IMG_0004
Mmoja wa wasanii watakaotumbuiza jioni hii kwenye uzinduzi wa show ya Big Brother-The Chase Stella Mwangi a.k.a STL kutoka Kenya akifanya mahojiano na  Tsholofelo Mothibi wa Vuzu Tv ya nchini Afrika Kusini kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaotoa burudani kwenye uzinduzi huo leo. Kaa tayari kushuhudia uzinduzi huo Live kupitia DStv channel 197 na 198 kuanzia saa moja jioni usiku wa leo. Unaweza pia kutazama Live Stream kupitia www.bigbrotherafrica.com
IMG_0001
 Senior PR Manager wa Multichoice Africa Sandhya Singh akibadilisha mawazo na baadhi ya waandishi wa habari kutoka nchi mbambali watakaoshuhudia Live uzinduzi wa Show ya Big Brother The Chase wakati wa kutambulisha wasanii wanaotarajiwa kutumbuiza usiku wa leo jijini  Johannesburg Afrika Kusini.
IMG_9975
Mwandishi wa Daily Monitor Uganda Henry Ssali na Faith wa Nairobi Star wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri wakati wa mkutano huo.
IMG_9972
M-Net Africa Managing Director Biola Alabi.
IMG_9977
Baadhi ya waandishi kutoka nchi mbalimbali za Afrika wakati wa mkutano huo.