Sunday, June 30, 2013
PICHA ZA MATUKIO YOTE YA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 ZIPITIE HAPA.
MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 APATIKANA NI LUCY CHARLES KUTOKA MWANZA.
Kinyanganyiro
cha kumtafuta mnyange wa Kanda ya Ziwa kwa mwaka 2013, kimeteguliwa
usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest baada ya Mrembo Lucy
Charles msomi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino, kuwabwaga warembo
wengine 17 waliojitokeza.
Top 10. |
Mrembo huyo aliwapagawisha mashabiki wa urembo waliofurika katika
ukumbi wa Hotel ya Gold Crest baada ya kujibu swali kwa ustadi
lililouliza Ni changamoto ipi kubwa walionayo vijana wa leo.
Mshindi wa pili katika shindano hilo ni Eshe Rashid na mshindi wa tatu ni Salsha Isdore
Vinara
watatu .katikati ni Lucy Charles mshindi wa Redd's miss Lake zone 2013,
kulia ni Eshe Rashid kutoka Mara na kushoto ni Salsha Isdore kutoka
Geita na wote watatu wanaenda ngazi ya taifa.
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga
Mshindi wa pili katika shindano hilo ni Eshe Rashid na mshindi wa tatu ni Salsha Isdore
HIVI NDIVYO RAIS KIKWETE ALIVYOWAANDALIA MARAIS SHEREHE FUPI.
Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Mfalme wa Swaziland, King Mswati
katika hafla ya chakula cha usiku alichokiandaa kwenye viwanja vya
Gymkhana, Dar es Salaam jana usiku, kwa waliohudhuria Mdahalo wa
Kimataifa wa Ushirikiano wa Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia kwa
Manufaa ya Wote (Global Smart Partinership Dialogue). TBL ni moja kati
kampuni zilizofadhli hafla hiyo.
Mahali palipoandaliwa kwa dina kwenye viwanja vya Gymkhana
Rais wa zamani wa Msumbiji, Joachim Chisano (kushoto) akikaribishwa na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernald Membe katika
hafla ya chakula cha usiku.
JK akiwa na Museveni wa Uganda (kushoto), Kingi Mswati wa Swaziland na Mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi
Pigo ujio wa Obama •Afuta ziara kwenye mbunga za wanyama za Mikumi, Serengeti
MADHARA ya vurugu za kisiasa mkoani Arusha zinazodaiwa
kusababishwa na polisi kukabiliana na wafuasi wa vyama vya upinzani,
zimesababisha pigo kubwa kiuchumi katika ziara ya Rais wa Marekani,
Barack Obama, Tanzania Daima Jumapili limebaini.
Pigo hilo ambalo limesababisha serikali na mahoteli ya kitalii mkoani
humo kukosa mabilioni ya fedha, limetokana na hatua ya rais huyo na
ujumbe wake kufuta ziara yake kwenye mbunga za wanyama za Serengeti na
Mikumi.
Hatua hiyo imeelezwa kuwa ni pigo kwa serikali ambayo ilitarajia
kuingiza mabilioni ya fedha baada ya rais huyo maarufu duniani na ujumbe
wake wa watu 700, kuzuru kwenye hifadhi hizo za taifa.
Rais Obama ambaye alianza ziara yake barani Afrika nchini Senegal,
alipata fursa ya kutembelea sehemu za utalii na hata alipokuwa nchini
Afrika Kusini, alitembelea sehemu ya utalii, hususan gereza alilopata
kufungwa Rais wa kwanza mweusi wa nchi hiyo, mzee Nelson Mandela, ambaye
kwa sasa yu mahututi.
Habari kutoka ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Kimataifa zilisema Rais Obama ambaye anatarajiwa kuwasili kesho nchini,
akitokea nchini Afrika Kusini, amefuta ziara hizo kwa sababu za
kiusalama, hususan hali tete iliyoko mkoani Arusha.
BEYONCE NA VAZI LA KANGA, ILIYOTENGENEZWA NA CHRISTINA MHANDO WA KITANZANIA
Utajiskiaje
kuona Beyonce akiwa amevaa vazi lililotengenezwa kwa kanga yenye maneno
ya Kiswahili? ‘Wawili Ninyi Yawahusu….’ yanasomekana maandishi kwenye
vazi alilolivaa mwanamuziki wa Marekani, Beyonce Knowles.
Vazi
hili alilolivaa Beyonce kwenye moja ya show zake za tour ya Mrs Carter,
limetengenezwa na mwanamitindo wa Tanzania aishie jijini London
Uingereza, Christine Mhando mwenye brand ya Chichia London.
Chichia London ndio brand iliyo maarufu sana nchini Uingereza kwa
kutengeneza nguo za Kitanzania kwa kutumia Kanga na material mengine
Kiafrika.
SHEMEJI YETU KWA JOKATE HUYU HAPA!

Mwanamitendo maarufu Bongo, Jokate
Mwegelo ‘Kidoti’ amemwanika mwanaume mpya mtandaoni huku wakiwa wamepozi
katika staili ya wapendanao.
Awali, paparazi wetu alitonywa na
sosi aliyeomba hifadhi ya jina lake kuwa amemuona mwanaume mpya wa
Jokate katika mtandao wa Instagram.
“Nimemuona Jokate na mwanaume wake
mpya lakini simjui kwa jina, kama huamini ingia kwenye mtandao wa
Instagram uone mtoto wa kike alivyojiachia katika pozi za kimahaba,”
alisema sosi huyo.
Baada ya kuzinyaka habari hizo,
paparazi wetu aliingia kwenye kilongalonga chake na kuperuzi katika
mtandao huo kisha kujionea picha hizo, haraka sana akazisevu katika simu
yake.
Aidha, wadau mbalimbali waliopo katika mtandao huo walitoa maoni mbalimbali huku wengi wao wakimpongeza.
Saturday, June 29, 2013
Wema sepetu na Rado ndani ya filamu mpya, ni moto wa kuotea mbali.
Baada ya kufanya vizuri na filamu yake ya maduhu, hatimaye
mwigizaji Simon Mwapagata ameanza kutengeneza Filamu yake mpya
aliyowashirikisha mastaa mbalimbali akiwemo mrembo kipenzi cha wengi
Wema Abraham Sepetu.
Akizungumza katika utengenezaji wa Filamu hiyo unaoendelea
maeneo mbalimbali ya jijini Dar es salaam, Rado (Simon Mwapagata)
amesema kuwa Filamu hiyo itafanyika mjini Dar es Salaam na baadaye
mkoani Tanga.
Kitu kipya toka kwa Wolper na Ray - waigiza kama mke na mume.
Vincent Kigosi ama Ray na mrembo Jacqueline Wolper , wapo location
wakishoot movie yao mpya ambayo bado hatujaweza kupata jina lake mpaka
sasa kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Katika picha picha hizo walizoziweka kwenye akaunti zao za
mtandao mmoja wa kijamii nchini inaonekana wanaigiza kama mke na mume.
“Siye tena kazini new movie, mke wa mtu me hapa nacheza.me en broo ray mwenyezi mungu kua nasi mwanzo hadi tumalize inshaalah ,” ameandika Wolper kwenye moja picha hizo.
“Siye tena kazini new movie, mke wa mtu me hapa nacheza.me en broo ray mwenyezi mungu kua nasi mwanzo hadi tumalize inshaalah ,” ameandika Wolper kwenye moja picha hizo.
Baada ya Wema, Wolper, na Irene Uwoya kuzianika tattoo zao, sasa ni zamu ya Chuchu hans.
Baada ya waigizaji kadhaa wa bongo movies kuendelea kuzianika tattoo zao mbalimbali zilizopo kwenye miili yao,sasa ni zamu ya mwigizaji Anyefanya vizuri sana kwenye tasnia ya filamu nchini Chuchu Hans Kichunya kuziweka zake hadaharani baada ya jana kuweka picha kadhaa kwenye mtandao zikionesha tattoo hiyo iliyoko maeneo ya kiunoni kwa juu kidogo.
Huyu anakuwa msanii mwingine tena wa bongo movies kuweka wazi tattoo zake baada ya waigizaji waliozoeleka kwenye jamii kwa tattoo zao kama Wema sepetu, Irene Uwoya, Jacquiline Wolper na Mainda.
