Hii ndio Benz mpya anayoendesha mwigizaji Irene Uwoya.
Irene Uwoya ambae ni Mrs Ndikumana akiwa pia ni mama Krish hivi karibuni
ameingia kwenye headlines na TV show yake mpya kabisa ambayo itaoneka
@CloudsTV jumanne wiki hii, pamoja na hilo right now nakukukutanisha na
picha za gari lake jipya ambalo analiendesha kwa sasa.
Ni Mercedes Benz S Class 550 Sedan yenye rangi ya Black metalic
ambapo japo gharama imebaki kuwa siri ukicheki kwenye mtandao wa
Mercedes Benz US ndinga kama hii ikiwa mpya ina-cost $ 95,000.
No comments:
Post a Comment