
R.I.P DADA YETU FATMA MDOE.
Mmiliki wa www.saluti5.com na Screen Masters Kinondoni Said Mdoe amefiwa na Dada yake Baba Mmoja mama Mmoja Dakika siku ya jana...
Taarifa ya utaratibu wa msiba wa marehem Fatma
Mdoe Dada yake Said Mdoe aliyefariki ghafla jana jioni, Msiba uko Mbezi
beach nyumbani kwa marehem Jirani ya kwa Dk Hizza, Mazishi ni leo saa
kumi jioni Makaburi ya Kisutu.Tuzidi kuwaombea wafiwa Mungu awapunguzie
maumivu na ampumzishe marehem mahali pema peponi.
IRENE JAMII Blog tunatoa pole kwa familia nzima na ndugu na jamaa wa Mdoe.
No comments:
Post a Comment