Actress machachari Swahiliwood Amanda Poshy amesema kuwa anacheza nafasi
 za uhusika ukuu(Heroine) na siyo suporting roles pekee kama baadhi ya 
watu wanavyofikiri. 
 Like page yake kwa kubofya hapa Amanda Poshy Fanpage
Amanda aliyasema hayo wakati alipoulizwa kuwa ni kwanini baadhi ya films amekuwa akiwa kama 
second or third lead na siyo heroine na je ana mikakati gani katika film
 industry?. 
Amanda mmoja wa waigizaji wenye mvuto in the Tanzanian film 
industry pia alisema  alikuwa nje ya game but amerudi and na fans 
wamempokea vizuri. The actress is also planning to produce her own films
 soon. Amanda ambaye kwa sasa anatamba sokoni na filamu ya Nyumba Nne 
which also stars King Majuto said
"Kwanza ikumbukwe nilikaa nje ya
 game kwa muda mrefu na siyo kweli nacheza movie zote kama muhusika 
msaidizi.....Mfano kwenye movie ya The Suspect nimecheza kama muhusika 
mkuu.........Kwenye movie inaitwa Nyumba Nne ambayo ni mpya na ipo 
madukani nimecheza kama muhusika mkuu....na kuna movie mpya inakaribia kutoka 
Inaitwa Fikiri kabla ya kutenda ambayo imebeba masitaa wengi  kama Aunt 
Ezekiel....Baba Haji....Hashimu Kambi.....Dotnata....Pendo yule dada 
mcheza ngumi na me mwenyewe Amanda....nayo nimecheza kama Muhusika 
mkuu"Kuhusu mipango yake kwenye industry the sexy actress added " .mipango ipo mingi sana kwangu ila kubwa nilitaka mashabiki wng wajue kuwa nimerudi na nashukuru Mungu napokea maoni mengi ya mashabiki yanayonijulisha kuwa nw wamenipokea hasa kwenye Movie ya Nyumba nne.....nakaribia kufanya kazi zangu mwenyewe muda c mrefu na nitawataharifu mashabiki"
Hayo ndiyo aliyosema Amanda and kama hujaiona filamu yake mpya ya 
"Nyumba Nne' opposite King Majuto go and buy your original copy now ili 
uone nini actress huyo amefanya akiwa na King of comedy( Majuto).
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment