Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Canavaro’ akipokea ngao ya Jamii
kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick
wakati wa mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini
Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 1-0. (Picha na Francis Dande)
Mashabiki wa Yanga.
Mbuyu Twite akisalimia na kocha wa Azam baada ya kumalizika kwa mchezo.
