Martin
Fundi kutoka Kimara usiku wa kuamkia leo ameibuka kidedea katika
shindano la The Vodacom Mic King 2013 na kujinyakulia gari jipya aina ya
Toyota Funcargo (new model). Shindano hilo lililokuwa likidhaminiwa na
Kampuni ya simu ya Vodacom lilidumu kwa takribani miezi sita.
(PICHA NA RICHARD BUKOS /GPL)
No comments:
Post a Comment