Uongozi
 wa klabu ya Simba kupitia kwa mwenyekiti wa kamati ya usajili Zacharia 
Hans Pope jana umetangaza rasmi kuachana na mlinda mlango mkongwe wa timu 
hiyo  Juma Kaseja.
Akizungumza na kipindi cha Sports 
Leo cha Radio One, Hans Pope amesema hawatomuongezea mkataba Kaseja na 
wamempa baraka za kutafuta timu nyingine.
Kwa 
muda mrefu Simba ilikuwa ikisuasua kumpa mkataba Kaseja aliyeidakia 
Simba kwa takribani miaka 10, na hatimaye leo wamethibitisha rasmi 
kumuacha Kaseja.
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment