EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA
Showing posts with label Mashindano ya Miss Tanzania. Show all posts
Showing posts with label Mashindano ya Miss Tanzania. Show all posts

Wednesday, January 7, 2015

LUNDENGA; USITAFUTE MCHAWI, BADILIKA! KWAKO


Mkurugenzi wa Lino International Agency, Hashim Lundenga. Bila shaka u-mzima wa afya na unaendelea na michakato yako ya kukufanya mkono uende kinywani.
Binafsi mimi ni mzima wa afya, naendelea na majukumu yangu ya kila siku. Miongoni mwa majukumu yangu ni hili la kukuandikia barua, huwa nawaandikia watu tofauti lakini leo nimekukumbuka wewe kama muandaaji wa shindano kubwa la urembo nchini, Miss Tanzania.

Saturday, September 28, 2013

HII NDO TOP 3 YA MISS WORLD MWAKA 2013/2014..GHANA WACHUKUA NAMBA TATU.





 
                                          HUYU NDIYE MISS WORLD
 Megan was born in the USA before moving to the Philippines when she was 10. Currently studying Digital Film making, Megan has been appearing on screen since the age of 15, starring in films, TV shows, and as a presenter. Megan has ambitions of moving behind the camera in the future, taking the role of director after gaining experience and finishing her qualifications. In her spare time she enjoys playing video games, she says she has and always will be a Harry Potter fan, and that she is “guided by my heart… I think and speak from it.”
 

                                     HUYU NDIYE NAMBA MBILI
Marine was born and raised in the city of Mâcon. Describing herself as hardworking, she is currently a 2nd year medical student with aspirations of travelling the world helping its people before becoming a paediatrician or obstetrician. Marine has practiced athletics and gymnastics at a competitive level, winning “Vice Championnes de France” for her athletics team in the past. Her favourite author is Anna Gavalda, she enjoys listening to Lana del Ray, and her favourite food is Italian Cuisine.

NAMBA 3::Carranzar was born in the suburbs of Accra and has lived in the capital all her life. She is a BSC Medical Student with ambitions of qualifying as a paediatrician in the future. Describing herself as “down to earth with a vivacious personality and a passion to help the under privileged”, she partakes in quarterly outreach programs bringing medical care to rural areas of Ghana. In her spare time she enjoys reading, sightseeing, and travelling, and her favourite book is Think Big by Ben Carson.

Monday, September 23, 2013

HAPPINESS AWA MISS TANZANIA



Redd's Miss Tanzania 2013,Happiness Watimanywa akipungia mkono mara baada ya kutangazwa mshindi wa Taji hilo kwa mwaka huu.Kushoto ni mshindi wa pili,Latifa Mohamed na kushoto ni mshindi wa tatu,Clara Bayo
Hawa ni warembo walioingia hatua ya tano bora.
Hawa ni warembo walioingia hatua ya 15 bora.

Sunday, September 22, 2013

HAPPYNESS WATIMANYWA AIBUKA KIDEDEA NA KUWA REDDS MISS TANZANIA 2013/2014.



 HAPPINESS WATIMANYWA
 

Hii ndio tano bora ya Redd's Miss Tanzania 2013. Je nani hapa ataondoka na taji, gari na kitita cha Milio ni 8? Warembo hao kutoka kushoto ni Happiness Watimanywa (Miss Photogenic), Elizabeth Pretty, Clara Bayo (Miss Sports Women), Lucy Tomeka na Latifa Mohamed.

Fainali za Miss Tanzania 2013 ndio zinaendelea usiku huu ndani ya Mlimani City jijini Dar es Salaam. Gari ndo hilo hapo Je nani ataingia ndani na kuliendesha? Tusubiri Majaji. Hadi sasa Top 5 ndo ishatajwa.

Wadau wakifuatilia shindano la Redds Miss Tanzania lililomalizika kwa Kumpata Mlimbwende Happyness Watimanywa Kutoka Dodoma

Saturday, September 21, 2013

LEO NDO LEO: Nani kuvaa taji la Miss Tanzania leo?


Dar es Salaam.: Mrithi wa Redds Miss Tanzania 2013, Brigiter Alfred atapatikana leo wakati warembo 30 watakapopanda jukwaani kwenye Uukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Mshindi wa taji hilo mwaka huu atajinyakulia gari jipya na kitita cha fedha Ssh 8milioni kutoka kwa wadhamini wakuu wa mashindano hayo, Kampuni ya Bia ya Tanzania (TBL).
Akizungumza jana Mkurugenzi wa Lino Agency ambao ndiyo waandaaji wa mashindano hayo, Hasheem Lundenga alisema taji la malkia mpya wa urembo Tanzania limeshaandaliwa na mshindi wa pili mwaka jana ndiye atakayemvisha mshindi.
“Redds Miss Tanzania 2012 namba mbili, Eugene Fabian ndiye atakayemvisha taji malkia mpya baada ya Miss Tanzania 2012 Brigiter Alfred anayemaliza muda wake kuwaepo Indonesia akijiandaa kuwania taji la Miss World mwaka huu hapo Septemba 28,” alisema.
Kwa hivi sasa, taji la Redd’s Miss Tanzania linashikiliwa na Miss Sinza, Brigiter Alfred, aliyelitwaa taji hilo mwaka jana na kukabidhiwa gari aina ya Noah na kitita cha Ssh milioni nane.

Thursday, September 19, 2013

Viingilio Redd’s Miss Tanzania vyatajwa..

WAKATI zikiwa zimebaki siku tatu Redd’s Miss Tanzania ajulikane, viingilio kwa ajili ya shindano hilo linalosubiriwa kwa hamu vimetangazwa.
 
Kiingilio cha juu katika shindano hilo linalotarajiwa kufanyika Jumamosi, ukumbi wa Mlimani City, Mwenge jijini Dar es Salaam ni sh 100,000 viti maalumu, huku vya kawaida vikiwa sh 50,000.

Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa kinywaji cha Redd’s Original, Victoria Kimaro, ambao ndio wadhamini wakuu wa Redd’s Miss Tanzania alisema, wanaamini viingilio hivyo ni vya kawaida kutokana na ubora wa shindano lenyewe.

Victoria alisema, burudani katika shindano hilo inatarajiwa kutolewa na msanii mahiri kutoka Uganda, Mike Ross atakayeshirikiana na Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ pamoja na kundi la Mama Afrika katika kukonga nyoyo za mashabiki watakaojitokeza ukumbini hapo.

“Tunaamini kabisa wasanii hawa watakonga nyoyo za mashabiki wa tasnia ya urembo hapa nchini, hivyo napenda kutoa wito kwa mashabiki kujinunulia tiketi mapema ili kuepuka usumbufu,” alisema Victoria.

Wednesday, September 18, 2013

Redd’s Miss Tanzania waaswa kuthamini vya nyumbani.

WAREMBO wanaowania taji la Redd’s Miss Tanzania 2013 wametakiwa kupenda na kuthamini bidhaa zinazozalishwa na viwanda vya hapa nchini.
Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Kiwanda cha Tanzania Distilleries (TDL), David Mgwassa, wakati akizungumza na warembo waliotembelea kiwanda hicho kilichopo Chang’ombe jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

“Nyinyi ni mabalozi wazuri wa kutangaza bidhaa za humu ndani, hivyo nawaomba sana mzipende na kuthamini sana bidhaa zote zinazozalishwa na viwanda vya ndani,” alisema Mgwassa.

Alisema kuwa TDL kupitia kinywaji cha Zanzi, imeamua kudhamini shindano la Miss Tanzania kwa sh milioni 40, lengo likiwa kukitangaza kinywaji hicho, pia kuboresha shindano hilo.
 
Mgwassa alisema shindano la Miss Tanzania ni kielelezo muhimu kwa taifa na kuwataka warembo hao kutangaza vivutio vya utalii nchini kama Mlima Kilimanjaro, sambamba na kukitangaza kinywaji cha Zanzi kuwa ni bidhaa bora kwa Watanzania kwa lengo la kuinua uchumi wa nchi.

Shindano la Redd’s Miss Tanzania linatarajiwa kufanyika Septemba 21, mwaka huu kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Tuesday, September 17, 2013

CLARA BAYO ALIVYO SHINDA TAJI LA REDD'S MISS TANZANIA SPORTS WOMAN 2013


 Mrembo Clara Bayo akipunga mkono mara baada ya kutangwazwa kuwa mshindi wa Taji la Redd's Miss Tanzania Sports Woman 2013 juzi wakati wa tamasha la michezo la warembo wanao wania taji la Miss Tanzania 2013. Bayo alifanya vyema katika michezo kadhaa na kujizolea point nyingi na kuwashinda warembo wengine 29.

Kwa Taji hilo Clara Bayo ambaye anatoka Kanda ya Ilala, amekuwa mrembo wa nne kuingia nusu fainali za Mashindano hayo makubwa ya urembo nchini ambayo fainali zake zitafanyika Ukumbi wa Mlimani City Septemba 21 mwaka huu.
Clara Bayo akipozi kwa picha.
 
 Warembo walichuana vikali kaika soka huku timu za Redd's na Zanzi zikichuana na Zanzi iliyoongozwa na nahodha na mfungaji bora Happines Watimanywa ikishinda kwa goli 2-1.

Monday, September 16, 2013

WASHIRIKI WA MISS TANZANIA WATEMBELEA KAMPUNI YA TANZANIA DISTILLERIES LIMITED 'KONYAGI'


Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'konyagi' David Mgwassa akizungumza na waandishi wa habari baada ya warembo wanaowania taji la Miss Tanzania kufanya zihara katika Kampuni hiyo mwishoni juzi ambayo imedhamini mashindano hayo kupitia kinywaji chake cha Zanzi  .
Baahi ya Warembo wanaowania taji la Miss Tanzania wakichukua chakula wakati walipotembelea Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'konyagi' juzi   ambao ni wadhamini kupitia kinywaji cha Zanzi
Baahi ya Warembo wanaowania taji la Miss Tanzania wakiwa kwenye pozi wakati walipotembelea Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'konyagi'  juzi  Konyagi  ambao ni wadhamini kupitia kinywaji cha Zanzi
Meneja masoko  ya ndani na nje wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'konyagi' ,Vimal Vaghmaria kushoto na meneja masoko wa ksampuni hiyo Joseph Chibhee wakigonganisha grass na Warembo wanaowania taji la Miss Tanzania walipotembelea kiwandani  juzi Konyagi ni wadhamini kupitia kinywaji cha Zanzi
Meneja masoko  ya ndani na nje wa Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'konyagi' ,Vimal Vaghmariakatikati akiwa katika pozi na baadi ya washiriki wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania walipotembelea kiwandani  juzi konyagi  ni wadhamini kupitia kinywaji cha Zanzi
 Warembo wanaowania taji la Miss Tanzania wakiwa kwenye pozi wakati walipotembelea Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited 'konyagi'  juzi konyagi ambao ni wadhamini kupitia kinywaji cha Zanzi

Friday, September 13, 2013

Zawadi Redd’s Miss Tanzania hadharani...Malkia kuondoka na gari, mil. 8/-

MALIKIA wa taji la Redd’s Miss Tanzania 2013 anatarajiwa kuondoka na gari dogo lenye thamani ya sh milioni 15 sambamba na kitita cha sh milioni nane.

Shindano hilo linalotarajiwa kushirikisha warembo 30 kutoka sehemu mbalimbali hapa nchini, limepangwa kufanyika Septemba 21, mwaka huu, kwenye ukumbi wa Mlimani City, huku likipambwa na burudani za kila aina kutoka kwa wasanii maarufu wa ndani na nje.

Akitangaza zawadi hizo jijini Dar es Salaam jana, Meneja wa kinywaji cha Redd’s Original, Victoria Kimaro, alisema wameamua kutangaza mapema zawadi hizo ili kuleta morali kwa washiriki wa shindano hilo.

“Tunaamini shindano la mwaka huu litakuwa na ushindani mkubwa zaidi na zawadi hizi zitakidhi kwa kiasi kikubwa mahitaji ya warembo,” alisema Victoria.

