YA leo siyo ya kesho! Wakati Juni 9, mwaka jana, nyota wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ‘bethidei’ kwa mbwembwe kubwa ambayo iliandaliwa na mzazi mwenzake, Siwema pale Kimara Barudi, Dar, mwaka huu ziii huku akinaswa kimahaba na Mbongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’, Ijumaa lina kila kitu.
Showing posts with label NEY WA MITEGO. Show all posts
Showing posts with label NEY WA MITEGO. Show all posts
Friday, June 12, 2015
NAY, PAM D WAGANDANA KIMAHABA
Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
YA leo siyo ya kesho! Wakati Juni 9, mwaka jana, nyota wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ‘bethidei’ kwa mbwembwe kubwa ambayo iliandaliwa na mzazi mwenzake, Siwema pale Kimara Barudi, Dar, mwaka huu ziii huku akinaswa kimahaba na Mbongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’, Ijumaa lina kila kitu.
Nyota wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ akiwa na mbongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ wakiwa kimahaba.
Jumanne iliyopita, Nay alijikuta akisherehekea siku hiyo bila kuwa na
hekahaka ambapo mapaparazi wetu walimkuta kwenye Studio ya De Fetality
ya Mensen Selekta iliyopo Sinza ya Madukani, Dar na baadaye alijikuta
akiloweshwa maji na prodyuza wake, Tee Touch.
YA leo siyo ya kesho! Wakati Juni 9, mwaka jana, nyota wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ alisherehekea siku ya kuzaliwa kwake ‘bethidei’ kwa mbwembwe kubwa ambayo iliandaliwa na mzazi mwenzake, Siwema pale Kimara Barudi, Dar, mwaka huu ziii huku akinaswa kimahaba na Mbongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’, Ijumaa lina kila kitu.
Wednesday, April 8, 2015
NAY, SHAMSA WADAIWA KUPIKA NA KUPAKUA
KILICHOJIFICHA nyuma ya pazia la uhusiano wa mastaa
wa Bongo, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, na Shamsa Ford sasa
kimevuja baada ya wawili hao kuwa
kwenye uhusiano wa mapenzi kiasi cha kudaiwa kupika na kupakua pamoja.
Inadaiwa kuwa kwa zaidi ya wiki tatu sasa wawili hao wamekuwa wakionekana katika gari moja, wakitoka au kuingia nyumbani kwa Nay wakitokea mjini kwenye mihangaiko yao ya kila siku.
“Kama ulikuwa hujui vizuri naomba nikujuze, Nay na Shamsa wanaonekana walikuwa wakifuatiliana kwa muda mrefu, nasema hivi kwa vile siku chache tu baada ya wawili hawa kuachana na watu wao wa zamani, leo wako pamoja tena wanaonyeshana mahaba utadhani walikuwa pamoja miaka mia iliyopita,” alisema mtoa habari wetu.
Gazeti hili lilimtafuta mkali wa filamu Shamsa Ford ili azungumzie suala hilo, ambaye hata hivyo, alichengachenga kabla ya kusema kuwa ukaribu baina yao, unatokana na ‘bonge la project’ ambayo itakuwa mitaani ‘soon’.
Kwa upande wake, Nay wa Mitego alipoulizwa kuhusu ukaribu huo, alisema hadhani kama ni jambo la haki kwake kuulizwa kuhusu suala hilo, wakati inajulikana kuwa yupo ‘single’.
“ Bwana eeh mimi na Shamsa ni wasanii halafu ukiachia mbali hilo kuwa karibu naye si tatizo wala sioni cha ajabu maana yeye yupo single na mimi nipo single labda kama kuna kipya hapo unaweza kuniambia nikakuelewa, ila ishu ya kuja kwangu au mimi kuwa kwake sioni kama ni ishu,” alisema.
CREDIT: GPL
Staa wa Bongo fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’.
