Denti wa chuo anayefahamika kwa jina moja la Martha akiwa mtupu kitandani.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, picha hizo ziliwekwa katika
mtandao mmoja wa kijamii makusudi na bwana’ke, anayedaiwa kuwa ndiye
aliyempiga kwa ridhaa yake mwenyewe kabla ya kukorofishana.Inadaiwa kuwa picha hizo ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi katika blogs karibu zote nchini, hatimaye zilimfikia msichana huyo anayedaiwa kuishi Tabata, ambaye kwa aibu, alimtumia msichana mwingine.
Picha ya Martha ya utupu akiwa bafuni.
Baada ya Martha kumtumia msichana huyo aliyejitambulisha kwa jina la
Lilian aliyedai kuwa ni dada yake, akimlaumu mmiliki wa mtandao kwa
kuzirusha picha za mdogo wake bila kuuliza zilikotoka.Gazeti hili linayo majibishano yaliyorekodiwa kati ya dada na mmiliki huyo, ambako Lilian alitishia kulipeleka suala hilo katika vyombo vya sheria, tishio ambalo lilikebehiwa.
“Usitutishe, hizi picha kazipiga mwenyewe kwa pozi tofauti, unataka sisi tufanyaje na aliyempiga ni bwana’ke, kwanza huu ni ulimbukeni na tunazisambaza makusudi ili liwe funzo kwa wengine wanaofanya ujinga huu,” alisema mmiliki huyo.
Martha akipozi bafuni bila haya.
Kutokana na aibu aliyoipata msichana huyo, taarifa kutoka chuoni
kwao, zinasema akiwa na hofu ya picha hizo kuwafikia walimu na hivyo
kuharibu sifa yake, amekuwa akiwaambia marafiki zake kuwa anafikiria
kuhama.
No comments:
Post a Comment