MODO maarufu Bongo, Agness Gerad ‘Masogange’
ameshtushwa na ushindi wa makalio yake baada ya kutojua kama ametajwa
kuwa ni mwanamke mwenye makalio mazuri Afrika Mashariki.
Masogange alishinda nafasi hiyo kupitia utafiti uliofanywa na mtandao
wa Media Take Out ambapo kwa kutumia vigezo vyao, walimwanika Masogange
kuwa ndiye mwanamke pekee mwenye makalio bomba wakidai amejengeka
vizuri zaidi.
“Daah! Mimi mwenyewe nilikuwa sijui, nashukuru kama
wao wameona mimi ndiyo mwenye kiungo hicho muhimu cha kuvutia na bora
kwa wanawake wengine wote,” alisema Masogange ambaye kwa sasa
amehamishia makazi yake nchini Afrika Kusini.
Showing posts with label AGNESS MASOGANGE. Show all posts
Showing posts with label AGNESS MASOGANGE. Show all posts
Monday, March 16, 2015
Friday, March 13, 2015
MAKALIO YAMPAISHA MASOGANGE MAREKANI
Staa aliyejipatia umaarufu mkubwa kutokana na makalio yake, Agnes Gerald ‘Masogange’ sasa amepaa kimataifa zaidi na kuwa gumzo hadi Marekani baada ya hivi karibuni mtandao mmoja wa watu maarufu nchini humo kumpa shavu.
Masogange aliripotiwa na mtandao wa Media Take Out na kumuelezea kuwa ni staa mwenye makalio makubwa barani Afrika akitokea Tanzania.Mbali na maelezo kibao ya kusifia wowowo lake, mtandao huo uliposti picha kibao za mwanadada huyo ambaye sasa anaishi Afrika Kusini akiweka mapozi tofauti ya kimitego.
Hata hivyo, baadhi waliponda maelezo hayo kwa kusema kuwa, Afrika ina mabinti wenye maumbo tata kuliko Masogange hivyo mtandao huo ungefanya uchunguzi kabla ya kuripoti habari hiyo.
Friday, January 23, 2015
MASOGANGE AIBU TUPU SAUZ
Na Erick Evarist/Ijumaa
MIEZI michache tangu ahamishie makazi yake nchini Afrika Kusini, modo aliyetikisa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ ametia aibu kutokana na kudaiwa ‘kujiuza’ kwa njia ya mtandao nchini humo.
Chanzo makini kilicho karibu na staa huyo kimepenyeza ubuyu kuwa, Masogange yupoyupo tu, kazi kujipiga picha za utupu na kuzitupia mtandaoni kana kwamba anatafuta wanaume.“Kimsingi hana kazi huku Sauz zaidi ya kuposti picha kwenye mtandao wa Instagram na anachanganya sana wanaume wenye pesa zao, si unajua tena mtoto kajaliwa shepu la maana.
Baada ya chanzo hicho kuvujisha ubuyu huo, paparazi wetu aliingia kwenye akaunti ya mrembo huyo na kujionea picha kibao zenye mapozi ya kihasara. Jitihada za kumpata ili azungumzie madai hayo hazikuzaa matunda kwani simu yake haikuwa hewani lakini katika maelezo yake kwenye mitandao ya kijamii amewahi kudai anasoma chuo ingawa haijajulikana ni chuo gani.

Saturday, December 20, 2014
MASOGANGE NA SKENDO YA UTAPELI
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’
amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya
watu ambao wanatumia jina lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa
Facebook.Akizungumza na mwanahabari wetu, Masogange alisema kuwa watu
wanaotumia jina lake wakome
kwa sababu wanamjengea hisia tofauti kwa watu wakati yeye hanufaiki na chochote.
“Kwa kweli inauma sana mtu kutumia jina langu kwenye mitandao halafu halitumii kwa uzuri, kazi ni kuomba pesa kwa watu mbalimbali, jamani mimi situmii mtandao wa Facebook kabisa kwa hiyo watu wawe makini,” alisema Masogange.

Thursday, September 4, 2014
Saturday, August 30, 2014
UCHUMBA WA MASOGANGE WATIBULIWA
SIKU chache baada ya kupata uraia wa Afrika Kusini, uchumba wa Video Queen, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mpenzi wake, Louis Dolnard umetibuliwa.
Hali hiyo ilijiri kutokana na madai kuwa kuna wanaume wamepeleka maneno ya kimbeya kwa mpenzi wake huyo yakiashiria kuwa mrembo huyo hajatulia.
Hata hivyo, Agnes amefunguka kuwa kamwe hawezi kuachana na mchumba wake huyo.
“Wanaume wengine sijui wapoje, wanapeleka maneno ya kimbeya kwa mchumba wangu sijui wanataka nini? Kwa taarifa yao siachiki ng’o,” alisema Masogange.
Wednesday, August 20, 2014
MNIGERIA AMPATIA MASOGANGE PASIPOTI YA SAUZI
Habari ya mjini kwenye ulimwengu wa mastaa Bongo ni taarifa kuwa video queen maarufu, Agness Gerald ‘Masogange’ amepatiwa passport (pasipoti) ya kuishi nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ na mwanaume anayedaiwa kuwa ni mfanyabiashara raia wa Nigeria.
MWANAUME KAMWINGIZA MKENGE?
Kwa mujibu wa chanzo cha kuaminika, ishu hiyo ambayo imekuja miezi kadhaa baada ya ule msala wa Masogange wa madawa ya kulevya ‘unga’ inadaiwa ‘imeinjiniwa’ na mwanaume huyo ambaye haijajulikana kama naye amechukua uraia wa Sauzi au la.
KWA NINI MKENGE?
Ilisemekana kwamba ni mkenge kwa sababu ili Masogange apate pasipoti hiyo, ilibidi aikane nchi yake ya kuzaliwa ya Tanzania. Sheria za uraia wa Bongo kwa sasa zinakataza mtu kuwa na uraia wa nchi mbili.
KIKAZI ZAIDI!
Awali, miezi kadhaa iliyopita ilielezwa kuwa Masogange alitimka Sauzi kwa mwanaume huyo ambaye anadaiwa kufanya naye ‘kazi’ (haikutajwa aina ya kazi) nchini humo.
Awali, miezi kadhaa iliyopita ilielezwa kuwa Masogange alitimka Sauzi kwa mwanaume huyo ambaye anadaiwa kufanya naye ‘kazi’ (haikutajwa aina ya kazi) nchini humo.
Thursday, February 13, 2014
MASOGANGE: SITAKI KUTONGOZWA
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ amewajia juu
kundi kubwa la wanaume linalomtaka kimapenzi wakati wanatambua vyema
kuwa ana mtu wake.
Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Masogange alisema tangu atoke Sauz aliponaswa kwa msala wa kusafirisha malighafi haramu, wanaume wakware wamekuwa wakimsaka kama fisi aliyeona mfupa kitu ambacho hakubaliani nacho.
“Sitaki
kutongozwa kabisa, waniache. Kinachonikera zaidi wanaonitongoza wengi
wanatambua kabisa nina mchumba wangu (Evance), watu wengine sijui
wapoje!” alisema Masogange.
Akipiga stori na paparazi wetu hivi karibuni, Masogange alisema tangu atoke Sauz aliponaswa kwa msala wa kusafirisha malighafi haramu, wanaume wakware wamekuwa wakimsaka kama fisi aliyeona mfupa kitu ambacho hakubaliani nacho.
Friday, January 10, 2014
MASOGANGE ANASWA NA BWANA WA JACK
VIDEO Queen, Agnes Jerald ‘Masogange’ hivi karibuni alibambwa maeneo
ya Sinza Kamanyola jijini Dar akijiachia na anayetajwa kuwa ni mpenzi wa
Jack Patrick, Juma Khalid ‘Jux’.
Wawili hao walibambwa kwenye duka moja lililopo maeneo hayo baada ya Jux kutua kutoka China huku Agnes akionekana kama anayemfariji kwa tukio la Jack kunaswa na madawa ya kulevya.
Jux akiwa na mpenzi wake Jack Patrick.
Akiuzungumzia ukaribu wake na Jux, Masogange alisema: “Wala hakuna
lolote kati yangu na yeye. Mimi na wale akina Jux pamoja na dada yake ni
watu wangu wa karibu sana tunaojuana muda mrefu hivyo tulikuwa
tunabadilishana mawazo tu.”
Jux na Jack wamekuwa wakionekana katika mitaa ya China wakila bata huku kukiwa na madai kuwa ni wapenzi na kuonekana kwa Jux na Masogange wakijiachia kumeibua maswali mengi.
Wawili hao walibambwa kwenye duka moja lililopo maeneo hayo baada ya Jux kutua kutoka China huku Agnes akionekana kama anayemfariji kwa tukio la Jack kunaswa na madawa ya kulevya.
Jux na Jack wamekuwa wakionekana katika mitaa ya China wakila bata huku kukiwa na madai kuwa ni wapenzi na kuonekana kwa Jux na Masogange wakijiachia kumeibua maswali mengi.
CHANZO NI GPL
Friday, December 13, 2013
Saturday, November 2, 2013
HUKUMU YA MASOGANGE YAPINGWA..MASOGANGE AJIFICHA
Agness Gerald ‘Masogange’.
MAKAMANDA wa vitengo vya
kudhibiti madawa ya kulevya kwa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika
(SADC) wamemaliza kikao chao jana kujadili mustakabali wa uhalifu
ikiwemo hukumu iliyotolewa kwa Mtanzania Agness Gerald ‘Masogange’
aliyekamatwa na malighafi haramu aina ya Ephedrine, Julai 5, 2013 nchini
Afrika Kusini kwamba ni ndogo.
Taarifa za ndani kutoka Jeshi la
Polisi Tanzania zimeeleza kuwa makamanda wa nchi hizo 15 walikutana
jijini Arusha kuanzia Jumatatu iliyopita lengo kubwa likiwa
kutokubaliana na adhabu zinazotolewa na baadhi ya nchi wanachama kwa
wanaokutwa na hatia ya kukamatwa na madawa ya kulevya ‘unga’.
WALICHOJADILI
Kwa mujibu wa chanzo kilicho ndani ambacho kiliomba hifadhi ya jina kwa kuwa si msemaji, makamanda wa nchi hizo walikuwa na kibarua kizito cha kujadili mbinu mbalimbali za kukabiliana na uhalifu pamoja na hukumu inayotolewa kwa watu wanaokutwa na hatia ya kukamatwa na unga.
“Walijadili matukio mengi ya uhalifu likiwemo suala la madawa ya kulevya, wakajadili mbinu za kukomesha biashara hiyo haramu ili waweze kupata suluhisho la kudumu,” kilisema chanzo hicho.
WATAKA HUKUMU KWA NCHI WANACHAMA IWE MOJA
Ilidaiwa kuwa, malighafi aliyokamatwa nayo Masogange na mwenzake kwa nchi nyingine kifungo chake kinafanana na kile cha mtu aliyekamawa na madawa ya kulevya, lakini kwa Afrika Kusini ni cha chini sana.

Chanzo hicho kilizidi kumwaga data kuwa,
miongoni mwa masuala yaliyokuwepo kwenye ajenda ni pamoja na umoja
katika suala zima la hukumu hususan kwa watuhumiwa wa madawa ya kulevya
kwani kumekuwa hakuna uwiano baina ya nchi moja na nyingine ndani ya
Jumuiya hiyo.
“Tumeona ilivyokuwa kwa Masogange, nchi
nyingi zimepinga kabisa ile hukumu kwani ilikuwa haifanani na kosa
husika. Mtu anatozwa faini ya shilingi milioni nne na laki nane (Sh.
milioni 4.8) kitu ambacho hakiingii akilini kabisa, makamanda wengi
wameonesha kupinga hukumu ile,” kilisema chanzo hicho.
MASOGANGE AJIFICHA
Wakati makamanda wa nchi hizo wakimaliza kikao chao, habari zenye utata zimesambaa kwamba, Masogange alitua Bongo katikati ya mwezi uliopita lakini anaishi Dar au Mbeya kwao kwa kujificha.

Baadhi ya watu, wakiwemo marafiki zake
wamekuwa wakisema kwa mkato staa huyo yupo Dar huku wengine wakisema
baada ya kutua Dar alikwenda kwao Mbeya kwa sababu hataki kujulikana
kuwa amesharudi Bongo.
Mwenyewe anapopatikana kwenye simu na kuulizwa amekuwa akijibu bado yupo Afrika Kusini lakini siku yoyote atatua Dar.
NZOWA ATOA UFAFANUZI
Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupambana na Madawa ya Kulevya Tanzania, Godfrey Nzowa alipoulizwa kwa njia ya simu juzi kuhusu mkutano huo alijibu kuwa yupo safarini kikazi akiwa katika mazingira mazuri atatoa ufafanuzi.
“Nipo safarini kikazi, naomba unitafute siku nyingine nitakupa ufafanuzi mzuri sana,” alisema Kamanda Nzowa ambaye naye ilidaiwa alikuwepo kwenye kikao hicho.
KUMBUKUMBU
Masogange na Mellisa Edward walikamatwa Julai 5, mwaka huu kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Oliver Tambo uliopo Kempton Park jijini Johannesburg nchini humo wakidaiwa kuingiza madawa ya kulevya aina ya Crystal Methamphetamine yenye thamani ya shilingi bilioni 6.8.
Hata hivyo, mahakama kuu nchini humo ilidai madawa hayo si ya kulevya bali ni malighafi haramu iitwayo Ephedrine ambapo kwa sheria za Afrika Kusini mtu akipatikana na hatia ya kuyaingiza nchini humo ni kifungo cha miezi 32 jela au faini ya shilingi milioni 4.8 kama alivyohukumiwa Masogange ambayo ni ndogo.
Pata habari kama hii kwa ufupi kwenye simu yako ya mkononi ya Vodacom kwa kutuma neno GLOBAL kwenda 15778.

Friday, October 11, 2013
MASOGANGE AJA NA SIRI NZITO.
VIDEO Queen wa Bongo, Agnes Gerald ‘Masogange’ alitarajiwa kutua
nchini Jumatano ya wiki hii akitokea Afrika Kusini huku siri nzito ya mzigo
aliodakwa nao ikitawala, Amani linakujuza.
Masogange anakuja Bongo baada ya kumaliza
kulipa deni lote la randi 30,000 (shilingi milioni 4.8) alizoamriwa
kulipa na Mahakama Kuu ya Gauteng iliyopo Kempton Park jijini
Johannesburg nchini humo baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuingiza
kemikali haramu, Julai 5, mwaka huu.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, Masogange anarejea na Melisa Edward ambaye alikamatwa naye lakini mahakama ikamwona hana hatia.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, Masogange anarejea na Melisa Edward ambaye alikamatwa naye lakini mahakama ikamwona hana hatia.
SIRI NZITO
Ujio wa Masogange bado una siri nzito kwani licha ya mahakama hiyo kumtia hatiani kwa faini au kifungo cha miezi thelathini jela, lakini bado serikali ya Tanzania inahaha kutaka kujua mzigo aliodakwa nao alitumwa na nani!
“Masogange ameahidi kutowataja watu waliompa mzigo akidai kuwa itaendelea kuwa siri yake mpaka anakufa,” kilipasha chanzo chetu.

WATOTO WA VIGOGO
Watoto wa vigogo ndiyo wamekuwa wakitajwa zaidi kuhusika na kumtuma Masogange ingawa hakuna jina la moja kwa moja la mtoto yeyote wa kigogo lililowahi kutajwa.
Watoto wa vigogo ndiyo wamekuwa wakitajwa zaidi kuhusika na kumtuma Masogange ingawa hakuna jina la moja kwa moja la mtoto yeyote wa kigogo lililowahi kutajwa.
ANAYEMJUA MWAKYEMBE
Mpaka sasa, Serikali ya Tanzania kupitia kwa Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison George Mwakyembe iliwahi kumtaja kijana aitwaye Mangunga ambaye ndiye anadaiwa kuwa na Masogange ndani ya ndege kwenda Afrika Kusini.

Sunday, September 22, 2013
Polisi kufuatilia nyendo za Masogange, Melissa.
Johannesburg.
Kitengo cha Kupambana na Dawa za Kulevya Nchini, kimewataja Agnes Gerald, maarufu Masogange, na Melissa Edward kuwa watafuatiliwa nyendo zao kwa umakini.
Kitengo cha Kupambana na Dawa za Kulevya Nchini, kimewataja Agnes Gerald, maarufu Masogange, na Melissa Edward kuwa watafuatiliwa nyendo zao kwa umakini.
Hatua hiyo iliyotangazwa na Kamishna Mkuu wa kitengo hicho, Geofrey Nzowa, imekuja siku moja baada ya Watanzania hao, Masogange na Melissa kuachiwa huru na Mahakama ya Kempton Park ya Afrika Kusini.
Nzowa alizungumza jana na mwandishi wa habari hii kwa njia ya simu, kuwa watu hao wataangaliwa kwa umakini watakapokuwa wakisafiri nje ya nchi.
Vilevile, alisema wataimarisha ukaguzi kwa Watanzania wengine, wenye historia ya kubeba dawa za kulevya wanaposafiri kwenda nje ya nchi.
“Masogange na Melissa tutawaangalia kwa jicho la umakini zaidi watu hawa,lakini siyo hao tu hata Watanzania wengine kwa sababu umdhaniaye siye kumbe ndiye,” alisema Nzowa.
Nzowa alisema Watanzania watakaokamatwa na dawa za
kulevya nchini au nje na wataadhibiwa kulingana na sheria kama
Masogange alivyoadhibiwa.
Hata hivyo, juzi Nzowa alionyesha kushangazwa na hukumu waliyopewa Masogange na Melissa akisema kuwa ni ndogo ukilinganisha na kiasi kikubwa cha kemikali walizobeba.
Hapa jijini Johannesburg, Masogange na Melissa jana walionekana wakitembelea maeneo mbalimbali ya jiji hilo ikiwamo madukani wakifanya ununuzi na katika saluni za urembo.
Mtu wa karibu na watu hao alisema, Watanzania hao
hawana hofu ya kufanya chochote kwa sababu mahakama imegundua kuwa
hawana hatia.
“Waogope kutembea barabarani kwa sababu gani wakati wameachiwa huru? Mahakama imefanya kazi yake na wao wana haki,” alisema mtu huyo ambaye hakutaka jina lake liandikwe gazetini.
Saturday, September 21, 2013
Msanii Masogange, mwenzake wapata dhamana Afrika Kusini
Johannesburg.
Watanzania Agness Masogange na Melisa Edward waliokamatwa kwa kutuhumiwa kubeba dawa za kulevya huko Afrika Kusini wameachiwa kwa dhamana.
Watanzania Agness Masogange na Melisa Edward waliokamatwa kwa kutuhumiwa kubeba dawa za kulevya huko Afrika Kusini wameachiwa kwa dhamana.
Mkuu wa Kitengo cha Polisi cha Kuzuia na Kudhibiti Dawa za Kulevya, Godfrey Nzowa
Mkuu wa Kitengo cha Dawa za Kulevya Afrika Kusini, Kamishna Toto Mangaleni aliithibitishia Mwananchi jana kuwa watuhumiwa hao wameachiwa kwa dhamana,lakini wataendelea kubaki Afrika Kusini wakati kesi yao ikiendelea.
Mangaleni alisema wanawake hao ambao juzi pia walipanda kizimbani, walipata dhamana hiyo jana kutoka Mahakama Kuu ya Gauteng iliyoko eneo la Kempton Park jijini Johannesburg.

Marafiki wa karibu wa Masogange wanaoishi maeneo ya Midland Johannesburg ambao walikataa kunukuliwa majina yao, walithibitisha kuwa wanawake hao wameachiwa kwa dhamana.
“Ni kweli wameachiwa leo asubuhi. Lakini hatuwezi kuongelea kwa kina habari hizi kwa sababu hatutaki matatizo na polisi. Hii kesi bado inaendelea na wataendelea kubaki hapa hadi kesi yao itakapomalizika,” alisema mmoja wa marafiki zake.
Naye Masogange aliandika kwenye mtandao wa ‘Facebook’.
Friday, September 20, 2013
Thursday, September 19, 2013
UJUMBE UNAOSAMBAA KWA KASI KUTOKA KWA AGNES MASOGANGE MUDA HUU,HUU HAPA
Hii ni post aliyoiweka Agnes Masogange kwenye ukurasa wake wa FB na
imeanza kusambaa kwa kasi kupitia wasanii mbalimbali.
Je yawezekana wametoka?Au ndio zile fununu kuwa wanapiganiwa kesi yao irejee nchini?
Tungoje kama ni kweli ama uzushi
Je yawezekana wametoka?Au ndio zile fununu kuwa wanapiganiwa kesi yao irejee nchini?
Tungoje kama ni kweli ama uzushi
Monday, July 15, 2013
BINTI KIZIWI AHUKUMIWA MIAKA MITANO JELA BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA
MTANDAO wa wauza madawa ya kulevya
unazidi kupukutika Bongo kufuatia madai ya kukamatwa kwa watu wanaodaiwa
kujishughulisha na ubebaji ‘punda’ wa biashara hiyo haramu, Ijumaa
Wikienda lina mtiririko wote.
Hivi karibuni, Video Queen wa Wimbo
wa Masogange, Agnes Gerald ‘Masogange’ amedaiwa kunaswa nchini Afrika
Kusini ‘Sauzi’ akiwa na kilo mia moja na hamsini za unga unaoaminika ni
sehemu ya madawa ya kulevya. Ameshapanda kortini mara moja Ijumaa
iliyopita.
Wakati Masogange akisota Sauzi kwa
madai hayo mazito, habari ya mjini kwa sasa ni ya mtalaka wa mwanamuziki
wa Bongo Fleva, Ally Mohammed ’Z-Anto’, Sandra Khan au Binti Kiziwi
kudaiwa kutupwa jela miaka mitano kwa sakata la ‘unga’.
HABARI YA MJINI KWA SASA NI BINTI KIZIWI
Kuanzia Alhamisi iliyopita, habari
zilizoligubika Jiji la Dar ni kuwa Binti Kiziwi amenyongwa nchini China
baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na madawa ya kulevya.
Kwa mujibu wa mitandao, Binti Kiziwi alinyongwa wiki mbili zilizopita.
Hata hivyo, mitandao hiyo haikusema
kama mrembo huyo alinyongwa hadi kufa au la! Sheria za hukumu hiyo,
mwenye hatia anatakiwa kunyongwa hadi kufa.
Saturday, July 13, 2013
JESHI LA POLISI LATEUA ASKARI WA KUMFUATA AGNESS MASOGANGE AFRIKA KUSINI
Jeshi la Polisi litapeleka askari
wake Afrika Kusini kuwahoji washiriki wa video za wasanii wa muziki wa
Bongo fleva, Agnes Gerald ‘Masogange’ na mwenzake Melisa Edward
waliokamatwa nchini humo na dawa za kulevya.
Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia Dawa za
Kulevya, Godfrey Nzowa aliiambia Mwananchi kwa simu jana kuwa
watawapeleka polisi kuwahoji na wanaamini wahusika watawaeleza wahusika
wa mzigo huo.
Wasichana hao walikamatwa kwenye
Uwanja wa Ndege wa Oliver Tambo nchini Afrika Kusini wakitokea Tanzania
wakiwa na kilo 150 za dawa za kulevya aina ya Crystal Methamphetamine.
“Tutawapeleka askari wetu kuwahoji,
tumekwishaanza uchunguzi wa hili...wote watakaohusika katika hili
tutawakamata, lakini tunakwenda polepole hatua kwa hatua kuhakikisha
tunawanasa wahusika sahihi,” alisema Nzowa.
Naye Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa
Julius Nyerere, (JNIA), Moses Malaki alieleza kushangazwa na kiasi
kikubwa kupitishwa kwenye uwanja huo licha ya kuwa wapo watu wenye
dhamana ya kuangalia usalama.
“Sitaki kusema tutafanya nini, lakini
ninachotaka kukwambia ni kwamba uchunguzi umeanza na suala zima
tumewaachia polisi na sisi tutatoa ushirikiano kwa kila hatua
watakayotutaka, lazima kukomesha hili.
“Tutaangalia nani walikuwa zamu siku hiyo,” alisema Malaki
Wednesday, July 10, 2013
HUYO NDIO "MELLIS EDWARD" ALIYEKAMTWA NA MADAWA YA KULEVYA AKIWA NA "AGNESS MASOGANGE.
Picha ya Mrembo Mellis Edward aliyedakwa na madawa ya kulevya Afrika kusini akiwa na Agness Masogange
Mellis Edward
Inahisiwa kuwa huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward” ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook.
Kamanda Gofrey Nzowa - Kitengo cha Madawa ya Kulevya
Agness Masogange akiyahesabu "MAPESA" yake.Picha hii aliiweka siku chache zilizopita

Friday, June 28, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)
HABARI MBALIMBALI
‘Dk. Cheni’
‘Sharo Milionea
‘Thea’
African Women
AGNESS MASOGANGE
AK CLASSIC COSMETICS
ALI KIBA
Amanda Poshy
Ant
ANT LULU
Ashley Toto
Aunt Ezekiel
Aunty Ezekiel
AUNTY LULU
Azam Fc
Baby Madaha
BAHATI BUKUKU
Barnaba
BATULI
BBA
Beauty of the day
Belle 9
BI KIDUDE
BIBI BOMBA
Big Brother
Big Brother Africa
Bill Gates
BINTI KIZIWI
BOB JUNIOR
Bodi ya Filamu
Bongo Movie
Bongo Movies
CCM
CHADEMA
Chombezo
Christina Shusho
Chuchu hans.
Clouds Media Group
Club Bilicanas
DAR LIVE
DAVINA
Dayna Nyange
Diamond
Dida
Diva Loveness Love
Dj Ommy Crazy wa Maisha Club
DOGO JANJA
DOKI
DR.CHENI
DSTV
Dude
Dully Sykes
EBSS 2013
Elizabeth Michael
Epiq Bongo Star Search (EBSS)
ESHA BUHETI
Ester Bulaya
Feza Kessy
FIESTA 2014
Flaviana Matata
FLORA MBASHA
FLORA MVUNGI
Francis Cheka
GARDNER
GLOAL PUBLISHERS
GLOBAL TV ONLINE
H. BABA
Halima Mdee
HAMISA
Happy birthday
Hemedi
Hemedy Suleiman
HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE
Hoyce Temu
Huddah Monroe
HUSINA
IRENE PAUL
Irene Uyoya
ISABELLA
J film 4 life
Jack Chuz
JACK PATRICK
Jacob Steven ‘JB’
Jacqueline Dustan
JACQUELINE WOLPER
Jaji Khamis 'Kashi'
Jay Dee
JENNIFER KYAKA (ODAMA)
JIDE
JINI KABULA
JK
JO
Johari
Jokate Mwigelo ‘Kidot’.
JOTI
Joyce Kiria
Joyce Kiwia
JUX
K-LYNN
KADINDA
kaja
Kajala Masanja
Kapotive Star Singers
KATUNI
Kemmy
Kero Zetu
KHADIJA OMAR KOPA
KIKWETUKWETU
KILI MUSIC AWARDS
KOLETA
Lady Jay Dee
Lady Jaydee
Lake Oil
LAVEDA
Linah Sanga
Linex
Lisa Jensen
Loveness Diva
Lucy Francis Komba
Lulu
M2 The P
MABILIONEA
Madam Rita
MADELA
Magazeti
Mahusiano
Maimartha Jesse
MAINDA
MAISHA
Makala
Malkia Elizabeth
MAMTEI
MANDELA
MARIAM ISMAIL
Masanja Mkandamizaji
Mashindano ya Miss Tanzania
Matangazo
Matonya
MaxMalipo
MAYA
MELLIS EDWARD
MENINAH
MGOSI MKOLONI
Mh Halima Mdee
mic
Michezo
MILLEN HAPPINESS MAGESE
MISS CHANG'OMBE
MISS DAR CITY CENTER
Miss East Africa
MISS REDD'S IRINGA 2013
MISS TANGA 2013.
MISS TANZANIA 2014
Miss Tanzania mwaka 2011
MISS TEMEKE 2014
MISS USTAWI
MISS UTALII TANZANIA 2012/13
Miss vyuo vikuu 2013
MKALA
MREMBO HUDDAH
Mrisho Mpoto
Mrisho Ngassa
MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES.
MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013
Mtitu
muziki
Mwana FA
MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Mzee Majuto
Nancy Sumari
Nani Mtani Jembe?
NAPE
Nassoro ‘Nora’
Natasha
Nay wa Mitego
Necta
Nelly Kamwelu
NEY WA MITEGO
Nisha
NSSF;Zantel
Nyamwela
NYimbo
Nyota yako
OBAMA TANZANIA
OMMY DIMPOZ
P FUNK
PAM D
Peniel Mgilwa ‘Penny’
PETIT MAN
Profesa Jay
Q - CHILA
Q Boy
Q Chilla
QUEEN DARLEEN
RACHEL NDAUKA
RAIS KIKWETE
Rais Kikwete.
Rasimu Ya Katiba TZ
Ray
Ray C
Redd’s Miss IFM
REDD'S MISS KAGERA 2013
REDD'S MISS TZ
REDDS MISS TANZANIA 2014
Redds Miss wa Mikoa
REHEMA FABIAN
RICHIE RICHIE
Rihanna
ROSE MUHANDO
Rose Ndauka
Ruge Mutahaba.
SABASABA 2013
Saida Karoli
Saikolojia
Sajeti
SAJUKI
Sandra
SHAA
Shamsa Ford
Sheikh Ponda
Shilole
Sintah
Siwema
Skin Tricks
Snura Mushi
Spika Makinda
staa
Staa Wetu
Stella Mwangi
STYLE ZA NYWELE
Taifa Stars
Tamasha la matumaini
TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013
Tangazo
TANZANIA
TEGO
TENGENEZA WEBSITE NA BLOG
TID
Tundaman
Tupo wangapi?
TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14
Twanga Pepeta
USA PAGEANT 2014
VAI
Wastara
WEMA
WEMA SEPETU
Yanga
Yanga Bingwa 2013
YOUNG D
Yvonne Cherry ‘Monalisa’
Z Anton.
Zari
Zito kabwe