RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA TRAFIKI ALIYEGONGWA NA GARI
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole mume wa marehemu
alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na
gari baada ya msafara wa Rais kupita juzi, WP Koplo Elikiza nyumbani kwa
marehemu sehemu za Ununio, jana Machi 19, 2013. Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo alipokwenda
kuhani msiba wa Askari wa Usalama Barabarani aliyegongwa na gari baada
ya msafara wa Rais kupita, WP 2942 Koplo Elikiza nyumbani kwa marehemu
sehemu za Ununio, jana Machi 19, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwafariji mume wa marehemu na watoto
pamoja na IGP Said Mwema alipokwenda kuhani msiba wa Askari wa Usalama
Barabarani aliyegongwa na gari baada ya msafara wa Rais kupita WP Koplo
Elikiza nyumbani kwa marehemu sehemu za Ununio, jana Machi 19, 2013. (PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment