EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA
Showing posts with label Feza Kessy. Show all posts
Showing posts with label Feza Kessy. Show all posts

Sunday, August 18, 2013

KIVAZI CHA FEZA CHAZUA UTATA UZINDUZI WA YAHAYA

Feza akiwa katika pozi na Lady Jaydee wakati wa uzinduzi wa video ya Yahaya.
 
Feza akiwa stejini na kivazi chake kilichoacha sehemu ya maziwa wazi.
 
Feza akiwa na wenzake wakati wa uzinduzi huo.

FEZA: NAPENDA MWANAUME MWENYE UPEO, ALIYEPEVUKA.

Feza Kessy akifanya mahojiano katika kipindi cha Hatua Tatu cha 100.5 Times FM.
-Maisha ya mjengoni -Alivyojisikia baada ya Mtanzania mwenzake Nando kuondolewa
-Asema alijua kuwa atatolewa mjengoni
-Kuhusu mapenzi mjengoni
-Mwanaume gani anapenda kuwa naye
-Adai kabla ya kwenda BBA 'The Chase' hakuwa na mpenzi
-Aelezea umri wake kuwa ni miaka 25
-Aeleza faida za BBA kwa Tanzania
-Malengo yake baada ya kutolewa BBA

Thursday, August 15, 2013

HATIMAYE FEZA KESSY ATUA BONGO KUTOKA BBA,TAZAMA PICHA ZA MAPOKEZI YAKE HAPA


_MG_0056
Mshiriki wa Big brother the Chase Feza Kessy amefika Tanzania leo usiku saa moja akitokea South Africa. Airport kulikuwa na mama yake mzazi,kaka yake,mwanae,team ya Multi choice ikiongozwa na Barbara pamoja na mashabiki wengi. Hizi ni baadhi ya picha jinsi ilivyokuwa, picha nyingine na video zinakujia hivi karibuni. _MG_0012
_MG_0051
_MG_0069
Feza na mwanaye
_MG_0071
_MG_0110

Tuesday, August 13, 2013

FEZA KESSY KUWASILI NCHINI KESHO


Mshiriki wa Tanzania aliyetolewa kwenye shindano la Big Brother 'The Chase' Feza Kessy,  atawasili nchini kesho (Jumatano) jioni saa kumi na mbili na nusu kwa ndege ya South African Airways. Feza aliondolewa katika shindano la la Big Brother 'The Chase' Jumapili iliyopita na kuungana na Mtanzania mwenzake Ammy Nando aliyetangulia kutoka katika jumba hilo. Wadau mnaombwa kujitokeza kumpokea mshiriki wetu hapo kesho.

Monday, August 12, 2013

FEZA KESSY AONDOLEWA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER AFRCA.

Mtanzania FEZA KESSY  aliyekuwa  akituwakilisha  katika  shindano  la  Big Brother Africa  ameondolewa  rasmi  usiku  wa kuamkia leo. Feza amekuwa mtu wa 20 kutolewa ndani ya jumba la BBA The case.

Na siku ya jana ameweza kudhibitisha kuwa kweli anampenda Onel baada ya kuchapwa swali na IK , Unampenda Onel? na kujibu Ndiyo bila ya kupepesa mdomo na kujiamini.

Kwa  sasa  Tanzania  hatuna  mwakilishi  tena  ndani  ya  jumba  hilo.

Monday, August 5, 2013

FEZA APONEA CHUPUCHUPU KUTOKA KWENYE JUMBA LA BIG BROTHER THE CHASE, ONEL OUT



Homa iliyokuwa ikiwakabili watanzania kwamba huenda muwakilishi pekee kutoka Tanzania, Feza Kessy siku zake zimeisha kutoka kwenye jumba la Big Brother imepata tiba usiku wa kuamkia leo ambapo muwakilishi huyo, amebaki bali mpenzi wake Oneal kutoka Botswana, ndio ametoka.

Saturday, August 3, 2013

VOTING to keep FEZA in the Big Brother House..

Keep VOTING to keep FEZA in the Big Brother House.. ---> http://bigbrotherafrica.dstv.com/vote/
One day to go, Africa.. We can do this.. We can Save Feza...
Share, Like, Comment, VOTE..
 

Monday, June 10, 2013

BIG BROTHER:UGANDA WAAGA RASMI, WAKENYA WAMTOSA FEZA,AOKOLEWA NA KURA ZA WAGANA,SIERRA LEON NA WATANZANIA.

Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa huzuni kwa wenzetu
 waganda baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amebaki
 naye kuyaaga mashindano lakini  ilikuwa ni siku ya
 furaha zaid kwa watanzania baada ya Feza aliyekuwa
 hatarini kutoka kutoka na badala yake votes zimemuokoa
 na ataendelea kuwemo mjengoni pamoja na mtanzania
 mwingine Nando, na nchi zilizopiga kura,tungetegemea
 majirani zetu Uganda na Kenya kuvote kwa Feza 
 lakini ilikuwa kinyume,ni Tanzania na nchi za west africa,Ghana &Sierra leon 
kitu kilicholeta mtafaruku mkubwa on social networks,na 
zamu hii Mwakilish wa 
kenya yuko on danger,do u think ni nini kitatokea..lets wait n see.

Sunday, May 26, 2013

HUYU NDO MREMBO ATAKAYEWAKILISHA SHINDANO LA BIG BROTHER MWAKA HUU.


feza-kessy-rick-ross-vanessa-mdee
feza-kessy
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye   mitandao  mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013 (BBA “The Chase.” Well, hizi ni baadhi ya picha zake.

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate