KARIBUNI mpendwa wa safu yetu inayopendwa na wengi na kuwashukuru wote
wanaopoteza muda wao kunipongeza wengine kunikosoa ili kuiboresha.
Vilevile wapo walio na matatizo wanaoomba msaada ambao nashukuru umewasaidia wengi.
Kama ilivyo ada, umekaa mkao wa kula kutaka kujua leo nimekuja na mpya gani. Nasema hakuna jipya chini ya jua kwa sababu kitu mapenzi kilikuwapo tangu enzi ya mababu na hata hao waliyakuta tokea enzi ya Adamu na Eva.
Haya leo nina nini?
Nimepata malalamiko mengi kutoka kwa wasomaji wangu waliolalamika juu ya matatizo wanayokumbana nayo katika kula chakula cha roho, wengi wanalalamika kuwa hawali chakula kilichokamilika.
Kwa mfano mtu anauliza; Mbona mpenzi wangu si mtaalam wa mambo flani?, wengine hudiriki kusema tangu waanze mapenzi na waume zao au wake zao hawajafurahia mapenzi na kushangaa kusikia mapenzi ya kukukolea hukufanya upandishe mashetani na kumaliza maneno yote mdomoni au kumfanya mwanaume atoe ahadi hata hasizo na uwezo nazo kwa kusema atakununulia ndege wakati hata baiskeli hana.
Yote hayo ni mtu
kuguswa pale panapomfanya ajione yupo dunia nyingine na kujiona juu
hayupo wala chini hayupo. Wao hujiuliza kulikoni wenzao wafaidi wao
wasifaidi kwani wamekosa nini.Kama ilivyo ada, umekaa mkao wa kula kutaka kujua leo nimekuja na mpya gani. Nasema hakuna jipya chini ya jua kwa sababu kitu mapenzi kilikuwapo tangu enzi ya mababu na hata hao waliyakuta tokea enzi ya Adamu na Eva.
Haya leo nina nini?
Nimepata malalamiko mengi kutoka kwa wasomaji wangu waliolalamika juu ya matatizo wanayokumbana nayo katika kula chakula cha roho, wengi wanalalamika kuwa hawali chakula kilichokamilika.
Kwa mfano mtu anauliza; Mbona mpenzi wangu si mtaalam wa mambo flani?, wengine hudiriki kusema tangu waanze mapenzi na waume zao au wake zao hawajafurahia mapenzi na kushangaa kusikia mapenzi ya kukukolea hukufanya upandishe mashetani na kumaliza maneno yote mdomoni au kumfanya mwanaume atoe ahadi hata hasizo na uwezo nazo kwa kusema atakununulia ndege wakati hata baiskeli hana.
Swadakta swali zuri sana, kumekuwa na
utamaduni wa watu wengi kuona aibu kuuliza jambo walisilolijua hasa
katika mapenzi hii imepelekea watu kuwa wavivu kujifunza kwa kuona aibu
kuuliza kitu wasichokijua kwa kuogopa kuitwa washamba.
Nani alikuambia wote wamezaliwa wanajua, usichokijua uliza usisubiri aibu ikukute kwa mpenzio, kuuliza nje au kutoa nje udhaifu wako.
Siku zote wasiojua huwa wajanja sana ili kuficha udhaifu wao lakini unauficha udhaifu wako wakati lazima uingie kwenye gemu.

Kwa
kuwa aliyeuliza ni mwanamke, hata akielezwa bado utakuwa mzigo kwa kuwa
hawezi kufanya vile kwanza ataogopa kukuelekeza mtindo flani au ufanye
vipi ili kumridhisha kwa kujua ameupata nje na kulisaliti penzi lenu.-
Jifunze kwanza kabisa kumuandaa mpenzio hii kumfanya mpenzi ashikwe na ashki ya mapenzi na mwili kuwa tayari kwa tendo. Hakikisha mpaka sehemu zake zimelainika na kutoa ute unaokuruhusu kumuingilia bila maumivu wala kuweka michubuko.
Utajuaje mpenzi wako yupo tayari kama si muongeaji? Sikiliza sauti yake kama mihemo yake huwa kama mtu mwenye pumu hata mwili wake hulegea. Hapo ruksa kumuingilia.
Lakini wanaume wengi wamekuwa wajanja wajanja kwa kuficha udhaifu wao katika uelewa katika mapenzi matokeo yake kila siku kushindwa kumridhisha mpenzi wake kimapenzi.

Kama nilivyokwisha kusema mwanzo kama hujui bora uulize
kwa mtaalam wa masuala ya mapenzi kupitia kona za mahaba ili kuliokoa
penzi lako.
Huenda unaweza lakini hofu iliyokujaa moyoni hukufanya ushindwe kujiamini. Kuuliza si ujinga na kukaa mkimpya si ujanja.

No comments:
Post a Comment