MKURUGENZI wa Bendi ya Mapacha Watatu, Khaleed Chuma ‘Chokoraa’
(pichani), amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya mchumba wake
aliyemtaja kwa jina moja la Jessica kumcharukia na kumtaka waachane
baada ya kunaswa akiwa na demu mwingine.
“Kiukweli hadi sasa sijajua
muafaka wa mke wangu mtarajiwa, ninachofanya ni kuwatumia watu
wamshauri ili aelewe kwamba yule binti hakuwa mtu wangu zaidi ya
kukutana pale Mlimani City,” alisema Chokoraa.
No comments:
Post a Comment