Chanzo makini kimeeleza kwamba, wawili hao ambao kila mmoja katika
siku za hivi karibuni aligombana na mwenza wake wa awali, wamekuwa
katika uhusiano wa kimapenzi kwa uficho wa hali ya juu, wakionekana mara
kwa mara nyumbani kwa Mbongo Fleva anayeishi Kimara Korogwe, jijini
Dar.Inadaiwa kuwa kwa zaidi ya wiki tatu sasa wawili hao wamekuwa wakionekana katika gari moja, wakitoka au kuingia nyumbani kwa Nay wakitokea mjini kwenye mihangaiko yao ya kila siku.
“Kama ulikuwa hujui vizuri naomba nikujuze, Nay na Shamsa wanaonekana walikuwa wakifuatiliana kwa muda mrefu, nasema hivi kwa vile siku chache tu baada ya wawili hawa kuachana na watu wao wa zamani, leo wako pamoja tena wanaonyeshana mahaba utadhani walikuwa pamoja miaka mia iliyopita,” alisema mtoa habari wetu.
Staa wa bongo muvi, Shamsa Ford.
Ili kuthibitisha maneno yake, chanzo chetu kilituma picha kadhaa za
wawili hao wakiwa nyumbani kwa Nay, huku akisisitiza kuwa hata dada na
ndugu wa mwanaume huyo, nao wamekuwa wakipost picha za Shamsa ambaye
hivi sasa anapika na kupakua nyumbani kwa mkali huyo wa kibao cha Nakula
Ujana.Gazeti hili lilimtafuta mkali wa filamu Shamsa Ford ili azungumzie suala hilo, ambaye hata hivyo, alichengachenga kabla ya kusema kuwa ukaribu baina yao, unatokana na ‘bonge la project’ ambayo itakuwa mitaani ‘soon’.
Kwa upande wake, Nay wa Mitego alipoulizwa kuhusu ukaribu huo, alisema hadhani kama ni jambo la haki kwake kuulizwa kuhusu suala hilo, wakati inajulikana kuwa yupo ‘single’.
“ Bwana eeh mimi na Shamsa ni wasanii halafu ukiachia mbali hilo kuwa karibu naye si tatizo wala sioni cha ajabu maana yeye yupo single na mimi nipo single labda kama kuna kipya hapo unaweza kuniambia nikakuelewa, ila ishu ya kuja kwangu au mimi kuwa kwake sioni kama ni ishu,” alisema.
CREDIT: GPL
Monday, October 28, 2013
Saturday, October 26, 2013
Ney wa Mitego apigwa marufuku na BASATA kuvaa mlegezo.
Ney
wa Mitego ambae ni staa wa single za ‘muziki gani’ na ‘salamu zao’
amethibitisha kupewa barua na baraza la sanaa Tanzania ikiwa ni onyo la
kutoendelea kuvaa suruali mlegezo kwenye majukwaa mbalimbali
anayoonekana.
Kwenye interview yake na millardayo.com Ney amesema alipigiwa simu
sana na namba moja lakini alikua amelala, alipoamka akakuta missedcalls
nyingi so ikabidi apige ndio akaambiwa BASATA kuna barua yake ambapo
baada ya kushindwa kwenda alipelekewa Manzese.
Ney anasema ‘sielewe kama BASATA ndio wameamua kudili na milegezo,
sijaelewa wao wanaangalia nini zaidi, nimejaribu kuuliza wakasema
nikiendelea watanifungia kazi zangu, ni kweli navaa mlegezo lakini kuna
vitu vingi sana vya kufanyia kazi wao kama BASATA manake tunaibiwa kazi
zetu kila siku mbona hawashughulikii hizo?’ mi tangu niko shule mlegezo
ni tatizo langu kubwa ila nitajitahidi kupunguza japo nashangaa
nimeandikiwa barua mimi mwenyewe wakati kuna wasanii wanavaa mlegezo
hata kuliko mimi’
CHANZO MILLARDAYO.
Tuesday, September 17, 2013
Saturday, July 13, 2013
Mchumba wa Nay wa Mitego akipoteza kichanga chake tumboni baada ya kuanguka.
Nay wa Mitego leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mchumba wake aliyekuwa mjamzito kwa huzuni mkubwa baada ya mchumba wake huyo kukipoteza kichanga chao kufuatia kuanguka jana usiku.Jana usiku mke wangu alianguka, alifikia tumbo kwahiyo akawa anasikia kizunguzungu nilipompeleka hospitali daktari akasema mtoto amekufa,” Nay ameiambia Bongo5.

Awali, Nay wa Mitego ameweka picha ya mchumba wake kwenye Instagram akiwa hospitali na kuandika: Happy bday my lv, Mungu akupe maisha marefu na yenye mafanikio tele. Japo imekukuta uko vibaya tumempoteza kijacho but ni mipango ya mungu, nakupenda sana mke..!! #966# happy bday 2u ma.”
Habari na Bongo5.com
Monday, July 1, 2013
TAMASHA LA TIGO LA KABANG LAFANA NDANI YA CCM KIRUMBA MWANZA SIKU YA JANA.
Dj akikandamiza na kusababisha hapa vitu viende safiiii!!
Roma Mkatoliki akifoka foka!!..
akiwasha Moto CCM Kirumba
Umati wa watu wengi wamejitokeza katika uwanja wa CCM Kirumba kuwaunga mkono Tigo kupitia Kabang. Ikiwa ni njia ya kujenga uhusiano na wateja wao
Fid Q naye akiwapa raha wakazi wa Mwanza, na kabla ya kuanza alikaribishwa kwanza nyumbani ...kisha akalisanua mwanzo mwisho!!!
kazi kweli kweli...ukiambiwa ni Kabang ni full jiunge na tigo sasa!!!
Muda wa Nay wa Mitego ukafika nae akaanza kufoka foka kama kawaida yake!! Ki Hip Hop zaidi
Kumpata Nay Vizuri abaki kifua wazi ndipo ataanza vyema Hip Hop, angalia sasa!!
Kama unanipenda nyoooosha mikono juu!! twende pamoja
Wasafi nao wakalipuka!!!
Saturday, June 22, 2013
NEY WA MITEGO AMVALISHA KATA KEI MPENZI WAKE KWA LAZIMA, MCHEKI HAPA

Ukitaka kutoka na mimi lazima ushushe mlege ukizingua hautoki na mimi? umekuja kwa mwana hih hop lazima utoke kihihhop hapa hakuna kuvaa kibongo fleva, alisikika akimwambia mpenzi wake.
Friday, May 24, 2013
CHEKI MCHUMBA WA NEY WA MITEGO A.K.A MAMA KIJACHO ALIVYO MREMBO AKIWA PENY WA DIAMOND PLATNUM DAR LIVE
| Diamond akisukuma kichwa cha Ney na mchumba wake ili wabusiane |
Subscribe to:
Posts (Atom)
HABARI MBALIMBALI
‘Dk. Cheni’
‘Sharo Milionea
‘Thea’
African Women
AGNESS MASOGANGE
AK CLASSIC COSMETICS
ALI KIBA
Amanda Poshy
Ant
ANT LULU
Ashley Toto
Aunt Ezekiel
Aunty Ezekiel
AUNTY LULU
Azam Fc
Baby Madaha
BAHATI BUKUKU
Barnaba
BATULI
BBA
Beauty of the day
Belle 9
BI KIDUDE
BIBI BOMBA
Big Brother
Big Brother Africa
Bill Gates
BINTI KIZIWI
BOB JUNIOR
Bodi ya Filamu
Bongo Movie
Bongo Movies
CCM
CHADEMA
Chombezo
Christina Shusho
Chuchu hans.
Clouds Media Group
Club Bilicanas
DAR LIVE
DAVINA
Dayna Nyange
Diamond
Dida
Diva Loveness Love
Dj Ommy Crazy wa Maisha Club
DOGO JANJA
DOKI
DR.CHENI
DSTV
Dude
Dully Sykes
EBSS 2013
Elizabeth Michael
Epiq Bongo Star Search (EBSS)
ESHA BUHETI
Ester Bulaya
Feza Kessy
FIESTA 2014
Flaviana Matata
FLORA MBASHA
FLORA MVUNGI
Francis Cheka
GARDNER
GLOAL PUBLISHERS
GLOBAL TV ONLINE
H. BABA
Halima Mdee
HAMISA
Happy birthday
Hemedi
Hemedy Suleiman
HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Hoyce Temu
Huddah Monroe
HUSINA
IRENE PAUL
Irene Uyoya
ISABELLA
J film 4 life
Jack Chuz
JACK PATRICK
Jacob Steven ‘JB’
Jacqueline Dustan
JACQUELINE WOLPER
Jaji Khamis 'Kashi'
Jay Dee
JENNIFER KYAKA (ODAMA)
JIDE
JINI KABULA
JK
JO
Johari
Jokate Mwigelo ‘Kidot’.
