KARIBU SANA HAPA www.akclassic.blogspot.com

Rais
Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi katika maadhimisho ya siku ya
Ukimwi Duniani yaliyofanyika kwenye uwanja wa Ilulu Mjini Lindi, huku
wadau mbalimbali wa masuala ya mapambano ya ukimwi wakishiriki kwa
kufanya maonyesho na kutoa elimu na maelezo mbalimbali yanayohusu
mapambano ya ukimwi, Rais Pia ameshuhudia utiwaji saini wa msaada wa
Dola za Kimarekani Milioni 308 kutoka mfuko wa Global Fund uliosainiwa
kati ya Katibu katibu wa Ofisi ya rais Paniel Lyimo na Ramadhan
Kijahkati Kabu Mkuu Wizara ya Fedha huku Mfuko wa Global Fund
ukiwakilishwa na Christoph Benn Mkurugenzi wa mfuko huo.
Christoph
Benn Mkurugenzi wa mfuko Global Fund akizungumza wakati wa maadhimisho
ya siku ya Ukimwi Duniani iliyofanyika kwenye uwanja wa Ilulu mjini
Lindi.
Rais
Jakaya Kikwete akipokea maandamano ya wananchi wa mkoa wa Lindi wakati
wa maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani iliyofanyika mjini Lindi jana .
kutoka kulia ni Mke wa Rais Mama Salma Kikwete, Mkurugenzi wa Tume ya
kudhibiti Ukimwi TACAIDS Fatuma Mrisho na kushoto ni mkuu wa mkoa wa
Lindi Ludovick Mwananzila.![]() |
| Hussein Twaha wa Serengeti, akiwatoka wachezaji wa Kongo Brazzaville katika mchezo wa kwanza mjini Dar es Salaam. Picha kutoka Maktaba ya BIN ZUBEIRY |

