EFM RADIO

EFM RADIO

HERICONY

Tangaza hapa

Tangaza hapa

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

TANGAZA NA BLOG YAKO HAPA

Wednesday, March 5, 2014

MTU KATI: PROFESA JAY AKIFUNGUKA NDANI YA GLOBAL TV ONLINE

ANAITWA Joseph Haule mwana wa Msolopaganzi a.k.a Profesa J, Nigga J, The President, Tough Wallet, MC Shupavu wa Mitulinga
-Je, mwana Hip hop huyu ameoa?
-Vp kuhusu mwanaye Lisa, mama yake ni nani?
-Kwa nini ameamua kuingia kwenye siasa?
-Na, vipi kuhusu Hard Blasters Crew (HBC)?
-Vipi kuhusu wapenzi wake Rashida Wanjara na Nice Chande?
-Anaongeleaje kuhusu kugombea Jimbo la Mikumi?
KUPATA MAJIBU YA MASWALI HAYA, UNGANA NA HOST WAKO LUQMAN MALOTO NDANI YA GLOBAL TV ONLINE! 

LG YAZINDUA JOKOFU LENYE UWEZO WA KUTUNZA UBARIDI KWA MUDA WA MASAA 7‏

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akiwa na Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia) pamoja na mfanyakazi wa kampuni hiyo wakizindua jokofu lenye uwezo wa kuhifadhi ubaridi kwa muda mrefu. Uzinduzi huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Zoezi la kuzindua likiwa limekamilika.
  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania, Mayur Parikh ambao ni wasambazaji bidhaa za LG, akifungua jokofu hilo mbele ya waandishi wa habari ambao hawapo pichani. Anayeshuhudia ni Meneja Masoko wa LG, Shakti Vellu (kulia)

 Afisa Masoko wa Kampuni ya Hotpoint Tanzania ambao ni wasambazaji wa Bidhaa za LG, Grace Kavishe, Carolyn Jesse akiongea na waandishi wa habari kuwaelezea jinsi jokofu hilo linavyoweza kufanya kazi.
 Muonekano wa jokofu hilo kwa ndani.

Tuesday, March 4, 2014

KIMYA KINGI KINA MSHINDO...MALI MPYAAA IMEWASILIII AK CLASSIC COSMETICS -0713 468 393

MADINI MAPYA YAKISHUSHWA......WALE WENYE ODA ZENU MUWAHIIII

JE UNAFAHAMU MAAJABU YA CARROT INAPOTUMIWA MWILINI?LOTION ZOTE HIZI TATU NI ZA CARROT!!CARRPT INAFANYA TONE YAKO IONEKANE,MNG'AO ASILIA WA NGOZI YAKO HATA KAMA UMEFUBAA KIASI GANI KWA KAROTI IZI UTARUDI NDUGU YANGU!!KAMA UNABISHA JARIBUUUU!! #MAKARI #H26 #CARROTGLOW
WALE WA MAKE UP MAMBO HAYO HAPOOO IZI NDO THE BEST FOUNDATION AISEEE EM GOOGLE HAPO #MARYKAY #BLACKOPAL

UKIAMUA KUFUBAA FUBAA TU ILA USIJE UKASEMA OOOH MIE NIMETUMIA KILA KITU LAKINI WAPI!!HAMNA KITU KAMA HICHO!!VITU HIVI VYA UKWELI SASA WEWE TUMIA VYA BEI RAHISI UTAISHIA KUUNGUA TU NA BAADA YA MUDA UNAKUWA BORA HATA ULIVYOKUWA KABLA HUJAANZA KUTUMIA!!VITU VIMEPIMWA HIVI KILA KITU KIMEBALANSIWA KIUTAALAM!!MAMBO IKO HUKUUU! ! #TEAMAKCLASSIC

SITTA APITA CCM

Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta.
KAMATI ya Uongozi ya Chama Cha Mapinduzi ( C C M ) imempitisha Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta, kwa kauli moja kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba.

Pia kamati hiyo imempitisha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu kuwa mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa bunge hilo.
Taarifa kutoka ndani ya kikao cha kamati hiyo ya uongozi ya CCM iliyoketi jana, zimebainisha kuwa Andrew Chenge aliyekuwa akitajwa kuwania nafasi ya Mwenyekiti, amejitoa katika kinyang’anyiro hicho kwa hiari yake.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo, baada ya kanuni za Bunge kupitishwa, utaratibu wa kuchukua fomu utatangazwa ambapo Sitta atakwenda kuchukua na atakuwa mgombea pekee kutoka CCM.
Kitakachosubiriwa ni kuona wagombea kutoka makundi mengine kuchukua fomu kuwania nafasi hiyo na kundi linalotarajiwa ni kutoka vyama vya siasa vya upinzani.

KURASA ZA MBELE NA NYUMA ZA MAGAZETI YA LEO 04/03/2014



FREEMASON WATUA KANISA LA GWAJIMA

WATU wanaodaiwa kuwa ni wa imani ya Freemason wametua ndani ya ibada katika Kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, Uwazi lina ‘ei tu zedi’ ya tukio hilo.
Baadhi ya vitu vilivyokutwa kanisani kwa Gwajima.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Freemason hao wawili waliingia kwenye ibada hiyo iliyofanyika Februari 23, mwaka huu ndani ya kanisa hilo lenye makao makuu yake katika Viwanja vya Tanganyika Peckers, Kawe jijini Dar wakiwa na mfuko wa rambo wenye vitu mbalimbali vikiwa na alama zao.
GWAJIMA MADHABAHUNI
Habari zilidai kwamba wakati neno likiendelea kunenwa na Mchungaji Gwajima, watu hao walifunua mfuko huo ambapo baadhi ya waumini waliokuwa karibu yao walihoji kulikoni kuwa kwenye ibada na vitu vyenye viashiria ya Freemason.
Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima.
“Wengine tulishangaa sana kwani baadhi ya vitu vilionekana kuwa na thamani kubwa, tukadhani labda wameleta zawadi kwa mtumishi wa Mungu (Gwajima),” kilisema chanzo hicho ambacho kinaabudu katika kanisa hilo.

ABIRIA AJICHINJA NDANI YA BASI


AMA kweli duniani kuna mambo kwani dereva na abiria wa basi la Manchester ambalo namba yake haikujulikana mara moja, lililokua likitoka Lindi kwenda jijini Dar es Salaam walijikuta wakiangua vilio baada ya kumuona mwenzao akijichinja hadi kufa kwa kisu ndani ya gari hilo.
Ujumbe kabla ya kifo: Kijana aliyejichinja ndani ya basi akiandika ujumbe kabla ya kukata roho.
Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo la kusikitisha lilitokea saa tisa alasiri, Jumatano wiki iliyopita mara basi hilo lilipofika katika hoteli moja ya Nangulukulu kwa ajili ya kupatia chakula.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na waandishi wa habari hii jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, baadhi ya abiria walioshuhudia tukio hilo walisema kuwa  mara walipofika katika hoteli hiyo, kila mmoja alitawanyika kwa lengo la kujipatia chakula na baadhi yao walienda maliwatoni akiwemo marehemu huyo.
Msaada:...Kijana huyo akitolewa kwenye basi baada ya kujichinja kwa sime.
Walisema kwamba  marehemu huyo ambaye jina lake halikupatikana mara moja, wakati wa kushuka hakuonekana na kisu aina ya sime lakini baadaye abiria wachache waliotangulia kwenye gari, walimshuhudia akiwa ameshika sime hiyo mkono pasipokujua aliipata wapi.

Monday, March 3, 2014

MAN CITY YATWAA UBINGWA WA CAPITAL ONE

LONDON, England
KOCHA Manuel Pellegrini amefanikiwa kutwaa taji la kwanza akiwa bosi wa Manchester City baada ya jana kuifunga Sunderland katika fainali ya Kombe la Capital kwa mabao 3-1kwenye Uwanja wa Wembley jijini London.
Kocha huyo raia wa Chile ambaye yupo katika adhabu ya kukosa mechi tatu za Ulaya baada ya kufungiwa na Shirisho la Soka la Ulaya (Uefa) kutokana na kumtolea lugha kali mwamuzi, Jonas Eriksson, alikuwa na furaha jana kutokana na ushindi huo.

RIPOTI KAMILI


MASKINI! Stori zilizozagaa mitaani kuhusu mali za aliyekuwa mkali wa sinema za Kibongo, marehemu Steven Kanumba zinasema kuwa, zimeuzwa na kampuni aliyoiacha, Kanumba The Great Film imefilisika, Ijumaa Wikienda linakupa ripoti iliyoshiba.
Marehemu Steven Kanumba.
Habari zinadai kuwa baada ya kifo cha Kanumba Aprili 7, 2012, mali alizoziacha zinafujwa, hakuna utaratibu mzuri wa kusimamia mamb
na kwamba, uzalishaji wa sinema katika kampuni yake ni mdogo tofauti na enzi za uhai wake.
Chanzo chetu cha habari ambacho ni mmoja wa wasanii wa filamu Bongo aliye na ukaribu na familia hiyo, alisema ni kweli kuna tatizo la usimamizi na uendelezaji wa mali za marehemu lakini akasema ni jambo la kawaida kwa sababu marehemu ameondoka na mbinu zake.
Ofisi ya Kanumba ya Sinza Mori, Dar.
“Kila mtu ana nyota yake kaka, asikudanganye mtu, lakini pia kila mmoja ana namna anavyojua kuendesha biashara zake, sasa Kanumba alikuwa na mikakati yake, hawa walioachiwa nao wana mikakati yao. Mfano, hawataweza kutoa sinema nyingi kwa sababu soko la waliobaki si kubwa kama ilivyokuwa kwa Kanumba.
“Angalia hata ushindani... hivi kweli Seth (Bosco, ‘mdogo wa Kanumba’) anaweza kupambana na magwiji kama JB (Jacob Steven) au Ray (Vincent Kigosi) sokoni? Watu waache lawama,” alisema msanii huyo ambaye aliomba hifadhi ya jina.
Marehemu Kanumba enzi za uhai wake akiwa pembeni ya gari lake.

SHAMSA: MSIMSOGELEE MUME WANGU!

MWADADADA anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja.
Shamsa Ford.
Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho.
“Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae  mbali na mume wangu kabla sijawaanika hadharani kwenye vyombo vya habari, kwanza hawawezi kufanikiwa, najiamini,” alisema Shamsa.

Saturday, March 1, 2014

HEMED ACHUKIA KUITWA TOZI

MSANII wa filamu na Bongo Fleva, Hemed Suleiman ‘PHD’ amefunguka kuwa anachukizwa na tabia ya watu kumwita tozi au mtu wa maringo.
Hemed Suleiman ‘PHD’.
Hapa anafafanua: “Wananihukumu kwa macho, mimi siyo tozi ila usafi wangu na kutoonekana mara kwa mara kunanifanya nionekana hivyo lakini kiuhalisia siko hivyo.”

WASTARA: NINAHITAJI KUPUMZIKA, KUJIFUNGIA

STAA wa kike mwenye uwezo wa kucheza na hisia kwenye filamu za Kibongo, Wastara Juma, amesema kwa sasa anahitaji muda mwingi wa kupumzika kutokana na misukusuko mingi iliyomkumba siku za hivi karibuni.
Wastara Juma.
Akiteta na paparazi wetu kwa sauti ya chini na ya upole alisema: “Nahitaji muda mwingi wa kupumzika jamani, kuna mambo yameniondoa kabisa kwenye ‘mudi’ ya kawaida hivyo natumia muda mwingi kuwa peke yangu.”

MASKINI AFANDE SELE

SIKU chache baada ya kuzagaa kwa taarifa za kuachana na mkewe mama Tunda, mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’ ameibuka na kusimulia mambo ya kusikitisha waliyopita katika safari ya maisha yao.
Mfalme wa Rhymes, Seleman Msindi ‘Afande Sele’.
Akizungumza na wanahabari wetu ndani ya Ukumbi wa Meeda, Sinza-Mori, Dar, juzi Afande alisema hadi kufikia hatua ya yeye kutangaza kuwa ameachana na mama Tunda ambaye amedumu naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka 10, alikuwa akivumilia mambo mengi na mwisho kuamua kuachia ngazi.

Afande Sele akiwa na familia yake.

AMANDA NA GONJWA LISILOELEWEKA

STAA wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amepatwa na ugonjwa wa ajabu  ambao haujulikani.
Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Katika mazungumzo na paparazi wetu, Amanda alisema: “Naumwa sana na nimechukua vipimo vingi ikiwemo malaria na presha pale Agha Khan (hospitali) lakini hakijagundulika chochote ingawa mwili wote unauma.”

HABARI MBALIMBALI

‘Dk. Cheni’ ‘Sharo Milionea ‘Thea’ African Women AGNESS MASOGANGE AK CLASSIC COSMETICS ALI KIBA Amanda Poshy Ant ANT LULU Ashley Toto Aunt Ezekiel Aunty Ezekiel AUNTY LULU Azam Fc Baby Madaha BAHATI BUKUKU Barnaba BATULI BBA Beauty of the day Belle 9 BI KIDUDE BIBI BOMBA Big Brother Big Brother Africa Bill Gates BINTI KIZIWI BOB JUNIOR Bodi ya Filamu Bongo Movie Bongo Movies CCM CHADEMA Chombezo Christina Shusho Chuchu hans. Clouds Media Group Club Bilicanas DAR LIVE DAVINA Dayna Nyange Diamond Dida Diva Loveness Love Dj Ommy Crazy wa Maisha Club DOGO JANJA DOKI DR.CHENI DSTV Dude Dully Sykes EBSS 2013 Elizabeth Michael Epiq Bongo Star Search (EBSS) ESHA BUHETI Ester Bulaya Feza Kessy FIESTA 2014 Flaviana Matata FLORA MBASHA FLORA MVUNGI Francis Cheka GARDNER GLOAL PUBLISHERS GLOBAL TV ONLINE H. BABA Halima Mdee HAMISA Happy birthday Hemedi Hemedy Suleiman HOTUBA YA RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE Hoyce Temu Huddah Monroe HUSINA IRENE PAUL Irene Uyoya ISABELLA J film 4 life Jack Chuz JACK PATRICK Jacob Steven ‘JB’ Jacqueline Dustan JACQUELINE WOLPER Jaji Khamis 'Kashi' Jay Dee JENNIFER KYAKA (ODAMA) JIDE JINI KABULA JK JO Johari Jokate Mwigelo ‘Kidot’. JOTI Joyce Kiria Joyce Kiwia JUX K-LYNN KADINDA kaja Kajala Masanja Kapotive Star Singers KATUNI Kemmy Kero Zetu KHADIJA OMAR KOPA KIKWETUKWETU KILI MUSIC AWARDS KOLETA Lady Jay Dee Lady Jaydee Lake Oil LAVEDA Linah Sanga Linex Lisa Jensen Loveness Diva Lucy Francis Komba Lulu M2 The P MABILIONEA Madam Rita MADELA Magazeti Mahusiano Maimartha Jesse MAINDA MAISHA Makala Malkia Elizabeth MAMTEI MANDELA MARIAM ISMAIL Masanja Mkandamizaji Mashindano ya Miss Tanzania Matangazo Matonya MaxMalipo MAYA MELLIS EDWARD MENINAH MGOSI MKOLONI Mh Halima Mdee mic Michezo MILLEN HAPPINESS MAGESE MISS CHANG'OMBE MISS DAR CITY CENTER Miss East Africa MISS REDD'S IRINGA 2013 MISS TANGA 2013. MISS TANZANIA 2014 Miss Tanzania mwaka 2011 MISS TEMEKE 2014 MISS USTAWI MISS UTALII TANZANIA 2012/13 Miss vyuo vikuu 2013 MKALA MREMBO HUDDAH Mrisho Mpoto Mrisho Ngassa MSHINDI WA REDD'S MISS LAKE ZONE 2013 NI LUCY CHARLES. MSHINDI WA TAJI LA REDDS MISS KANDA YA KATI 2013 Mtitu muziki Mwana FA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Mzee Majuto Nancy Sumari Nani Mtani Jembe? NAPE Nassoro ‘Nora’ Natasha Nay wa Mitego Necta Nelly Kamwelu NEY WA MITEGO Nisha NSSF;Zantel Nyamwela NYimbo Nyota yako OBAMA TANZANIA OMMY DIMPOZ P FUNK PAM D Peniel Mgilwa ‘Penny’ PETIT MAN Profesa Jay Q - CHILA Q Boy Q Chilla QUEEN DARLEEN RACHEL NDAUKA RAIS KIKWETE Rais Kikwete. Rasimu Ya Katiba TZ Ray Ray C Redd’s Miss IFM REDD'S MISS KAGERA 2013 REDD'S MISS TZ REDDS MISS TANZANIA 2014 Redds Miss wa Mikoa REHEMA FABIAN RICHIE RICHIE Rihanna ROSE MUHANDO Rose Ndauka Ruge Mutahaba. SABASABA 2013 Saida Karoli Saikolojia Sajeti SAJUKI Sandra SHAA Shamsa Ford Sheikh Ponda Shilole Sintah Siwema Skin Tricks Snura Mushi Spika Makinda staa Staa Wetu Stella Mwangi STYLE ZA NYWELE Taifa Stars Tamasha la matumaini TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2013 Tangazo TANZANIA TEGO TENGENEZA WEBSITE NA BLOG TID Tundaman Tupo wangapi? TUZO ZA MWANAMKE BORA WA MWAKA 2013/14 Twanga Pepeta USA PAGEANT 2014‏ VAI Wastara WEMA WEMA SEPETU Yanga Yanga Bingwa 2013 YOUNG D Yvonne Cherry ‘Monalisa’ Z Anton. Zari Zito kabwe

Translate