Huyu anakuwa msanii mwingine tena wa bongo movies kuweka wazi tattoo zake baada ya waigizaji waliozoeleka kwenye jamii kwa tattoo zao kama Wema sepetu, Irene Uwoya, Jacquiline Wolper na Mainda.
Kajala aamua kunyoa kipara; kisa na mkasa? Soma hapa.
Mwigizaji aliyerudi uraiani hivi karibuni Kajala Masanja
amefanya mabadiliko makubwa ya mtindo wake wa nywele baada ya kunyoa
kipara “kikavu” kichwani mwake.
Katika picha alizozitoa mwigizaji huyo kupitia kwenye mtandao jana, mwigizaji huyo ameonekana akiwa na kipara tofauti na
alivyozoeleka na nywele nyingi siku za nyuma.
Bongomovies.com tuliamua kumtafuta mwanadada huyu ili kujua
“kunani”?? na staili hiyo na tulimpigia simu na maongezi yalikuwa kama
ifuatavyo:
Bongomovies.com: Mambo kajala, mzima?
Kajala: Mzima, kwema?
Kashfa nzito Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam
HALMASHAURI ya Manispaa ya Ilala, jijini Dar es Salaam imeingia
katika kashfa nzito baada ya kuvunja nyumba ya mwanamke mmoja Ashura
Swed mkazi wa Upanga kwa maelezo kuwa ipo barabarani.
Katika hali ya kushangaza, manispaa hiyo imemruhusu kujenga eneo hilo
hilo mtu mwingine aliyejulikana kwa jina la Bahadur Dewji mwenye asili
ya Asia.
Akizungumza na Tanzania Daima, mjukuu wa Ashura, Shamsa Salim ameiomba
serikali kuingilia kati sakata hilo ili kuzuia kile alichodai kuwa
uonevu wanaofanyiwa na watu wenye uwezo wa pesa.
Akisimulia huku akibubujikwa na machozi, Shamsa alisema Alhamisi ya
wiki iliyopita walishangaa kuona nyumba yao namba 897 iliyoko Mtaa wa
Mfaume, Upanga ikivunjwa huku wao wakiwa hawana taaarifa yoyote juu ya
ubomoaji huo kwa madai kuwa ipo barabarani.
“Ilikuwa Alhamisi, wiki jana, majira ya saa tano asubuhi tulishtuka na
kushangaa kuona kundi la watu waliojitambulisha kuwa wafanyakazi wa
Manispaa ya Ilala wakivunja nyumba yetu. Tulipowaomba watupatie amri ya
mahakama inayowaruhusu kuvunja nyumba yetu hawakutuonyesha badala yake
waliendelea kuvunja tu.
Makaburi 250 kuhamishwa Dar
HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam imetangaza
kuyahamisha makaburi 250 yaliyopo ndani ya eneo la mradi wa upanuzi wa
njia za umeme Kata ya Manzese na Kata ya Ubungo, Mtaa wa Ubungo
Kisiwani.
Hatua hiyo ilitangazwa jana na Mkurugenzi wa Manispaa hiyo, Mhandisi
Mussa Natty katika taarifa yake kwa vyombo vya habari baada ya kupata
taarifa ya kuhamisha makaburi hayo kutoka Shirika la Umeme
Nchini(TANESCO).
Kutokana na hatua hiyo, amewataka watu wote wenye ndugu au jamaa
waliozikwa kwenye eneo hilo kwenda kwenye ofisi za Ofisa Mtendaji wa
Kata ya Manzese na Ubungo kujiandikisha wakiwa na barua ya utambulisho
kutoka ofisi ya mtaa wanakoishi kabla ya Julai 25.
“Mkurugenzi wa TANESCO anawatangazia ndugu na jamaa za marehemu
waliozikwa kwenye makaburi yaliyopo ndani ya eneo la mradi wa upanuzi wa
njia za umeme Kata ya Manzese, Mtaa wa Madizini na Kata ya Ubungo Mtaa
wa Ubungo Kisiwani, kwamba anakusudia kuhamisha makaburi 250 ili
shughuli ya upanuzi wa njia ya umeme iweze kuanza,” alisema Natty katika
taarifa yake.
Alisema kwa mujibu wa sheria ya mitaa (Mamlaka za Miji) ya mwaka 1982,
kanuni ya mwaka 2008 namba 46(c) Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni
itasimamia zoezi hilo kwa kutumia wataalamu wake.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi huyo, makaburi hayo yatahamishiwa katika
makaburi ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni yaliyopo Tegeta Kata ya
Kunduchi baada ya tararibu zote kukamilika.
Hospitali ya Bugando kutibu saratani
SERIKALI imesema Hospitali ya Rufaa Bugando itaanza kutoa tiba ya saratani kwa mionzi hivi karibuni.
Taarifa hiyo ilitolewa bungeni jana na Naibu Waziri wa Afrika
Mashariki, Dk. Abdulla Juma Saadalla wakati akijibu swali la Mbunge wa
Viti Maalumu, Rukia Kassim Ahmed (CUF).
Katika swali lake, mbunge huyo alitaka kujua mpango wa serikali wa
kuanzisha kitengo cha wagonjwa wa saratani katika mikoa mingine.
Dk. Saadalla alisema mashine hizo za kutibu kansa kwa mionzi
zinatarajiwa kuwasili katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando Agosti mwaka
huu.
Alisema baada ya mashine hizo kuwasili, wagonjwa wenye matatizo ya
saratani kutoka Kanda ya Ziwa wanaohitaji mionzi hawatalazimika kwenda
Dar es Salaam kupata huduma hiyo.
Serikali yafuta ushuru wa mafuta.
HATIMAYE serikali imeridhia uamuzi wa wabunge na kukubali kufuta
pendekezo la kuongeza ushuru wa bidhaa kwenye mafuta ya dizeli na
petroli.
Katika marekebisho hayo, Waziri wa Fedha na Uchumi, William Mgimwa
alikuwa amependekeza kuongeza ushuru wa mafuta hayo kwa sh 2 kwenye
dizeli na sh 61 kwenye petroli kwa lita.
Kwa mantiki hiyo, alisema kuwa wataendelea kutoza ushuru wa bidhaa wa
sh 333 kwa lita katika mafuta ya petroli na sh 215 kwa lita kwenye
dizeli.
Wakijadili muswada wa sheria ya fedha wa mwaka 2013, wabunge walipinga
mapendekezo hayo na kuishauri serikali itafute mapato kutoka kwenye
vyanzo vipya vilivyoanishwa na Kamati ya Bunge ya Bajeti badala ya
kuongeza gharama za maisha kwa wananchi.
Akijibu hoja za wabunge jana kabla ya kupitishwa kwa muswada huo kuwa
sheria itakayoanza kutumika Julai mosi mwaka huu, Waziri Mgimwa alisema
walikubali ushauri huo ili kuleta unafuu kwa wananchi na kuzuia mfumuko
wa bei unaoweza kujitokeza.
Alisema serikali iteendelea kutoza ushuru wa sasa bila kuongeza hata
senti, lakini wameongeza ushuru wa mafuta ya taa kufikia sh 425 kwa lita
badala ya sh 400.30 zinazotozwa sasa hivi.
BAADA YA KIMWANA HUDDAH KUTINGA CLOUDS FM,DIVA AMIMINA MANENO HAYA HAPA
Kama utakua ni muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea
kati ya mshiriki wa BBA kutoka Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva
Loveness love.
kiufupi ni tweef ( bif kupitia twitter) kisa kikiwa ni CMB Prezzo
Siku ya jana katika interview tuliyofanya na Hudda amesema hana uhusiano
na Prezzo, ni rafiki yake tu, na hana beef yoyote na Diva na kwanza
hamfaham.
"you know mimi hupenda kutoa maoni yangu, so saa ile mi natoa maoni
yangu mtu ana-judge vingine, mi sina bif na Diva, na simjui, na kama
uli-notice i only replied three times."
unajua mi niliandika "lol" after seeing her tweet calling Prezzo "baby",
why? i just find it funny, so yeye ndio akawa anaandika all that"
amesema Hudda
kwa inavyoonekana Diva alikua akisikiliza radio wakati interview
ikiendelea, na haikumchukua dakika sifuri, akahusika twitani na
kuandika
Friday, June 28, 2013
JIHADHARI NA UTAPELI ZIARA YA OBAMA
Habari na Haika Lawere
Jioni hii kuna jamaa kanipigia simu eti yeye ni mtu wa jeshi la police,anahitaji sehemu ya kulaza madereva watakaoendesha msafara wa Obama.
Na akasema Obama anakuja leo sio J3!!Hao madereva wametokea Kenya na Uganda wenye uwezo wa kuzungumza kiingereza,kwa kuwa wa-tz hawajui kuongea kiingereza.Akaniuliza nina vyumba vingapi available nikamuambia 23,vingine 20 viko occupied,akaniambia subiri azungumze na bossi wake,baada ya dk chache akanipigia simu kuwa bossi amekubali hao drivers waje kwetu, tukapigiana mahesabu kwa siku nane watakazokaa kwa bei ya dola 50 per room(aliyosuggest yy)tukapata amount fulani hivi kubwa kidogo!Akasema sasa mama kuna kijana anatoka ofisini anakuletea Cheque sasa hivi ya million 13!!!duh nikashangaa/kufurahi lakini nikashtuka sana how come can this be possible,then kasema 10% yake atakuja kuichukua cheque ikisha clear ila akaniambia ati nimpe uyo kijana anayeleta cheque 500,000 mh??sasa nikamuuliza biashara hatujafanya,sina cash yeyote?cheque ni karatasi tu!!!how come nikupe hela sijaona watu wana check-inn??sina cash??Jamaa asikate simu faster!!!!hahaaaaa hii ilikuwa kali ya kuanzia weekend lol!!!!!Haya service provider wenzangu muwe careful na hii ziara ya Obama isitulize!!!
WEMA SEPETU ASHITAKIWA
MKURUGENZI wa Kampuni ya Filamu ya Endless Fame, Wema Sepetu hivi
karibuni amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya majirani zake
kumshitaki kwenye serikali ya mtaa kufuatia tabia ya wafanyakazi wake
kutiririsha maji machafu mtaani.
Wema Sepetu.
Taarifa iliyolifikia blog yetu inadai kuwa, majirani wa Wema katika
eneo analoishi, Kijitonyama jijini Dar wamekuwa wakimlalamikia msanii
huyo kwa kitendo hicho lakini imeonekana uvumilivu umewashinda.
“Mara kwa mara wafanyakazi wake wamekuwa wakitiririsha maji hapa mtaani sasa leo tumeona tukamshitaki serikali za mitaa ili sheria ichukue mkondo wake,” alisema mmoja wa majirani wa staa huyo aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini.
Juni 26, mwaka huu Ijumaa lilifika kwenye nyumbani kwa Wema na kushuhudia maji yakitoka kisha kuzagaa mtaani na muda mfupi baadaye alifika Afisa Mtendaji wa Kata ya Makumbusho (jina halikufahamika mara moja) ambaye aligonga kwenye nyumba ya Wema, baada ya muda alitoka binti wa kazi aitwaye Bite.
WEMA SASA MAJANGAZZ ATUMIA LUGHA CHAFU KWA WAFANYAKAZI WAKE WA NDANI.

Zaidi Sikiliza video hapo chini
::Tunawaomba radhi kutikana na lugha chafu iliyokuwepo kwenye video clip hii::
MICHELLE OBAMA POSTS FIRST INSTAGRAM POSING WITH SENEGALESE STUDENTS.
First
Lady Michelle Obama christened her new Instagram account posing with
students from Martin Luther King Middle School in Dakar, Senegal.
"You
all are role models for my daughters, which is why I brought them here
today - so that they could be inspired by you just like I am," she wrote
in a caption.
President
Barack Obama, first lady Michelle and their daughters Malia and Sasha
kicked off their trip to Africa Wednesday in a flurry of social media,
hoping to attract and engage young Americans.
MIZENGO PINDA ATAKIWA KUWAOMBA MSAMAHA WATANZANIA
Akizungumza na waandishi wa habari
jana Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu
(LHRC), Dk.Helen Kijo-Bisimba amesema kitendo cha Waziri Mkuu Bizengo
Pinda kuruhusu matumizi ya nguvu kwa polisi dhidi ya raia ni cha
kulaaniwa na wapenda haki wote na amemtaka waziri mkuu kuwaomba radhi
watanzania.

KUPINGA KAULI YA WAZIRI MKUU "Wapigwe tu" ALIYOITOA BUNGENI TAREHE 20/06/2013
Taarifa hii ni matokeo ya ufuatiliaji
wa utendaji wa shughuli za Serikali kama zinavyowasilishwa bungeni na
kauli ya Waziri Mkuu (Mtendaji Mkuu wa shughuli za serikali Bungeni)
aliyoitoa, Alhamisi ya tarehe 20 Juni 2013, wakati akijibu maswali ya
papo kwa hapo.
Waziri Mkuu Pinda, alivitaka vyombo
vya ulinzi na usalama, hususan Jeshi la Polisi kuwapiga wananchi watakao
kaidi na kupinga amri halali ya jeshi hilo. Katika tamko hilo, Pinda
alisema Serikali imechoshwa na vurugu na kwamba hakuna namna nyingine ya
kupambana na wananchi wanaodharau vyombo vya dola zaidi ya kipigo.
Waziri Mkuu Pinda alitoa msimamo huo
Bungeni, wakati akijibu swali la Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Murtaza
Mangungu (CCM), aliyetaka kujua hatua zinazochukuliwa na Serikali
kufuatia kuwa na matukio ya vurugu ya mara kwa mara nchini, hususan huko
Mtwara na Arusha.
BIBI YAKE OBAMA MAMA SARAH OBAMA KUJA TANZANIA KUMSALIMIA MJUKUU WAKE ATAKAPOWASILI DARESALAM.

SIKU CHACHE KABLA YA ZIARA YA RAIS WA
MAREKANI KUJA NCHINI TANZANIA IMEFAHAMIKA KUWA BIBI YAKE NA RAIS OBAMA
MAMA SARAH OBAMA ANATARAJIA KUJA NCHINI TANZANIA KUJA KUMSALIMIA MJUKUU
WAKE HUYO.
HISPANIA imeitoa Italia katika Kombe la Mabara-Fainali ni Brazil vs Hispania.
HISPANIA imeitoa Italia katika Kombe la
Mabara kwa ushindi wa matuta wa 7-6 mjini Fortaleza, kufuatia sare ya
bila kufungana ndani ya dakika 120 katika mchezo wa Nusu Fainali
Kikosi cha Hispania kilikuwa: Casillas, Arbeloa, Sergio Ramos, Pique, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Iniesta, Pedro/Mata dk79, Torres/Javi Martinez dk94 na Silva/Jesus Navas dk52.
Italia: Buffon, Maggio, Bonucci, Barzagli/Montolivo dk45,Chiellini, Candreva, De Rossi, Pirlo, Marchisio/Aquilani dk79, Giaccherini na Gilardino/Giovinco dk91.
Anakosaaa: Leonardo Bonucci mkwaju wake uliota mbawa
Ya ushindi: Jesus Navas alifunga ya mwisho, chini anashangilia
Shakira alikuwapo jukwaani Fortaleza
Subscribe to:
Posts (Atom)
HABARI MBALIMBALI
‘Dk. Cheni’
‘Sharo Milionea
‘Thea’
African Women
AGNESS MASOGANGE
AK CLASSIC COSMETICS
ALI KIBA
Amanda Poshy
Ant
ANT LULU
Ashley Toto
Aunt Ezekiel
Aunty Ezekiel
AUNTY LULU
Azam Fc
Baby Madaha
BAHATI BUKUKU
Barnaba
BATULI
BBA
Beauty of the day
Belle 9
BI KIDUDE
BIBI BOMBA
Big Brother
Big Brother Africa
Bill Gates
BINTI KIZIWI
BOB JUNIOR
Bodi ya Filamu
Bongo Movie
Bongo Movies
CCM
CHADEMA
Chombezo
Christina Shusho
Chuchu hans.