JOTI
Joyce Kiria
Joyce Kiwia
JUX
K-LYNN
KADINDA
kaja
Kajala Masanja
Kapotive Star Singers
KATUNI
Kemmy
Kero Zetu
KHADIJA OMAR KOPA
KIKWETUKWETU
KILI MUSIC AWARDS
KOLETA
Lady Jay Dee
Lady Jaydee
Lake Oil
LAVEDA
Linah Sanga
Linex
Lisa Jensen
Loveness Diva
Lucy Francis Komba
Lulu
M2 The P
MABILIONEA
Madam Rita
MADELA
Magazeti
Mahusiano
Maimartha Jesse
MAINDA
MAISHA
Makala
Malkia Elizabeth
MAMTEI
MANDELA
MARIAM ISMAIL
Masanja Mkandamizaji
Mashindano ya Miss Tanzania
Matangazo
Matonya
MaxMalipo
MAYA
MELLIS EDWARD
MENINAH
MGOSI MKOLONI
Mh Halima Mdee
mic
Michezo
MILLEN HAPPINESS MAGESE
MISS CHANG'OMBE
MISS DAR CITY CENTER
Miss East Africa
MISS REDD'S IRINGA 2013
MISS TANGA 2013.
MISS TANZANIA 2014
Miss Tanzania mwaka 2011
MISS TEMEKE 2014
MISS USTAWI
MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Miss vyuo vikuu 2013
MKALA
MREMBO HUDDAH
Mrisho Mpoto
Mrisho Ngassa
MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES.
MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013
Mtitu
muziki
Mwana FA
MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Mzee Majuto
Nancy Sumari
Nani Mtani Jembe?
NAPE
Nassoro ‘Nora’
Natasha
Nay wa Mitego
Necta
Nelly Kamwelu
NEY WA MITEGO
Nisha
NSSF;Zantel
Nyamwela
NYimbo
Nyota yako
OBAMA TANZANIA
OMMY DIMPOZ
P FUNK
PAM D
Peniel Mgilwa ‘Penny’
PETIT MAN
Profesa Jay
Q - CHILA
Q Boy
Q Chilla
QUEEN DARLEEN
RACHEL NDAUKA
RAIS KIKWETE
Rais Kikwete.
Rasimu Ya Katiba TZ
Ray
Ray C
Redd’s Miss IFM
REDD'S MISS KAGERA 2013
REDD'S MISS TZ
REDDS MISS TANZANIA 2014
Redds Miss wa Mikoa
REHEMA FABIAN
RICHIE RICHIE
Rihanna
ROSE MUHANDO
Rose Ndauka
Ruge Mutahaba.
SABASABA 2013
Saida Karoli
Saikolojia
Sajeti
SAJUKI
Sandra
SHAA
Shamsa Ford
Sheikh Ponda
Shilole
Sintah
Siwema
Skin Tricks
Snura Mushi
Spika Makinda
staa
Staa Wetu
Stella Mwangi
STYLE ZA NYWELE
Taifa Stars
Tamasha la matumaini
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013
Tangazo
TANZANIA
TEGO
TENGENEZA WEBSITE NA BLOG
TID
Tundaman
Tupo wangapi?
TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Twanga Pepeta
USA PAGEANT 2014
VAI
Wastara
WEMA
WEMA SEPETU
Yanga
Yanga Bingwa 2013
YOUNG D
Yvonne Cherry ‘Monalisa’
Z Anton.
Zari
Zito kabwe
