LWAKATARE AACHIWA HURU, AKAMATWA TENA
Wilfred Muganyizi Lwakatare, akionesha alama ya vidole viwili wakati akipelekwa kizimbani juzi Jumatatu.
Mkuu wa Kitengo cha Ulinzi na
Usalama wa Chadema, Wilfred Muganyizi Lwakatare, muda huu ameachiwa huru
katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya mashitaka yote
yaliyokuwa yanamkabili kufutwa na muda huohuo kukamatwa tene na
kufunguliwa mashitaka mengine. Picha kutoka eneo hilo zitawajia hivi
punde.
No comments:
Post a Comment