Meneja
 wa Mradi wa MWEI wa Vodacom Tanzania,Bi.Mwamvua 
Mlangwa(kushoto)akimkabidhi moja ya msaada mhasibu wa kituo cha watoto 
yatima cha Ujirani mwema kilichopo Songea mkoani Ruvuma.
 Wafanyakazi
 wa Vodacom Tanzania Rukia Mtingwa na Michael Kipuyo wakiwa katika picha
 ya pamoja na watoto waishio kwenye mazingira hatarishi wa kituo cha 
Ujirani Mwema wilayani Songea baada ya kukabidhi msaada wa chakula na 
vifaa mbali mbali kwa watoto zaidi ya 60 wanaolelewa hapo.
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment