Mstahiki Meya wa Manispaa ya
Ilala Jerry Silaa akiwa na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya
MeTL Group Hussein Dewji wakati alipotembelea Banda la Kampuni hiyo
kwenye maonyesho ya 37 ya Biashara ya Kimataifa yanayoendelea katika
uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Mstahiki Meya Jerry Silaa
akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Masoko na Mauzo wa Makampuni ya
MeTL Group Bw. Hussein Dewji ambapo pia alimpongeza kwa bidhaa nzuri
wanazozalisha katika kampuni yao.
Mstahiki Meya Jerry Silaa akiendelea kuzungukia bidhaa mbalimbali zinazozalishwa na Kampuni ya MeTL Group kwenye banda hilo.