Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akifafanua jambo wakati wa
uzinduzi wa Kili Music Tour 2013 jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kala
Jeramiah na Nasssib Abdalah 'Diamond'.
Msanii
wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdalah akizungumza na waandishi wa
habari kuhusu ziara ya wasanii kwenye mikoa 8, ambapo jumla ya wasanii
24 watashiriki.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Kala Jeramiah akizungumzia ziara ya wasanii.