MARIAM Ismail mwigizaji wa filamu anasema kuwa umaarufu kwa msanii si
lazima ajengwe kwa kuandikwa kashifa katika vyombo vya habari bali ni
kuitendea haki filamu anayochaguliwa kama ambavyo yeye anaamini anafanya
hivyo katika filamu anazocheza kila anapochaguliwa jambo ambalo hivi
sasa kila mtayarishaji anahitaji kufanya kazi naye kwa sababu anajua.
Mariam akiwa katika pozi la kikazi.
“Binafsi sihitaji scandle ili niwe maarufu bali ninachofahamu ni
uwajibikaji katika kazi ninayopewa na mtayarishaji wa filamu husika,
ninachohitaji ni kusoma muswada wa filamu (Script) vizuri kisha
kuvaa uhusika kulinga na nafasi nitakayopewa kuigiza mara nyingi wasanii tunahitaji hisia, hicho ndicho ninachofanya katika filamu zote nilizoigiza na kunifanya niwe bora,”anatamba Mariamu.
kuvaa uhusika kulinga na nafasi nitakayopewa kuigiza mara nyingi wasanii tunahitaji hisia, hicho ndicho ninachofanya katika filamu zote nilizoigiza na kunifanya niwe bora,”anatamba Mariamu.
Msanii huyo ambaye anafanya vizuri katika tasnia ya filamu
Swahiliwood ameshiriki katika filamu
Endelea kusoma kwa kubofya...Read more..
Endelea kusoma kwa kubofya...Read more..