Masanja akihubiri neno la mungu kwa watu waliokuja kwenye viwanja vya Karume jijini Dar es Salaam kujionea uwokovu
Masanja akiendelea kutoa neno la mungu kwa watu hao waliofika kumsikiliza wakati wa tukio hilo
Mchungaji mwenzake jina lake
halikujulikana kwa haraka akihubiri neno la mungu kwa watu waliofika
kwenye viwanja vya Karume hapo jana juzi.
Baadhi ya watu waliofika kwenye mahubiri hayo
Wananchi walisogea mbele ili kuombewa na Masanja Mkandaizaji
Masanja Mkandamizaji akiongea neno na mmoja ya wananchi waliofika kwenye viwanja vya Karume kusikiliza injiri
Ilikuwa ni kuruka kwa shangwe kwenye viwanja vya Karume
Hapa ni kumwimbia mungu tu
Masanja akiwaombea watu waliofika kwenye mkutano huowa injiri. PICHA ZOTE NA PAMOJAPURE BLOG
No comments:
Post a Comment