Clouds Media Group
Club Bilicanas
DAR LIVE
DAVINA
Dayna Nyange
Diamond
Dida
Diva Loveness Love
Dj Ommy Crazy wa Maisha Club
DOGO JANJA
DOKI
DR.CHENI
DSTV
Dude
Dully Sykes
EBSS 2013
Elizabeth Michael
Epiq Bongo Star Search (EBSS)
ESHA BUHETI
Ester Bulaya
Feza Kessy
FIESTA 2014
Flaviana Matata
FLORA MBASHA
FLORA MVUNGI
Francis Cheka
GARDNER
GLOAL PUBLISHERS
GLOBAL TV ONLINE
H. BABA
Halima Mdee
HAMISA
Happy birthday
Hemedi
Hemedy Suleiman
HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Hoyce Temu
Huddah Monroe
HUSINA
IRENE PAUL
Irene Uyoya
ISABELLA
J film 4 life
Jack Chuz
JACK PATRICK
Jacob Steven ‘JB’
Jacqueline Dustan
JACQUELINE WOLPER
Jaji Khamis 'Kashi'
Jay Dee
JENNIFER KYAKA (ODAMA)
JIDE
JINI KABULA
JK
JO
Johari
Jokate Mwigelo ‘Kidot’.
JOTI
Joyce Kiria
Joyce Kiwia
JUX
K-LYNN
KADINDA
kaja
Kajala Masanja
Kapotive Star Singers
KATUNI
Kemmy
Kero Zetu
KHADIJA OMAR KOPA
KIKWETUKWETU
KILI MUSIC AWARDS
KOLETA
Lady Jay Dee
Lady Jaydee
Lake Oil
LAVEDA
Linah Sanga
Linex
Lisa Jensen
Loveness Diva
Lucy Francis Komba
Lulu
M2 The P
MABILIONEA
Madam Rita
MADELA
Magazeti
Mahusiano
Maimartha Jesse
MAINDA
MAISHA
Makala
Malkia Elizabeth
MAMTEI
MANDELA
MARIAM ISMAIL
Masanja Mkandamizaji
Mashindano ya Miss Tanzania
Matangazo
Matonya
MaxMalipo
MAYA
MELLIS EDWARD
MENINAH
MGOSI MKOLONI
Mh Halima Mdee
mic
Michezo
MILLEN HAPPINESS MAGESE
MISS CHANG'OMBE
MISS DAR CITY CENTER
Miss East Africa
MISS REDD'S IRINGA 2013
MISS TANGA 2013.
MISS TANZANIA 2014
Miss Tanzania mwaka 2011
MISS TEMEKE 2014
MISS USTAWI
MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Miss vyuo vikuu 2013
MKALA
MREMBO HUDDAH
Mrisho Mpoto
Mrisho Ngassa
MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES.
MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013
Mtitu
muziki
Mwana FA
MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Mzee Majuto
Nancy Sumari
Nani Mtani Jembe?
NAPE
Nassoro ‘Nora’
Natasha
Nay wa Mitego
Necta
Nelly Kamwelu
NEY WA MITEGO
Nisha
NSSF;Zantel
Nyamwela
NYimbo
Nyota yako
OBAMA TANZANIA
OMMY DIMPOZ
P FUNK
PAM D
Peniel Mgilwa ‘Penny’
PETIT MAN
Profesa Jay
Q - CHILA
Q Boy
Q Chilla
QUEEN DARLEEN
RACHEL NDAUKA
RAIS KIKWETE
Rais Kikwete.
Rasimu Ya Katiba TZ
Ray
Ray C
Redd’s Miss IFM
REDD'S MISS KAGERA 2013
REDD'S MISS TZ
REDDS MISS TANZANIA 2014
Redds Miss wa Mikoa
REHEMA FABIAN
RICHIE RICHIE
Rihanna
ROSE MUHANDO
Rose Ndauka
Ruge Mutahaba.
SABASABA 2013
Saida Karoli
Saikolojia
Sajeti
SAJUKI
Sandra
SHAA
Shamsa Ford
Sheikh Ponda
Shilole
Sintah
Siwema
Skin Tricks
Snura Mushi
Spika Makinda
staa
Staa Wetu
Stella Mwangi
STYLE ZA NYWELE
Taifa Stars
Tamasha la matumaini
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013
Tangazo
TANZANIA
TEGO
TENGENEZA WEBSITE NA BLOG
TID
Tundaman
Tupo wangapi?
TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Twanga Pepeta
USA PAGEANT 2014
VAI
Wastara
WEMA
WEMA SEPETU
Yanga
Yanga Bingwa 2013
YOUNG D
Yvonne Cherry ‘Monalisa’
Z Anton.
Zari
Zito kabwe