Pichani
juu ni mazishi ya msanii ya mwigizaji Jaji Khamisi 'Kashi' aliyefariki
jana mchana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar
yaliyofanyika leo mchana majira ya saa nane kwenye makaburi ya Kinondoni
jijini Dar es Salaam. Marehemu
Kashi alikubwa na umauti baada ya kuugua ghafla malaria na kifua.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Kashi mahali pema peponi. AMEN!
No comments:
Post a Comment