Waziri wa Afrika Mashariki Mh
Samwel Sitta akipokelewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni
ya Bia ya Serengeti Mh jaji Mstaafu Mark Boman mapema leo wakati
alipotembelea Kiwanda cha Kutengeneza Bia cha Serengeti Kilichopo Maeneo
ya Chang'ombe Jijini Dar Es Salaam Kwaajili ya Kujionea Shughuli
zinazofanywa na Kiwanda hiko cha Bia.Kushoto Ni Mkurugenzi Mtendaji wa
Kampuni ya Bia ya Serengeti Bw Steve Gannon
Waziri wa Afrika Mashariki Mh
Samwel Sitta akisalimiana na Mmoja wa Viongozi wa Juu wa Kampuni ya Bia
ya Serengeti mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha Bia cha Serengeti
kwaajili ya Kujionea shughuli zinazofanywa na kiwanda hiko ambacho ndio
watengenezaji wa Kinywaji cha Bia aina ya Serengeti lager.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Tanzania Mh Jaji Mstaafu Mark Boman
akitoa taarifa ya kampuni ya Bia ya Serengeti kwa Waziri wa Afrika
Mashariki Mh Samwel Sitta wakati alipotembelea kiwanda cha Kutengenezea
Bia za kampuni ya Bia ya Serengeti jana.
Waziri wa Afrika Mashariki Mh
Samwel Sitta akipewa taarifa juu ya maendeleo ya Kampuni ya Bia ya
Serengeti (SBL) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Bia
ya Serengeti (SBL) wakati alipotembelea Kiwanda hiko siku ya jana Kwaajili
ya Kujionea shughuli nzima zinazofanywa na Kampuni ya Bia ya Serengeti
kupitia Kiwanda Chake kilichopo Maeneo ya Chang'ombe Jijini Dar es
Salaam
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Bia ya Serengeti (SBL) Mh Steve Gannon akitoa maelezo kwa Waziri wa
Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Hayupo pichani) wakati alipotembelea
kiwanda cha Kuzalisha bia cha Serengeti.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya
Bia ya Serengeti Mh Steve Gannon (Mwenye Suti Nyeusi) akimuonyesha
Waziri wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Mwenye Mvi) moja la Tangazo
la kampeni inayoendelea hivi sasa ya Tupo Pamoja katika Shangwe za
Mafanikio kutoka kampuni ya Bia ya Serengeti Wakati alipotembelea
Kiwanda hicho.
Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya
Bia ya Serengeti (SBL) Mh Ephraimu Mafuru akitoa maelezo kwa Waziri wa
Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta (Hayupo pichani) aliyefika katika
Kiwanda cha Kampuni ya Bia ya Serengeti kilichopo Maeneo ya Chang'ombe
Jijini Dar Es Salaam kwaajili ya kujionea shughuli
zinazofanywa na Kiwanda hiko
Waziri wa Afrika Mashariki Mh
Samwel Sitta (Wa kwanza Kushoto) akitembezwa na baadhi ya wafanyakazi wa
Kampuni ya Bia ya Serengeti Wakati alipotembelea kiwanda Cha Kampuni
hiyo kilichopo Chang'ombe Jijini Dar Es Salaama.
Waziri wa Afrika Mashariki Mh
Samwel Sitta (Katikati) akipewa ufafanuzi juu ya mashine ya kusafisha
Chupa zinazowekewa Kinywaji cha Bia ya Serengeti Wakati alipotembelea
Kiwanda cha Kampuni ya Bia ya Serengeti kilichopo Chang'ombe Jijini Dar.
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia ya
Serengeti Wakipakia bia kwenye makasha tayari kwa Kusafrishwa mara baada
ya Hatua zote kumalizika
Waziri
wa Afrika Mashariki Mh Samwel Sitta Akifanya mahojiano na Baadhi ya
waandishi wa Vyombo mbalimbali vya habari Wakati alipotembelea Kiwanda
cha Kampuni ya Bia Cha Serengeti Kilichopo Chang'ombe Jijini Dar Es
Salaam mapema siku ya jana asubuhi.Picha na Josephat Lukaza wa Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment