Sunday, November 30, 2014
WEMA SEPETU AZUA GUMZO BAADA YA KUMUITA DIAMOND 'KAKA'
Huku macho na masikio ya wananchi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yakiwa kwenye bunge la katiba linalojadili lile sakata la tegeta ESCROW, mwanadada Wema sepetu ameamua naye kuzua gumzo kwenye mtandao baada ya kutoa salamu ya pongezi kwa kijana Naseeb al maarufu kama Chibu dangote ama Diamond platnumz kwa ushindi wake wa tuzo 3 kwenye tuzo za Channel O MUSIC AWARDS zilizofanyika huko Afrika ya kusini akitumia neno KAKA katika sentensi yake kitu ambacho kimezua minong’ono ya hapa na pale kwenye mtandao ule maarufu wa kijamii wa picha nchini.
Katika post yake hiyo Wema aliandika
“…Hongera tele ziende kwa kaka platnumz... I must say he did Tanzania proud..” na kufanya watu waanze kufunguka ya kwaio ya moyoni kuhusu kauli hiyo na baadhi yao walisema haya.
MELA : “Leo kawa kaka!!!!!! Aiseeee mapenz ya mastaa mafupi kama mkia wa kondoo”
MAAZIMIO MAPYA SAKATA LA ESCROW: MAMLAKA HUSIKA YASHAURIWA KUTENGUA UTEUZI WA PROF TIBAIJUKA, PROF MUHONGO, JAJI WEREMA NA MASWI
Waziri wa Madini na Nishati, Profesa Sospeter Muhongo.
WABUNGE kwa pamoja wamekubaliana kuondoa maazimio 12 yaliyoletwa
bungeni na Kamati ya PAC na kuleta maazimio mapya 8 ambayo yamekubaliwa.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Jaji Frederick Werema.
Mojawapo ya maazimio hayo ni Mamlaka ya uteuzi kutakiwa iwawajibishe
na kushauriwa kutengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini Profesa
Muhongo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema, Waziri wa
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Prof. Anna Tibaijuka na Katibu Mkuu
wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi kwa kuhusika katika sakata
la akauntii ya Tegeta Escrow.
Bunge limeanza saa 1 kamili jioni
Wakazi - Wanawake Wa Dar (WWD) (Official Video HD)
Saturday, November 29, 2014
HELIKOPTA YAANGUKA UKONGA, DAR, WATU WANNE WADAIWA KUPOTEZA MAISHA
Ajali
ya Helicopter ya Maliasili na Utalii imegharimu maisha ya marubani
3 wa Jeshi la Polisi Tanzania. Sp Kidai Kaluse,
Insp.Simba Must Simba, Pc. Josso Selestine, Na rubani mmoja Capt.
Khalfan,Ajali hiyo imetokea huko Kipunguni B Moshi Bar,Ukonga-Ilala
jijini Dar es
Salaam. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikaa mpaka sasa.
Sehemu ya mabaki ya Helikopta baada ya kuanguka
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
akifafanua jambo mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali,kufuatia kutokea kwa ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne
akifafanua jambo mbele ya Vyombo vya habari katika eneo la ajali,kufuatia kutokea kwa ajali hiyo iliyopelekea vifo vya watu wanne
Mkuu
wa Mkoa wa Dar Es Salaa,Mh.Sadick Meck Sadick akizungumza mbele ya
Vyombo vya habari katika eneo la ajali,kufuatia kutokea kwa ajali hiyo
iliyopelekea vifo vya watu wanne
Baadhi ya Wataalamu wakifanya uchunguzi wa chanzo cha ajali hiyo ya Helikopta.
BUNGE LAAHIRISHWA BAADA YA WABUNGE KUPINGA BAADHI YA MAAZIMIO YA KUWALINDA WATUHUMIWA WA SAKATA LA ESCROW
MAAZIMIO
Pendekezo la kwanza la kumkamata na kumfilisi bwana Seth lina marekebisho ya serikali, naibu waziri wa Sheria anasema haiwezekani
Pendekezo la pili kuhusu Rugemalira, serikali imeweka marekebisho kuhusu uhalali wa pesa za Rugemalira alizogawa
Azimio la TATU limerekebishwa kuwa waliopokea pesa wachunguzwe na kuchukuliwa hatua mahususi kwa mujibu wa sheria
Pendekezo la NNE. Kamati inazitaka mamlaka kuzitangaza benki za Mkombozi na Stanbic kama asasi za utakatishaji fedha
Azimio la 4 limepita kwamba Kamati inazitaka mamlaka husika ikiwemo benki kuu kuchukua hatua dhidi ya benki zote zilizohusika
Azimio la TANO: Serikali ipitie upya mikataba yote ya umeme na kutoa taarifa kabla ya kumalizika kwa Bunge la bajeti lijalo
Azimio la SITA: kuhusu Bodi ya TANESCO kuvunjwa kwa kusababisha pesa kuchotwa na hasara, serikali imekataa, mjadala unaendelea
Kingwangala: Kanuni zetu zinataka mtu yoyote anayetaka mabadiliko ya maazimio lazima awe amekawasilisha kabla
Kafulila: Kwa mujibu wa mkataba wa IPTL, maamuzi ya mwisho yanafanywa na mahakama ya London, bodi walikuwa na maamuzi hayo na haikuwajibika na maamuzi ya mahakama za ndani ya nchi
PICHA ZA UTUPU, VIDEO QUEENS TZ WATIA FORA
STORI: Musa Mateja
WHY? Wauza nyago
wanaotumika katika video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva (video
queens) wametia fora kwa kurekodiwa mikanda ya utupu na kusambaa kwenye
mitandao ya kijamii na simu za kupangusa, Risasi Jumamosi lina ripoti
kamili.
PENNY: SIWEZI KUVUNJA USHOSTI WA WEMA, AUNT!
MTANGAZAJI Bongo,
Penniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa kamwe hawezi kuwagombanisha
marafiki wa damu, Wema Sepetu ‘Madam’ na Aunt Ezekiel, baada ya yeye
kuingilia urafiki huo.
Mtangazaji Bongo, Penniel Mungilwa ‘Penny’ akiwa na Wema Sepetu.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Penny alisema kuwa anaamini kabisa
kuna baadhi ya watu hawapendi kuwa na urafiki zaidi ya watu watatu kitu
ambacho siyo sahihi, yeye anaamini baada ya kupatana na Wema hivi
karibuni, watakuwa marafiki watatu.
Wema Sepetu akiwa na Aunty Ezekiel.
“Nafurahi sana tunapokuwa na kampani kubwa nashangaa wengine mpaka
wanafikia kupigana kisa akiona rafiki yake ana urafiki na mtu mwingine,
mimi napenda tuwe wengi ili tuweze kushauriana mambo mbalimbali,”
alisema Penny.
AUNTY LULU ASIMULIA ALIVYOBAKWA
My confession! (kukiri kwangu)! Mwanadada mwenye
taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias
Semagongo ‘Aunty Lulu’ amefungua kinywa na kutoa la moyoni akisimulia
tukio baya lililowahi kumkuta la jinsi alivyobakwa, Risasi Jumamosi lina
‘exclusive story’.
Akizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum yaliyofanyika hivi karibuni dukani kwake Kinondoni jijini Dar, Aunty Lulu asiyeishiwa na vimbwanga alisema kwamba, kamwe hawezi kusahau tukio hilo maishani mwake.
Mwanadada mwenye taito ya utangazaji na uigizaji wa sinema za Kibongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ akipozi.
TUJIUNGE DUKANI KWAKEAkizungumza na gazeti hili katika mahojiano maalum yaliyofanyika hivi karibuni dukani kwake Kinondoni jijini Dar, Aunty Lulu asiyeishiwa na vimbwanga alisema kwamba, kamwe hawezi kusahau tukio hilo maishani mwake.
HAMISA ABWATUKA KISA MABUZI
MWANAMITINDO kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto
amepangua tuhuma ambayo amekuwa akitupiwa na watu wanaomuona aking’aa
kisha kudai anatumia mgongo wa wanaume tofautitofauti (mabuzi).
Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema amekuwa akisikitishwa na tabia hiyo ya watu kumnanga kwenye mitandao ya kijamii kuwa anatupia picha nyingi ili kujiuza kwa mabuzi kitu ambacho si cha kweli.
“Kiukweli asiyekujua hakuthamini, nasema hivi kutokana na watu wengi wamekuwa wakinisema vibaya hasa katika mitandao ya kijamii, wanikome kwani kila mtu ana maisha yake na mimi sitegemei mabuzi kuishi mjini, nina mpenzi wangu mmoja tu,” alisema Mobeto.
Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Hamisa alisema amekuwa akisikitishwa na tabia hiyo ya watu kumnanga kwenye mitandao ya kijamii kuwa anatupia picha nyingi ili kujiuza kwa mabuzi kitu ambacho si cha kweli.
“Kiukweli asiyekujua hakuthamini, nasema hivi kutokana na watu wengi wamekuwa wakinisema vibaya hasa katika mitandao ya kijamii, wanikome kwani kila mtu ana maisha yake na mimi sitegemei mabuzi kuishi mjini, nina mpenzi wangu mmoja tu,” alisema Mobeto.
Friday, November 28, 2014
DIAMOND, ZARI WAUMBUKA!
Licha ya madai wanayoyatoa mastaa wawili hot kwa sasa, Nasibu Abdul
‘Diamond’ na Zarinah Hassan a.k.a Zari au The Boss Lady kuwa si wapenzi
bali kuna project wanaifanya, wawili hao wameumbuka.
Kuumbuka huko kumekuja kufuatia kuvuja kwa picha inayowaonesha mastaa hao wakidendeka huku wakiwa kwenye hisia kali.
Aidha, picha ambayo inawaumbua ni ile ya kudendeka ambapo baadhi ya wadau walioiona walisema, inavyoonekana projecti wanayoifanya imevuka mipaka.
Kuumbuka huko kumekuja kufuatia kuvuja kwa picha inayowaonesha mastaa hao wakidendeka huku wakiwa kwenye hisia kali.
Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zarinah Hassan wakibusiana kimahaba.
Katika picha hizo ambazo kwa sasa zinapatikana mtandaoni, Zari
anaonekana akiwa amevaa kofia ya Diamond wakionekana wenye furaha na
baadaye wakahamia kwenye kupeana mahaba.Aidha, picha ambayo inawaumbua ni ile ya kudendeka ambapo baadhi ya wadau walioiona walisema, inavyoonekana projecti wanayoifanya imevuka mipaka.
Nasibu Abdul ‘Diamond’ na Zarinah Hassan wakiwa kwenye pozi.
“Wasitutanie bwana, hivi kweli kwa picha hii watasema ni projekti?
Hawa ni wapenzi ila hawataki tu watu wajue,” alisema mdau mmoja
aliyejitambulisha kwa jina la John baada ya kuona moja ya picha hizo.ESCROW: UTETEZI MREFU WA WATUHUMIWA UKWELI WABAKI KAMATI YA ZITTO
Stori: waandishi wetu
ESCROW kila kona! Wabongo wameibuka na msemo mpya kuhusu sakata la uchotwaji wa fedha za umma kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow iliyofunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wakilitolea tafsiri iliyobeba kichwa cha habari hii kwamba Escrow ni Eneza Siasa Chota Riziki Ondoa Woga.
ESCROW kila kona! Wabongo wameibuka na msemo mpya kuhusu sakata la uchotwaji wa fedha za umma kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow iliyofunguliwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), wakilitolea tafsiri iliyobeba kichwa cha habari hii kwamba Escrow ni Eneza Siasa Chota Riziki Ondoa Woga.
Waziri mkuu Mizengi Pinda.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na gazeti hili, baadhi ya wananchi
wamesema mtu akitaka riziki kirahisi ajiingize katika siasa na kuanza
kuihubiri pia aondoe woga kama washiriki katika sakata hilo walivyofanya
kwa kujipa ujasiri wa kujichotea shilingi bilioni 306 kutoka kwenye
akaunti hiyo.ISIKIE HII
“Sasa nimeamini, ukitaka kuwa tajiri mkubwa katika nchi hii, we eneza siasa, utaweza kuchota riziki (pesa) kubwa sana hususan kama utaondoa woga,” alisema Fred Jimmy ‘Fredwaa’, mkazi wa Makumbusho jijini Dar es Salaam.
Pamoja na yote hayo, wananchi hao wamesema chochote kitakachofanyika, ni lazima fedha hizo zirejeshwe kutoka kwa wahusika hao, kwani ni fedha za walipa kodi wa Tanzania ambao maisha yao ya kila siku ni ya kubangaiza.
Askofu Mkuu Msaidizi Jimbo la Kagera, Methodius Kilaini.
“Ripoti ya PAC tumeiona na utetezi wa Waziri Sospeter Muhongo pia
tumeusikia, lakini hatuukubali. Anadai kuwa Tanesco haina fedha kwa kuwa
haijaanza kutengeneza faida, kwamba kwa muda wote imekuwa ikidaiwa tu.LUNGI: MTU AMSHOBOKEE BWANA WANGU AONE
Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga amesema mwanaume aliyezaa
naye (jina ni siri yake) anampenda sana na mwanamke asiyejipenda
amshobokee aone kitakachompata.
Staa wa filamu za Kibongo, Lungi Mwaulanga.
Akipiga stori na Ijumaa Lungi amesema anajua kuwa wapo wanawake ambao
wakiamua kutembea na waume za watu hawashindwi lakini akasema, kwa
bwana wake aliyezaa naye akigundua kuna anayemnyemelea, atakufa naye.JOHARI ADAIWA KUNASWA KWA MGANGA!
STAA wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula (pichani) maarufu kama Johari, hivi karibuni alidaiwa kuonekana akiingia nyumbani kwa mganga wa kienyeji (jina linahifadhiwa) katika Kijiji cha Kibeta, mjini Bukoba mkoani Kagera.
Staa wa filamu za Kibongo, Blandina Chagula.
Chanzo chetu cha habari kimedai kuwa Johari akiwa katika bodaboda,
aliingia kwa mganga huyo wa kike anayefahamika sana eneo hilo.“Sijui nilikuwa namfananisha? Nimemuona msanii wenu hapa Kibeta akiingia kwa mganga ila nimeshindwa kumpiga picha maana kasimu kangu ni ka’ tochi, labda kaja kuweka mambo yake sawa,” kilidai chanzo hicho.
PICHA ZA RECHO ZAMZUIA SAGUDA MAMBO YA MAPENZI
Stori: Gladness Mallya ALIYEKUWA
mchumba wa msanii wa filamu Bongo, marehemu Sheila Haule ‘Recho’,
George Saguda amefunguka kuwa picha za mwanadada huyo zimekuwa
zikimfanya asiwe na hisia za kuwa na mwanamke mwingine.
“Tangu alipofariki Recho niko peke yangu na sina mpango wa kuwa na mwanamke mwingine, kwani kila ninapozitazama picha zake naumia sana,” alisema Saguda.
George Saguda akiwa na aliyekuwa mchumba wake marehemu Sheila Haule ‘Recho’.
Akipiga stori na gazeti hili hivi karibuni, Saguda alisema tangu
mchumba wake huyo afariki dunia hajawahi kuwa na mwanamke na hana mpango
huo kwa sasa labda hapo baadaye.“Tangu alipofariki Recho niko peke yangu na sina mpango wa kuwa na mwanamke mwingine, kwani kila ninapozitazama picha zake naumia sana,” alisema Saguda.
CHENGE, CHENGE, CHENGE TENA?
Makala: Ojuku Abraham
KAMA Mwalimu Julius Kambarage Nyerere angekuwa bado anatawala nchi hii, ni watu wachache sana wangeweza kulijua jina la Andrew Chenge, yule mwanasheria mkuu wa zamani wa serikali, aliyekaa katika ofisi hiyo kubwa na yenye heshima, kuanzia mwaka 1993 hadi 2005.
Lakini katika nchi ambayo inaendeshwa kwa hila na dili, jina hili linajipatia umaarufu na kuenziwa, bila kujali ni kwa kiasi gani, Watanzania zaidi ya milioni 45 wanaishi kwa dhiki na mateso kutokana na yeye kuitumia vibaya ofisi ya umma kujinufaisha.
Ni katika kipindi chake akiwa mwanasheria mkuu wa serikali, ndipo nchi yetu imeshuhudia kashfa za mikataba mingi mibovu, isiyo na tija kwa nchi, ikisainiwa. Siyo tu mikataba bali hata sheria nyingi zisizofaa zikilazimishwa kutumika.
Thursday, November 27, 2014
MWANAMUZIKI BILEKU MPASI KUTOKA CONGO (DRC) NA MASHUJAA BAND KUFANYA ONESHO LA PAMOJA DISEMBA 12-2014 UKUMBI WA ASCAPE 1 MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM KUZITAMBULISHA NYIMBO MBILI MPYA ZA BAND HIYO
Rais wa Band ya Mashujaa, Chalz Baba
Rais wa Band ya Mashujaa, Chalz Baba (kushoto), akitoa burudani mbele ya wanahabari Dar es Salaam leo, kuhusu onesho hilo litakalofanyika katika ukumbi huo.. Kutoka kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Mabibo, Joseph Emanuel na Ofisa Uhusiano wa Band ya Mashujaa, King Dodo la Buche.
Ofisa Uhusiano wa Band ya Mashujaa, King Dodo la Buche (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu onesho hilo. Kulia ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Mabibo, Joseph Emanuel na Rais wa Band ya Mashujaa, Chalz Baba.
SOMA TAARIFA YA WAZIRI WA NISHANI NA MADINI PROF.MUHONGO KUHUSIANA NA SAKATA LA IPTL NA TEGETA ESCROW ALIYOIWASILISHA BUNGENI LEO
Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo.
Ameanza kwa kuomba radhi kama jana kulikuwa na usumbufu wa umeme na anawaagiza mameneja wote wa TANESCO wasikate umeme.Anatoa pongezi juu ya mjadala wa Escrow, mengi yamesemwa na ni wakati wa kuanza mjadala kujua ukweli, Shukrani kwa CAG, TAKUKURU kwa uchunguzi. Pia nawashukuru PAC, jana tulitulia kuwasikiliza PAC na leo tutulie tusikilize utetezi wangu.
Spika wa Bunge, Anne Makinda.
Miaka ya 1990 tulikuwa tuna upungufu wa umeme kutokana na maji, 1994
serikali ilitoa kazi ya uwekezaji kwa IPTL ilikuwa inamilikiwa na VIP ya
Tanzania iliyokuwa na 30% na Mechmar ya Malaysia 70%.Kulingana na mkataba, majukumu ya IPTL yalikuwa kujenga, kumiliki na kuendesha hivyo utaifishaji utaiingiza serikali katika matatizo makubwa ikiwemo kushtakiwa kimataifa pia itafukuza wawekezaji binafsi. TANESCO na IPTL walisainiana mkataba wa miaka 20, hata hivyo uzalishaji haukuanza mara moja kutokana na mgogoro ulioibuka baina ya TANESCO na IPTL
IPTL ilianza kuzalisha umeme 2002 hivyo mkataba ukaanza kuhesabiwa hapo, kutokana na mgogoro ikafunguliwa Escrow Account na Escrow ilizungumziwa toka mkataba wa 1995.
2004 TANESCO ilifungua shauri kupinga tozo la capacity charge
Taarifa hii sio ya kweli kwani TANESCO haijawahi kufungua kesi yoyote dhidi ya Standard Charted kama ilivyosemwa na PAC. Kesi hiyo ilifunguliwa na Standard Charted na ilikuwa haihusu capacity charge. Hamna kokote mkataba kati ya Standard Charted na TANESCO.
ANDY MURRAY AMALIZIA KWA FURAHA YA USHNDI
Andy Murray akiwa na mkewe mtarajiwa Kim Sears.
Kinda Murray, kulia, akimbusu Kim Sears baada ya michuano ya SAP Open mwaka 2006
MCHEZAJI
bora nambari moja wa tenisi Uingereza na bingwa wa Wimbledon, Andy
Murray amemvisha pete ya ucuhumba mpenzi wake, Kim Sears, waliyedumu
naye kwa miaka zaidi ya tisa.
Wawakilishi
wa Murray wamethibitisha uchumba huo wa kiajan huyo mwenye umri wa
miaka 27, Murray na Sears, mwenye umri wa miaka 26, lakini hawakutoa
taarifa zaidi.
Kimwana huyo, Miss Sears, ambaye Sahada, alikutana na Murray katika michuano ya US Open mwaka 2005.
KUTOKA BUNGENI DODOMA LEO: MASWALI KWA WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.
KIKAO cha Bunge leo kimeanza kwa maswali kwa Waziri
Mkuu ambapo aliyekuwa wa kwanza kuuliza alikuwa ni Kiongozi wa Kambi
Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe.
Kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe.
Alianza Mbowe: “…Chini ya uongozi wako kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ukiwa kiongozi wa shughuli za Kiserikali Bungeni, tumeiona Serikali ikikumbana na matatizo na vikwazo vingi ikiwemo ‘Operesheni Tokomeza’ ambayo ilipelekea wananchi wengi kupoteza maisha na wengine kupata vilema…“
Tumeona mauaji ya raia yakiendelea Kiteto, kashfa kubwa ambayo iko current sasa hivi ikiwa ni pamoja na kauli zako ulizowahi kuzisema kwamba fedha zilizopotea za akaunti ya Escrow hazikuwa fedha za umma bali zilikuwa fedha za watu binafsi…“– Mbowe.
ARSENAL YATINGA 16 BORA LIGI YA MABINGWA BAADA YA KUICHAPA 2-0 DORTMUND
WASHIKA
Bunduki, Arsenal wamefuzu kuingia hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa
Ulaya kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Borussia Dortmund Uwanja wa
Emirates katika mchezo wa Kundi.
Yaya
Sanogo aliifngia Arsenal bao lake la kwanza kwenye mechi ya mashindano
dakika ya pili, ingawa kinda huyo Mfaransa alionekana kama alikuwa
ameotea.
Alexis Sanchez akaifungia timu ya Arsene Wenger bao la pili dakika ya 57 na kuihakikishia kuingia hatua hiyo ya mtoano.
Kikosi
cha Arsenal kilikuwa; Martinez, Chambers, Mertesacker, Monreal, Gibbs,
Arteta/Flamini dk66, Oxlade-Chamberlain/Campbell dk89, Ramsey, Cazorla,
Sanchez, Sanogo/Podolski dk78.
Borussia
Dortmund; Weidenfeller, Piszczek, Subotic, Ginter, Schmelzer, Gundogan,
Bender, Grosskreutz, Immobile/Kagawa dk60, Mkhitaryan na
Aubameyang/Ramos dk60.
Alexis Sanchez akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili dhidi ya Borussia Dortmund
Sanogo akifumua shuti kumtungua kipa wa Dortmund, Weidenfeller (kulia) kuifungia Arsenal bao la kwanza
NCHI YATIKISWA NA ESCROW
Dodoma.
Hatimaye mtikisiko wa tano umetimia na nchi kutikiswa; ripoti ya Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) imependekeza kuwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Mwanasheria Mkuu, Waziri wa Nishati na Madini, naibu wake na katibu mkuu wa wizara hiyo wawajibishwe kutokana na kuhusika kwao kwenye sakata la uchotwaji wa Sh306 bilioni kutoka kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow.
Akaunti hiyo ilifunguliwa kwa ajili ya kutunza fedha za gharama za uwekezaji (capacity charge) baada ya kuibuka mzozo wa kimkataba baina ya Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) na kampuni binafsi ya IPTL ambayo iliingia mkataba wa kufua umeme na kuliuzia nishati hiyo shirika hilo la umma.
Ripoti hiyo ilisomwa jana bungeni kwa kupokezana kati ya Mwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe na Makamu mwenyekiti, Deo Filikunjombe baada ya majadiliano marefu kwenye vikao vya ndani vya CCM na Kamati ya Uongozi wa Bunge na jitihada kubwa za kutaka isisomwe na kujadiliwa.
BALOZI LIBERATA MULAMULA AMKARIBISHA BALOZI MPYA WA ZIMBABWE NCHINI MAREKANI UBALOZINI TANZANIA HOUSE
PUNGUZO LA ASILIMIA 40 KWA MTANZANIA ATAKAYETIBIWA HOSPITALI YA IRAN YA DUBAI
Balozo
Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa
hospitali ya Iran huko Dubai wakitia saini makubaliano ambapo hospitali
hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa
Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubai
Balozo Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa hospitali ya Iran huko Dubai wakibadilishana hati za makubaliano ambapo hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubai
Balozo Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe Omar Mjenga na Dkt. Asghar Farshad wa hospitali ya Iran huko Dubai wakibadilishana hati za makubaliano ambapo hospitali hiyo imetoa ofa ya punguzo la asilimia 40 ya malipo ya matibabu kwa Mtanzania yeyote atayekwenda kutibiwa hapo Iranian Hospital Dubai
DIDA: EZDEN AKIOA, NITAANZA KUMCHANGIA!
MTANGAZAJI mwenye maneno lukuki kutoka Radio Times
FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amesema kuwa endapo mtalaka wake, Ezden
Jumanne akitaka kuoa yeye atakuwa wa kwanza kutoa mchango wa harusi
hiyo.
Dida ambaye kwa sasa yupo singo, alisema
japokuwa wameacha na Ezden, lakini hana bifu naye kwa sababu anaamini
kuwa yuko katika harakati za kutafuta mke bora hivyo haoni shida
kumchangia.
GARDNER KWA HALI HII SASA IDE BASI TENA
CHANZO: GLOBAL PUBLISHERS
JAHAZI linazidi kwenda mrama! Wakati shauri lao la kugawana mali likidaiwa kufikishwa mahakamani, picha mpya imenaswa ikionesha dhahiri kwamba Mtangazaji Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteni’ ameamua kusonga mbele na maisha yake na kusahau kabisa kama alikuwa na mke aitwaye Judith Daines Wambura Mbibo ‘Jide’, Amani linakupa mchapo kamili.
Picha hiyo ambayo inamuashia ‘endiketa’ Jide kuashiria kwamba, Gardner amejiweka pembeni na kuwa bize na ‘starehe’ zake, inamuonesha mtangazaji huyo akiwa ‘ziro distensi’ na kabinti kabichiii (jina halikupatikana mara moja) katika bwawa la kuogelea (swimming pol) huku wakiwa wamening’iniza miguu kwenye maji.
JAHAZI linazidi kwenda mrama! Wakati shauri lao la kugawana mali likidaiwa kufikishwa mahakamani, picha mpya imenaswa ikionesha dhahiri kwamba Mtangazaji Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteni’ ameamua kusonga mbele na maisha yake na kusahau kabisa kama alikuwa na mke aitwaye Judith Daines Wambura Mbibo ‘Jide’, Amani linakupa mchapo kamili.
Mtangazaji
Gardner Gabriel Fikirini Habash ‘Kapteni’ akila ujana na binti (jina
halikupatikana mara moja) mrembo bwawani (swimming pol).
PICHA IPOJE?Picha hiyo ambayo inamuashia ‘endiketa’ Jide kuashiria kwamba, Gardner amejiweka pembeni na kuwa bize na ‘starehe’ zake, inamuonesha mtangazaji huyo akiwa ‘ziro distensi’ na kabinti kabichiii (jina halikupatikana mara moja) katika bwawa la kuogelea (swimming pol) huku wakiwa wamening’iniza miguu kwenye maji.
BABA WA MSANII ASHUSHA KICHAPO
Stori: Waandishi Wetu
Baba mmoja ambaye jina halikupatikana mara ameshusha kichapo kwa wasanii ambao ni maprodyuza waliokuwa wakimchezesha mwanaye filamu bila ridhaa yake.
Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio hilo lilijiri juzikati, maeneo ya Mwananyamala-Komakoma jijini Dar ambapo awali binti huyo ambaye ni msanii chipukizi wa kuigiza aitwaye Jeniffer alidaiwa kupigwa mkwara na baba yake kuwa asijishughulishe na masuala ya muvi na badala yake ajikite kwenye masomo yake kufuatia tasnia hiyo kuhusishwa na skendo za ngono.
Ilidaiwa kwamba, Jeniffer alikaidi amri ya mzee wake huyo na kwenda kinyemela kurekodi vipande kadhaa vya muvi ya kikundi chao ambapo taarifa zilimfikia baba yake huyo na kuamua kutimba lokesheni.
Baba mmoja ambaye jina halikupatikana mara ameshusha kichapo kwa wasanii ambao ni maprodyuza waliokuwa wakimchezesha mwanaye filamu bila ridhaa yake.
Kwa mujibu wa mashuhuda wetu, tukio hilo lilijiri juzikati, maeneo ya Mwananyamala-Komakoma jijini Dar ambapo awali binti huyo ambaye ni msanii chipukizi wa kuigiza aitwaye Jeniffer alidaiwa kupigwa mkwara na baba yake kuwa asijishughulishe na masuala ya muvi na badala yake ajikite kwenye masomo yake kufuatia tasnia hiyo kuhusishwa na skendo za ngono.
Ilidaiwa kwamba, Jeniffer alikaidi amri ya mzee wake huyo na kwenda kinyemela kurekodi vipande kadhaa vya muvi ya kikundi chao ambapo taarifa zilimfikia baba yake huyo na kuamua kutimba lokesheni.
Subscribe to:
Posts (Atom)
HABARI MBALIMBALI
‘Dk. Cheni’
‘Sharo Milionea
‘Thea’
African Women
AGNESS MASOGANGE
AK CLASSIC COSMETICS
ALI KIBA
Amanda Poshy
Ant
ANT LULU
Ashley Toto
Aunt Ezekiel
Aunty Ezekiel
AUNTY LULU
Azam Fc
Baby Madaha
BAHATI BUKUKU
Barnaba
BATULI
BBA
Beauty of the day
Belle 9
BI KIDUDE
BIBI BOMBA
Big Brother
Big Brother Africa
Bill Gates
BINTI KIZIWI
BOB JUNIOR
Bodi ya Filamu
Bongo Movie
Bongo Movies
CCM
CHADEMA
Chombezo
Christina Shusho
Chuchu hans.
Clouds Media Group
Club Bilicanas
DAR LIVE
DAVINA
Dayna Nyange
Diamond
Dida
Diva Loveness Love
Dj Ommy Crazy wa Maisha Club
DOGO JANJA
DOKI
DR.CHENI
DSTV
Dude
Dully Sykes
EBSS 2013
Elizabeth Michael
Epiq Bongo Star Search (EBSS)
ESHA BUHETI
Ester Bulaya
Feza Kessy
FIESTA 2014
Flaviana Matata
FLORA MBASHA
FLORA MVUNGI
Francis Cheka
GARDNER
GLOAL PUBLISHERS
GLOBAL TV ONLINE
H. BABA
Halima Mdee
HAMISA
Happy birthday
Hemedi
Hemedy Suleiman
HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Hoyce Temu
Huddah Monroe
HUSINA
IRENE PAUL
Irene Uyoya
ISABELLA
J film 4 life
Jack Chuz
JACK PATRICK
Jacob Steven ‘JB’
Jacqueline Dustan
JACQUELINE WOLPER
Jaji Khamis 'Kashi'
Jay Dee
JENNIFER KYAKA (ODAMA)
JIDE
JINI KABULA
JK
JO
Johari
Jokate Mwigelo ‘Kidot’.
JOTI
Joyce Kiria
Joyce Kiwia
JUX
K-LYNN
KADINDA
kaja
Kajala Masanja
Kapotive Star Singers
KATUNI
Kemmy
Kero Zetu
KHADIJA OMAR KOPA
KIKWETUKWETU
KILI MUSIC AWARDS
KOLETA
Lady Jay Dee
Lady Jaydee
Lake Oil
LAVEDA
Linah Sanga
Linex
Lisa Jensen
Loveness Diva
Lucy Francis Komba
Lulu
M2 The P
MABILIONEA
Madam Rita
MADELA
Magazeti
Mahusiano
Maimartha Jesse
MAINDA
MAISHA
Makala
Malkia Elizabeth
MAMTEI
MANDELA
MARIAM ISMAIL
Masanja Mkandamizaji
Mashindano ya Miss Tanzania
Matangazo
Matonya
MaxMalipo
MAYA
MELLIS EDWARD
MENINAH
MGOSI MKOLONI
Mh Halima Mdee
mic
Michezo
MILLEN HAPPINESS MAGESE
MISS CHANG'OMBE
MISS DAR CITY CENTER
Miss East Africa
MISS REDD'S IRINGA 2013
MISS TANGA 2013.
MISS TANZANIA 2014
Miss Tanzania mwaka 2011
MISS TEMEKE 2014
MISS USTAWI
MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Miss vyuo vikuu 2013
MKALA
MREMBO HUDDAH
Mrisho Mpoto
Mrisho Ngassa
MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES.
MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013
Mtitu
muziki
Mwana FA
MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Mzee Majuto
Nancy Sumari
Nani Mtani Jembe?
NAPE
Nassoro ‘Nora’
Natasha
Nay wa Mitego
Necta
Nelly Kamwelu
NEY WA MITEGO
Nisha
NSSF;Zantel
Nyamwela
NYimbo
Nyota yako
OBAMA TANZANIA
OMMY DIMPOZ
P FUNK
PAM D
Peniel Mgilwa ‘Penny’
PETIT MAN
Profesa Jay
Q - CHILA
Q Boy
Q Chilla
QUEEN DARLEEN
RACHEL NDAUKA
RAIS KIKWETE
Rais Kikwete.
Rasimu Ya Katiba TZ
Ray
Ray C
Redd’s Miss IFM
REDD'S MISS KAGERA 2013
REDD'S MISS TZ
REDDS MISS TANZANIA 2014
Redds Miss wa Mikoa
REHEMA FABIAN
RICHIE RICHIE
Rihanna
ROSE MUHANDO
Rose Ndauka
Ruge Mutahaba.
SABASABA 2013
Saida Karoli
Saikolojia
Sajeti
SAJUKI
Sandra
SHAA
Shamsa Ford
Sheikh Ponda
Shilole
Sintah
Siwema
Skin Tricks
Snura Mushi
Spika Makinda
staa
Staa Wetu
Stella Mwangi
STYLE ZA NYWELE
Taifa Stars
Tamasha la matumaini
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013
Tangazo
TANZANIA
TEGO
TENGENEZA WEBSITE NA BLOG
TID
Tundaman
Tupo wangapi?
TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Twanga Pepeta
USA PAGEANT 2014
VAI
Wastara
WEMA
WEMA SEPETU
Yanga
Yanga Bingwa 2013
YOUNG D
Yvonne Cherry ‘Monalisa’
Z Anton.
Zari
Zito kabwe