EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, December 17, 2014

NIMETEMBEA NA MASTAA 15

Stori: Mayasa Mariwata na Shani Ramadhani
Mamaaa! Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ ameibuka na kuanika kijasiri kuwa ‘ameshambonji’ na mastaa wa kiume 15 wa Bongo huku akisema kitendo hicho hakijamuondolea hadhi yake, Risasi Mchanganyiko linatiririsha.
Muuza nyago kwenye sinema za Kibongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’.
Akizungumza katika mahojiano maalum na waandishi wetu mwishoni mwa wiki iliyopita jijini Dar, Bozi alitamka hayo kwa kujiamini zaidi.Mahojiano kati ya msanii huyo na Risasi Mchanganyiko yalikuwa kama ifuatavyo:
Risasi: “Mzima Bozi?”

Bozi: “Mi mzima sana. Enhe! Karibuni  maana nasikia mmenitafuta sana, kuna nini?”
Risasi: “Tumeshakaribia. Sisi tunataka kufanya mahojiano na wewe kuhusu sanaa kwa ujumla, ugumu na wepesi wake.”
Bozi: “Oke, sawa.”
Fatuma Ayubu ‘Bozi’akipozi.
Risasi: “Oke, labda kwa kuanzia Bozi, umeshapambana na ugumu wowote kwenye fani? Kama vile kulazimishwa kuvaa nguo za hasara kutokana na ‘sini’ unayoigiza?”Bozi: “Bahati nzuri nguo tunazovaa kwenye ‘viwanja’ kujirusha ndizo hizohizo hata tunazovaa mtaani. Kwa hiyo hakuna ugumu wowote.”
Risasi: “Wasanii mnaoibukia siku hizi mnadaiwa mmevamia fani ili kuuza sura na kutafuta mabwana, hasa mapedeshee. Kuna ukweli?”Bozi: “Pengine wapo lakini mimi nimeingia kwenye fani kwa sababu ya msukumo wa kipaji changu na si kutafuta mabwana. Kama mabwana mbona wapo mastaa kibao nilishalala nao kabla.” 
Mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akipozi ndani ya Ofisi za Global.
Risasi: “Ziko habari kwamba, kila msanii mdogo Bongo anapoingia kwenye fani, ili atoke sawa lazima awe amegawa penzi kwa mastaa wakubwa, madairekta au maproduyza. Vipi wewe, imekutokea hiyo?”
Bozi: “Hapana! Sijawahi kuombwa penzi.
Ila kama nilivyosema, mapenzi yapo ndiyo maana nikasema kuna mastaa wakubwa tena wenye levo ya juu Bongo nimeshalala nao lakini si kwa sababu ili nitoke, walinipenda tu.”
Risasi: “Hebu tubaki hapo kwa muda! Hao mastaa unaweza kuwataja kwa majina?”
Bozi: “Sidhani kama nitaweza, lakini ni mastaa wakubwa, si wa filamu tu, wengine ni wa Bongo Fleva. Tena wapo ambao ni waume za watu.”
Staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba ndani ya Ofisi za Global.
Risasi: “Wangapi?”
Bozi: “Hao waume za watu au mastaa kwa ujumla. Kama ni mastaa wote niliowahi kulala nao ni kumi na tano.“Lakini naomba ijulikane na jamii kwamba, hiyo haiwezi kushusha hadhi yangu. Kibaya ni kama ningekuwa nawapanga wanaume foleni lakini mimi nilikuwa na mmoja, nikiachana naye ndipo naanzisha uhusiano na mwingine.”
KUHUSU UKIMWI
Msanii huyo alipoulizwa kuhusu orodha hiyo ndefu ya wanaume katika zama hizi zenye magonjwa mengi, alisema haofii maradhi yakiwemo ukimwi kwa vile anajilinda vyema.
AMZUNGUMZIA DIAMOND
Risasi: “Katika hao mastaa wakubwa Bongo yupo Diamond?”
Bozi: “Diamond ni kijana mzuri kwa mwanamke yeyote anayejitambua lazima avutiwe naye, kama Mungu amepanga niwe naye kimapenzi hilo halitaweza kupingika kwa sababu ni kijana mzuri ananivutia mno, naamini ipo siku atakuwa wangu.”
Bob Junior akiwa kazini.
RISASI LAUMIZA KICHWA
Baada ya kumaliza mahojiano na Bozi, Risasi lilikaa chini na kuanza kuumiza kichwa  ili kubaini katika mastaa hao kumi na watano ni akina nani wanaweza kuwa ndiyo walilala na msanii huyo.
ORODHA YA GAZETI LA RISASI
Kwenye orodha ya wasanii ambao risasi liliwaingiza kichwani kwamba wanaweza kuwa wao, si kwa tabia zao bali kwa ukubwa wa majina yao ni Dully Sykes (Bongo Fleva), Awadh Mahsen ‘Dk. Cheni’ (Bongo Movies), Barnaba Elias (Bongo Fleva), Jumanne Kihangala ‘Mr. Chuz’, Kiwewe, Lingo, Tito na Mboto (wote kutoka Bongo Movies).
Wengine ni Rahim Rummy Nanji ‘Bob Junior’ (Bongo Fleva), Elibariki Emanuel ‘Nay wa Mitego’ (Bongo Fleva), Young D, Dogo Aslay, Sam wa Ukweli na Ali Kiba (wote Bongo Fleva), Jacob Steven (JB) (Bongo Movies), Vicent Kigosi ‘Ray’ (Bongo Movies).
Barnaba Boy.
MASTAA WASAKWA
Risasi Mchanganyiko liliamua kuwasaka mastaa hao kwa njia ya simu ili kumuuliza kila mmoja kama anamfahamu Bozi na kuzungumzia kama amewahi kuanguka naye.
Dk. Cheni: “Ni kweli namfahamu kuwa ni msanii wa filamu, lakini si kwa masuala ya mapenzi.”
Barnaba: “Simfahamu! Mwanamke mwenye uhusiano na mimi ni mama Steve (mkewe) peke yake. Huyo mnayemsema inawezekana namfahamu kikazi tu na si kimapenzi.”
Dully: “Mimi nimeoa, nina watoto siwezi kuwa na mwanamke mwingine pembeni. Mke wangu ananitosha, hata yeye anafahamu kuwa mimi siyo mchepukaji.”
Bob Junior: “Simjui mtu huyo.”
Msanii wa filamu Bongo, Vicent Kigosi, 'Ray'.
Sam wa Ukweli: (hakupatikana hewani).
Young D: “Simjui huyo demu.”
Dogo Aslay: “Simjui huyo mwanamke, halafu sikia, sitaki uniulize habari za huyo mtu.”
Mboto: (hakupatikana hewani).
JB: “Hilo jina hata silikumbuki kama nimewahi kulisikia.”
Ray: (hakupatikana hewani).
Mr. Chuz: “Labda namfahamu, lakini itakuwa kikazi zaidi. Tehe! Tehe!”
Kiwewe: (hakupatikana hewani).
Tito: (hakupatikana hewani).
CHANZO: GPL

No comments:

Post a Comment

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate