Haiwezi kupita wiki bila mwanadada huyu ku-make headline katika
mitandao..Huddah Monroe mwanadada mrembo kutoka nchini Kenya ambae
alipata nafasi ya kuiwakilisha nchi yake katika shindano la Big brother
Africa mwaka huu linaloendelea nchini Afrika kusini lakini alikaa kwa
siku 7 tu na kutoka.Lakini pia aliwahi kuwa mpenzi wa rapper kutoka
kenya Prezzo ila haijulikani wanaendelea au lah kutokana na mkanganyiko
wa mambo.
Ukitembelea mitandao mbalimbali ni kawaida kukutana na picha zake
alizojianika mtupu na baada ya kupumzika kidogo picha yake nyingine
imesambaa mtandaoni ikimuonesha mtupu ila kaifunika na bendera ya nchi
yake! cheki hapo chini..
Jana asubuhi alipost picha ya kitanda cha Prezzo kikiwa na handbag yake juu yake...sijui waliamka pamoja!
Caption ya picha ni hii hapa:
Inaonekana ni dongo kwa mtangazaji wa hapa Tanzania Diva kutokana na
malumbano waliyokuwa nayo kugombea penzi la Prezzo ambapo hivi karibuni
Diva alionekana na tattoo yenye jina la Prezzo mkononi!