Hiyo ndio kauli ya Diamond.
Diamond ambae bado hajaoge chochote zaidi ya kuweka picha hizo kupitia mtandao wake wa facebook na twitter kua yuko engaged na mrembo huyo,amewaacha mashabiki na watanzania waliowengi wakijiuliza wenyewe pasi nakupata majibu yoyote toka kwa wahusika.
Nuzlah ambae nae kwa upande wake pia anasomeka kua yuko engaged kwa Mtoto huyo wa kimanyema Diamond.
No comments:
Post a Comment