Msanii anaekuja kwa kasi ya ajabu katika industry ya bongo muvie
GETRUDE BAZIL MUSHI hivi karibuni alifanya 'KUFURU' baada ya kufanya
birthday party ya kufa mtu ndani ya mgahawa wa CHICKEN HUT uliopo
Mlimani City jijini Dar es Salaam na kuudhuliwa na mastar kibao wa
tasnia iyo ya filamu nchini.
Akizungumza alisema anafuraha sana kutimiza
miaka kadhaa apa duniani kwani sio wote waliobahatika kufika kama
alipofikia yeye ivyo hana budi zaidi ya kumshukuru
Mungu na kusherehekea
na marafiki zake...
Habari chini ya kapeti zinasema pati iyo ilimgharimu zaidi ya milioni mbili kwani watu walikula, walikunywa hadi kusaza...
Happy belated birthday GETUCELEBRITY Mwenyez Mungu akupe miaka mingi zaidi na yenye heri duniani...
No comments:
Post a Comment