Kaimu Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya akimpa mkono wa pole Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa jana.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pole Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa jana.
Godfrey Mgimwa, mmoja wa watoto wa Marehemu Dkt William Mgimwa, akiongea kwa niaba ya familia wakati wa mazishi kijijini Magunga jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Sehemu ya Wabunge waliohudhuria mazishi hayo.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiongea kwa niaba ya Serikali.
Sehemu ya Wabunge na Mawaziri waliokuwa katika mazishi hayo.
Kaimu Waziri wa Fedha Mhe Saada Mkuya akiongea msibani hapo.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Mhe Anne Makinda akiongea.
Waziri wa Fedha wa Zanzibar Mhe Omar Yusuf Mzee akiongea katika mazishi hayo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula akisema machache.
Waombolezaji wakiwa msibani hapo.
Sehemu ya wananchi wa Kalenga wakiwa msibani.
Vijana kwa wazee walifurika mazikono.
Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa mazikoni hapo.
Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akiongea kwa niaba ya kiongozi wa kambi ya upinzani Bungeni.
Mwenyekiti wa CCM Iringa akiongea.
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt Servacius B. Likwelile akisoma wasifu wa marehemu.
Mbunge wa Namtumbo na Jirani ya marehemu Mhe Vita Kawawa akiweka shada la maua.
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe Philemon Luhanji akiweka shada la maua.
Wakuu wa Wilaya mbalimbali wakiweka shada lao la maua.
Wazee Joseph Mungai na Mzee John Lamba wakiweka shada la maua kwa niaba ya Wazee wa Iringa.
Waombolezaji wakiweka shada lao la maua.
Wakurugenzi wa vitengo mbalimbali wizara ya fedha wakiweka mashada yao.
Wakuu wa vyombo vya fedha wakiweka mashada yao.
Wakuu wa Vyombo vya fedha wakiweka mashada yao kaburini.
Manaibu Waziri wa Fedha Mhe Janeth Mbene (kulia) na Mhe Saada Mkuya wakiweka shada lao.
Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bw. William Erio na maofisa waandamizi wa Benki Kuu wakiweka mashada yao.
Makamishna wa fedha wakiweka shada lao.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Bw. Servacius B. Likwelile wakiweka shada lao.
Wabunge wa Iringa wakiweka shada lao.
Machifu wa Uringa wakiweka shada lao.
Wenyeviti wa kamati za kudumu za bunge wakiweka shada lao.
Makamishna wa Bunge wakiweka shada lao.
Mawaziri Profesa Anna Tibaijuka na Dkt Mary Nagu wakiweka mashada.
Katibu Mkuu wa CCM Ndg Abdulrahman Kinana akiweka shada la maua.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula akiweka shada.
Mbunge wa Iringa Mjini Mchungaji Peter Msigwa akiweka shada la maua.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Anne Makinda na Naibu wake Mhe Job Ndugai wakiweka shada lao la maua.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiweka shada la maua.
Msaidizi maalum wa marehemu akiweka shada la maua.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada lao la maua.
Watoto wa marehemu wakiweka mashada yao ya maua
Mama Mzazi wa marehemu akiweka shada ya maua.
Monsinyori Julian Kingalawe akiweka shada la maua.
Mjane wa marehemu akiweka shada la maua.
Machifu wakiweka udongo kaburini.
Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini
Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini.
Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini.
Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini.
Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini.
Katibu Mkuu wa CCM, Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini.
Mawaziri, manaibu mawaziri na wabunge wakiweka udongo kaburini.
Spika Anne makinda akiweka udongo kaburini.
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula akiweka mchanga.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akiweka mchanga.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete akiweka mchanga kaburini.
Rais Kikwete akitoa pole kwa wana kalenga.
Rais Kikwete akitoa mkono wa pole kwa Chifu.
Rais Kikwete akimfariji mjane wa marehemu.
Poleni sana.
Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiweka shada lao la maua.
HABARI/PICHA NA MUHIDIN MICHUZI
No comments:
Post a Comment