HATIMAYE Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilfred Lwakatare amepata
dhamana katika kesi ya kutuhumiwa kumpa sumu Mhariri Mtendaji wa
magazeti ya Mwananchi, Dennis Msaki. Dhama hiyo imetolewa katika
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam, baada ya kipindi
cha miezi inayokaribia mitatu tangu kukamatwa kwake na mtuhumiwa
mwenzake, Ludovick Joseph.
(HABARI/PICHA: DENIS MTIMA /GPL)
(HABARI/PICHA: DENIS MTIMA /GPL)
No comments:
Post a Comment