Mbali na mshindi kutwaa zawadi hizo, mshindi wa pili atapata sh milioni 6.2, wa tatu sh milioni nne, wa nne sh milioni tatu, wa tano sh milioni mbili, huku mshindi wa sita hadi 15 watapata sh milioni 1.2 kila mmoja na waliobaki watajipoza kwa sh 700,000 kila mmoja.

Sunday, September 8, 2013

NARIETHA BONIFACE ATWAA TAJI LA REDD’S MISS TANZANIA TOP MODEL

 Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface akipozi kwa picha mara baada ya kushinda taji hilo jana na kuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2013 baada ya kuwashinda warembo wenzake 29. Shindano la Miss Tanzania Top Mode lilifanyika katika Hoteli ya Snow View Arusha na kuwashirikisha warembo 30.
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2013, Narietha Boniface (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Elizabeth Pert (wapili kushoto), mshindi wa tatu Svetlana Nyameyo (wapili kulia), mshindi wan ne Happiness Watimanywa ambaye pia ni Miss Tanzania Photogenic 2013 na Mshindo wa tano Latifa Mohamed, mara baada ya kushinda taji hilo jana ambapo Narietha amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2013 baada ya Miss Photogenic. Shindano la Miss Tanzania Top Mode lilifanyika katika Hoteli ya Snow View Arusha na kuwashirikisha warembo 30.

 Warembo walipo jinadi kwa pozi kali na miondoko ya kufa mtu katika kuwania taji hilo la Redd's Miss Tanzania Top Model  2013 ndani ya Snow View Hotel Arusha.

Wednesday, September 4, 2013

WASHIRIKI WA SHINDANO LA REDD'S MISS TANZANIA 2013 HAWA HAPA

 
CLARA BAYO.
 
ANASTAZIA DONALD.
 
DAYANA LAIZER.
 
DORICE MOLLEL.
 
ELIZABETH PERTY.
 
ESHYA RASHID.
 
GLORY STEPHEN.
 
HAPPINESS WATIMANYWA.

Saturday, July 6, 2013

Picha 26 za hawa wanachuo waliochujwa mpaka kupatikana huyu Miss vyuo vikuu 2013

.
Mpango umefanyika usiku wa July 5 2013 Sinza Dar es salaam ambapo ulikua usiku wa kuwakutanisha warembo kutoka vyuo mbalimbali Tanzania na kuchujwa mpaka kupatikana mshindi ambae anatoka Dar es salaam.PICHA ZOTE NA MILLARD AYO.COM

 Huyu ndio Miss Vyuo vikuu 2013, ni Miss wa chuo cha Ustawi wa Jamii Dar es salaam anaitwa Severina Emmanuel Lwinga alijishindia milioni moja.

Sunday, June 30, 2013

MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 APATIKANA NI LUCY CHARLES KUTOKA MWANZA.

Mrembo Lucy Charles akitabasamu baada ya kuvikwa taji la Redd's miss Kanda ya Ziwa usiku huu.

Kinyanganyiro cha kumtafuta mnyange wa Kanda ya Ziwa kwa mwaka 2013, kimeteguliwa usiku huu kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Gold Crest baada ya Mrembo Lucy Charles msomi wa chuo kikuu cha mtakatifu Augustino, kuwabwaga warembo wengine 17 waliojitokeza.

Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga akijiandaa kuanza kuita 10 Bora hapa
Top 10.

Tano Bora
Mrembo huyo aliwapagawisha mashabiki wa urembo waliofurika katika ukumbi wa Hotel ya Gold Crest baada ya kujibu swali kwa ustadi lililouliza Ni changamoto ipi kubwa walionayo vijana wa leo.
Mshindi wa pili katika shindano hilo ni Eshe Rashid  na mshindi wa tatu ni Salsha Isdore

Vinara watatu .katikati ni Lucy Charles mshindi wa Redd's miss Lake zone 2013, kulia ni Eshe Rashid kutoka Mara na kushoto ni Salsha Isdore kutoka Geita na wote watatu wanaenda ngazi ya taifa.
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate