TUME ya Taifa ya Uchaguzi inawaomba wananchi wote wenye sifa wa jijini Dar es Salaam kujitokeze kwenda kujiandikisha, ili waweze kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu. Zoezi hili linaanza leo tarehe 22/7/2015 hadi 31/7/2015 (Saa mbili asubuhi hadi saa kumi na mbili jioni).
Fahamu jinsi ya kujiandikisha ili uweze kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
1. Nenda kwenye kituo cha kuandikisha Wapiga Kura kilichopo jirani na maeneo unayoishi.
2. Jitambulishe kwa Mwandishi Msaidizi, na Mwandishi Msaidizi atakuuliza maswali kwa ajili ya kujaza fomu maalum.
3. BVR kit Operator atachukua alama za kielektroniki ikiwa ni pamoja na kupiga picha yako.
4. Pokea kitambulisho cha Mpiga Kura ili ukihakiki kama kipo sahihi na baada ya kujiridhisha, utakuwa umekamilisha zoezi hilo.

No comments:
Post a Comment