Warembo waliofanikiwa kuingia sita bora wakiwa katika picha ya pamoja.
Miss Chang’ombe Nalietha Boniface (katikati) akiwa na mshindi wa pili Naima Ramadhani kushoto na mshindi wa tatu Mutesi George.
Redd’s Miss Chang’ombe 2013 amepatikana jana katika ukumbi wa TCC uliopo Chang’ombe jijini Dar salaam.
Picha juu ni matukio ya kinyanganyili hicho PICHA NA ISSA MNALLY GPL CREDIT : GLP