-Mateka wote wadaiwa kuokolewa
-Vikosi vya usalama vinakamilisha zoezi la kudhibiti jengo zima la Westgate
-Idadi ya magaidi waliouawa ni sita
-Milio ya risasi ilisikika leo asubuhi, mchana kutoka ndani ya jengo
-Vikosi vya usalama vinakamilisha zoezi la kudhibiti jengo zima la Westgate
-Idadi ya magaidi waliouawa ni sita
-Milio ya risasi ilisikika leo asubuhi, mchana kutoka ndani ya jengo
TAARIFA kutoka serikali ya Kenya zinadai kuwa mateka wote waliokuwa
wanashikiliwa na magaidi katika jengo la Westgate wameokolewa.
Vikosi
vya usalama nchini humo vinadai kuwa viko katika hatua za mwisho
kukamilisha zoezi la kudhibiti jengo zima la Westgate. Magaidi wapatao
sita wanadaiwa kuuawa usiku wa kuamkia leo.
Lakini taaria kutoka shirika la AFP zinadai kuwa majeshi ya Kenya yangali yanakabiliana na baadhi ya magaidi ambao wamesalia ndani ya jengo la hilo.
Inadaiwa kuwa magaidi hao walijitawanya ndani ya jengo hilo kila mmoja akijificha sehemu yake katika ghorofa ya juu za jengo hilo.

Katika shambulio
hilo lililotokea Jumamosi iliyopita, watu 62 wanadaiwa kupoteza maisha
wakati 175 wakijeruhiwa japo kuna taarifa kuwa idadi ya waliokufa ni 69
mpaka sasa. Katika shambulio hilo, mwanamke Samantha Lewthwaite anadaiwa
kuwa miongoni mwa magaidi 10-15 waliohusika.
No comments:
Post a Comment