Mwigizaji Rose Ndauka amesema kuwa anapumzika kwenye tasnia ya
filamu kwa mwaka mmoja kwakuwa filamu za Tanzania zinafanana sana na
anataka aje na kitu kipya na tofauti.
Kwa mujibu wa gazeti la mwanaspoti Rose Ndauka amesema wazo
hilo limetokana na tatizo la kufanya kazi zinazojirudia mara kwa mara,
hali iliyomfanya aamue kujipa likizo ya muda ili kujipanga.Hata
hivyo kauli hiyo inaweza kuwa na utata muigizaji huyo ni mjamzito kwa
sasa na huenda hiyo ndio ikawa ni sababu kubwa ya yeye kusimama kwa
muda.
No comments:
Post a Comment