Makombora mawili yametupwa kwenye
jengo la Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Libya UNSMIL, lakini
yamesabisha uharibifu wa mali tu.
Akizungumza na shirika la habari la China, Xinhua, ofisa habari wa ujumbe wa UNSMIL Samer Ghatas amesema hakuna mtu aliyepoteza maisha wala kujeruhiwa, kwani ujumbe huo bado haujahamia kwenye jengo hilo tupu ambalo limechanguliwa kuwa ni makao makuu yao nchini Libya. Amesema kombora moja lilipuka na jingine halikulipuka. Hili ni shambulio la tatu la aina hiyo dhidi ya jengo la ujumbe huo nchini Libya. Ghatas amesema wanafikiri kuhamia katika sehemu nyingine.

No comments:
Post a Comment