Jumuia ya kimataifa itaingilia
kati nchini Kenya iwapo ghasia zitazuka kabla au baada ya uchaguzi mkuu
wa tarehe 4 March, endapo serikali haiwezi kudhibti hali.

Bwana Dieng alisema baada ya ghasia za miaka ya '90 na baada ya uchaguzi mwaka wa 2008, jumuia ya kimataifa itafanya iwezalo kuzuwia hayo yasitokee tena.
Mjumbe huyo wa Umoja wa Mataifa alisema wanaweza kuingilia kati kwa vikwazo na kuzidisha uwezo wa serikali kupambana na ghasia.
Hatua ya tatu ni kuingilia kijeshi.
No comments:
Post a Comment