Mama wa watoto watatu ambao mara nyingi huonekana katika jiji la Dar
es Salaam aitwaye Sophia Abdallah maarufu kwa jina la Mama Watatu
anaomba msaada aweze kuwatunza wanaye. Mama huyu anasema kuwa hana uwezo
wa kuwatunza watoto wake baada ya baba yao kufariki. Mama Matatu ana
watoto wanne kati yao watatu wana matatizo ambao ni Ausi, Hidaya na
Mosha. Pindi apatapo fedha, Mama Watatu urudi nyumbani kwao Mtwara maana
kule maisha ni nafuu kuliko mjini. |
No comments:
Post a Comment