Majina ya wanaowania Tuzo za KORA mwaka 2012 yametangazwa na wasanii pichani juu Alikiba na Saida Karoli ndo wasanii kutoka Tanzania waliochaguliwa kuwania Tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika December 29 Ivory Coast Chris Brown ndo anayetarajiwa kuwa kama msanii mwalikwa.Alikiba amechanguliwa katika Category ya Best Male East Africa kupitia wimbo wa 'Single Boy' alimshirikisha Lady Jayde,huku Saida Karoli akiwa katika Category ya Best Female East Africa kupitia wimbo wa 'Sakina' na Aslay ambaye yuko kwenye Category ya Best Male Newcomer.Kwa upande wa Kenya nao wasanii 4 wamechaguliwa kuwania Tuzo hizo,ambao ni Jimmie Gait,Marya,Redsan.
LIST KWA UPANDE WA AFRIKA MASHARIKI HII HAPA ;
Best Male East Africa
Jimmie Gait featuring DK – Furi Furi Dance (Kenya)
Kidum featuring Sana – Mulika Mwizi (Burundi)
Ali Kiba featuring Lady Jay Dee – Single Boy (Tanzania)
Redsan – Ila Wewe (Kenya)
Chris D – Aisha (Burundi)
Mulatu Astatke – Ethiopie (Ethiopia)
Best Female East Africa
Juliana Kanyomozi – I Am Ugandan (Uganda)
Marya - Sishiki Simu (Kenya)
Helen Berhe – Lebe (Ethiopia)
Asther Aweke – Lu Mili (Ethiopia)
Saida Karoli – Sakina (Tanzania)
Ikraan Caraale – Gaarsiiya (Somalia)
Best African Group
Magic System – La Danse Des Magician (Ivory Coast)
Toofan – C Magik (Togo)
X Maleya - Tchokolo (Cameroon)
Malaika – Never Change My Mind (South Africa)
Camp Mulla - Party Don’t Stop (Kenya)
Gal Level – Ohole (Namibia)
Best Male Newcomer
Aslay - Niwe Nawe (Tanzania)
Floby – Saanida (Burkina Faso)
Loyiso - Wrong To You (South Africa)
Aziz Azion – My Oxygen (Uganda)
Davido – Dami Duro (Nigeria)
John Chiti – Wapusuku (Zambia)
Best Female Newcomer
Djelika Diawara – An Mi Woula (Mali)
Amira Fathy - Ou’bal El Banat (Egypt)
Keko featuring Madtraxxx- Make You Dance (Kenya)
Nuella – Wakoulezi (Ivory Coast)
Sessimã – Mayavio (Benin)
Sacha featuring Bably- Nsobanurira (Rwanda)
Hongereni wasanii wa Tanzania.
No comments:
Post a Comment