Na Mwandishi Wetu(Habari na www.globalpublishers.info )
PICHA za mastaa wa Kibongo Jacqueline Wolper Masawe na Baby Candy zimenaswa katika mtandao wa BBM na kuzua utata kutokana na pozi lao, Risasi Mchanganyiko linakumegea.
Katika picha hiyo, Wolpler anaonekana akiwa amesimama mbele ya Baby Candy na kurudisha mkono wake nyuma huku akiingiza kidole mdomoni mwa msichana mwenzake huyo (angali picha uk 16).
Mashabiki wa mastaa hao walipoiona picha hiyo iliyotupiwa kwenye mtandao huo wa BBM walisema kuwa pozi hilo ni la kimahaba na si zuri kwa watoto wa kike.
Hata hivyo, pamoja na idadi kubwa ya watu kuwasema vibaya, lakini baadhi waliwatetea kwa kusema kuwa pozi lao lilikuwa ni la kawaida sana.
Hali hiyo ya kuwatetea wawili hao, ilizua ubishi kwa baadhi ya watu waliokuwa wakichangia mada hiyo kwa kusema kuwa picha hiyo haifai katika jamii yetu.
“Hata kama ni marafiki kwa kupiga picha hiyo wamefika mbali kwani mambo ya kuumana vidole hufanywa na makahaba zaidi,” alisema mdau mwingine.
PICHA za mastaa wa Kibongo Jacqueline Wolper Masawe na Baby Candy zimenaswa katika mtandao wa BBM na kuzua utata kutokana na pozi lao, Risasi Mchanganyiko linakumegea.
Jacqueline Wolper Masawe na Baby Candy katika pozi la kimahaba.
Wawili hao ambao wote wana majina katika tasnia za filamu na muziki
wamepiga picha na kukaa katika pozi tata kiasi cha kuacha maswali kwa
wadau wa fani zao.Katika picha hiyo, Wolpler anaonekana akiwa amesimama mbele ya Baby Candy na kurudisha mkono wake nyuma huku akiingiza kidole mdomoni mwa msichana mwenzake huyo (angali picha uk 16).
Mashabiki wa mastaa hao walipoiona picha hiyo iliyotupiwa kwenye mtandao huo wa BBM walisema kuwa pozi hilo ni la kimahaba na si zuri kwa watoto wa kike.
Jacqueline Wolper Masawe.
“Jamani sasa ndiyo nini? Hili pozi la Wolper na Baby Candy
linaashiria nini wakati wote ni wasichana?” alihoji mmoja wadau wa
burudani aliyeiona picha hiyo.Hata hivyo, pamoja na idadi kubwa ya watu kuwasema vibaya, lakini baadhi waliwatetea kwa kusema kuwa pozi lao lilikuwa ni la kawaida sana.
Hali hiyo ya kuwatetea wawili hao, ilizua ubishi kwa baadhi ya watu waliokuwa wakichangia mada hiyo kwa kusema kuwa picha hiyo haifai katika jamii yetu.
“Hata kama ni marafiki kwa kupiga picha hiyo wamefika mbali kwani mambo ya kuumana vidole hufanywa na makahaba zaidi,” alisema mdau mwingine.
No comments:
Post a Comment