
Bi Susan Root amekuwa akiugua ugonjwa wa muziki kucheza kwenye bongo lake kwa miaka mitatu mfululizo.
Kibao
ambacho Bi susan anakisikia kikicheza ni kibao 'How Much is that Doggie
in the Window' cha Mwanamuziki Patti Page kilichokuwa maarufu miaka ya
50.
Wataalam
wanasema huu ni ugonjwa ujulikanao kama Tinnitus- Ugonjwa unaosababisha
muziki au sauti uliyosikia utotoni ikijicheza akilini. BBC Swahili
No comments:
Post a Comment