Lori la Kampuni ya Ivory lililogongana uso kwa uso na Basi la Sai baba (HM)
Askari wa usalama barabarani Iringa
wakilitazama basi la kampuni ya Sai - baba Express lenye namba za
Usajili T 668 BCD ambalo liligongana uso kwa uso na lori la kampuni ya
Ivori lenye namba T 280 ADK eneo la Kibwabwa katika barabara kuu ya
Mbeya - Iringa jana na watu zaidi ya watatu kujeruhiwa vibaya na wengine
zaidi ya 50 ambao ni abiria wa basi hilo kunusurika kifo
Abiria waliokuwa kwenye basi la sai baba. Chanzo: Francis Godwin
No comments:
Post a Comment